Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Best comment ya thread! Umemaliza. Waje watu washupaze shingo. Wale washenzi wa Afrika ya Kaskazini ni mbwaaa. Sijawahi kuwaona kama wenzetu. Halafu li-mtu kwa kujipendekeza anawaita ndugu ktk imani. My foot! Mimi japo muislam, sina shobo na hawa watesi weupe. Wakati mwingine bora ya wazungu, ubaguzi wao ni very calculated. Ila hawa waarabu ni washenzi sana. Mbaya zaidi hata mamlaka zao za kiserikali huwezi kushinda kesi.

Kuna msomali mmoja alinieleza namna walivyomlawiti kaka yake huko Libya ktk kutafuta maisha. Hawa watu sodomy ipo in veins.
Kweli mkuu,,,,mzungu ni mtu bora kabisa,, tena mpenda haki ,,,tofauti na hawa wabaguzi waarabu ,,wachina na wahindi...tena mwarabu ndy katili namba moja kwa MTU mweusi.....
 
Yeah sure ya u-gay ni fasta. Sema ufala wake wanakupeleka kwenye gay society. Hapo ndiyo movie inaanza. Kujaribu kujinasua ni unaharibu mambo yote. Yaani ni shida!
Kweli mkuu kujinasua kutoka kwenye gays society ndy shida...na tayari mtu ameshaonja ulaya,,hapo inabidi jeans aweke pembeni apewe bikini apakuliwe....au aachane na hiyo gay's complain...sasa mbaya zaidi kama kuna mende ameshakupenda na umetoweka ghafla kituoni,,,mende anaweza kukutafuta mji mzima,,akidhani upo kwenye matatizo ,,au umepata mpnz mwingine zaidi yake ,,na yeye anahitaji damu ya shoga la kibantu...ndy hapo mnapokwepana,,yaani ww unajificha mende asikuone na MENDE nae anazidi kuhangaika huko na huko ili akuopate,,hatari sana mkuu...
 
Mkuu huko kuingia mpaka upite ubalozi wa France,wengi wakati wa kwenda hupitia usafiri wa maji.

Kuingia huko mpaka uwe visa ya France, hilo ni miliki yao.
Nimechek wamenielekeza direct France embrasse hata pesa yao huko wanatumia Euro sasa hapa nawaza niwaambieje France kuwa nataka niende kwenye kolon lao Pia njia ya maji n muda mno unakaa kwenye maji sina uhakika kama n boti Au Meli nipe mchongo wa bila passeport inakuaje
 
Ndio baharia, kuna jamaa yangu yeye kule kaishi sana, mwaka jana nilikuwa naye alikuja likizo huku tukawa tunabadilishana mawazo.

Kule ni sehemu safi mkuu, mimi Nina project zangu nikienda kufanyia kule nikuteleza barrier hakuna.

Kuhusu wanawake huko ndio balaa, kuna mzee ana mishe zake huko kila tukionana haishi kuwasifia, yeye huko ndio sehemu yake ya mapumziko.
Mkuu Mimi nimefaidi sana nilipokuwa France,,, hao mayyote wana TV yao kabisa ktk Chanel za France...ni Kama bongo tu mkuu...na kuna programs maalum kwa ajili ya inchi zote zilizo under France territories.... Ni pazuri sana mkuu ,,kuna fursa zote kama upo France... Nadhani kujisogeza kwake pale ni kuitafuta Comoro kwnza halafu Mayotte sio kesi kutoka Comoro.....
 
Watu weusi licha ya kupaza sauti juu ya madhila tunayofanyiwa na races zingine nasi tuna matatizo makubwa. Waethiopia makabila makubwa mawili Oromo na Amhara wanabaguana sana hata wakiwa nje ya nchi zao. Ni ujingaujinga tu. Sijui huwa tuna matatizo gani. Hata hii black movement; kuna clip nimeiona akilalamika Prof mmarekani mweusi juu ya wafrika kutoka Afrika kutoshiriki nao kwenye protests za kudai haki za mtu mweusi, akatolea mfano West Africans. Ukiangalia ni kweli!

Wahabeshi kujikataa kuwa ni watu weusi ni inferiority complex. Wakienda Arabuni waarabu wanawachukulia kama watu weusi - hivyo ni slaves.

Ila siri ya wao kufanikiwa kibiashara ni kama ilivyo kwa wanaija, waghana na wasenego ni msoto. Hizi nchi watu wanapitia msoto sana.
Kweli mkuu
 
Mambo yanabadilika kwa kasi sana. Hivi kwa wale waliozaliwa zamani kidogo mnakumbuka ilikuwa mtanzania kwenda Uingereza hutakiwa kuomba viza? Ukishapata passport yako unakwenda Airport moja kwa moja kukwea pipa! Kipindi hicho watu wengi walikuwa bado ''wamelala'' na hawakuwa wanakwenda kutafuta maisha. Hata walipoanza mpango wa msafiri kutakiwa kuwa na viza baadhi ya nchi kama Malawi watu walikuwa wanakwenda bila viza.
Ni kweli mkuu,,kipindi kile nakumbuka ni inchi nyingi tulikuwa tukiingia bila viza..nakumbuka ni UK...na Hata inchi za Scandinavia,,,Denmark,, Norway,, Finland,, Sweden,, tulikuwa ni free entry... Unanijuwa nini kilisababisha viza?mkuu?ni tamaa zetu wenyewe mkuu,,,na ujinga wetu,,ulisababisha kuanza kuwekewa vikwazo vya viza....
 
acha watu wazamie huko tu ingekuwa ipo bongo hii system hakuna mtu angejisumbua kutafuta kazi..
Mkuu watu wangefanya kazi tu,,,kila kitu ukikizoea kinakuwa cha kawaida tu...mfano ,,swiss mfungwa analipwa Euros 300 kwa mwezi,,,mbona na watu wakifungwa wanasikitika? Tena mtu anatafuta lawyer ili aachiwe....ingekuwa bongo ingekuwaje mkuu? sababu hivyo vitu wameshavizoea mkuu...kazi na job less ni vitu viwili tofauti..
 
Ni kweli mkuu,,,,hata mm nilikimbia sababu hyo,,,,system yao ya interview haipo sawa pale,,,lakini mwaka 2014 UN ilitoa amri border zote ziwe free,,na migrants wote wa Greece waachwe waende wanapopataka,,,ndni ya mwezi mmoja,,then ziwe tight tena,,,basi hapo ndy migrants wengi walikimbilia ulaya zingine mfano Italy ,,German,, Austria,, nk..maana Greece ilizidiwa na migrants ambao walikuwa wnaingia maelfu kutoka Turkey,,, kwa njia za baharini na inchi kavu,, ,I was among migrants,, who crossed from Turkey to Greece in 2011….nilikuwa na karatasi za awali za kisomali pia maana kipindi hicho ilikuwa ndy rahisi kupata karatasi kama Somali au Burundi ..,,,lakini nilishindwa kusubiri nikarudi bongo...hivyo mkuu kama huna bahati za karatasi basi mambo mengi yatakuwia vigumu..
Kipindi hicho mkuu ndio Mjomba wangu nae ndio alikuwa anahangaikia makaratasi ilimchukua kama 5yrs mpaka kufanikiwa ila now fresh halafu mbaya zaidi kulikuwa na economic crisis tukawa tunafanya kutoa pesa huku Kumtumia yeye
 
Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
Duh haya maisha mmh
 
Mkuu Mimi nilikaa kama miezi sita hivi,, pale maisha yanategemea kufanya kazi viwandani mfano viwanda vya nguo,,,nk,,au kuhangaika mitaani,,ni inchi nzr kwa raia,,lakini kwa wageni ni ngumu kidogo,,, maana kuna migrants wengi wakitokea Syria,, hata Egypt kwa njia za panya,,,pesa yao inaitwa milioni,,,ni strong kama ilivyo dola,,,ukiwa na dola moja,,sawa na milion moja,,,hazipishani sana,,,pale nilishindwa sababu ya haraka zangu,,nikaelekea Greece,, sababu sikuwa na viza ya Greece,,, nilikuwa na viza ya Turkey tu,,na Turkey sio inchi ya shengen ,,,ikanibidi nijiunge na migrants wanaokwenda Greece kwa njia za panya,,zilikuwa njia mbili za kuingia Greece,,baharini au kupitia mtoni,,,zote ni dola 500 kila migrants mmoja,,,nikachaguwa njia ya kuvuka mto,,niliona ndy salama zaidi,,Turkey ipo border na Bulgaria,, na Greece,,upende Fulani,,kuna mji Fulani unaitwa Izmir,,, upo close to Greece,,,tofauti yake ni mto tu,,,kwahyo tulifungiwa kwenye fuso moja tukiwa kama migrants 100 hivi,,,tulitembea usiku kwa usiku toka Istanbul hadi Izmir kuanzia saa mbili usiku hadi saa sita usiku tukafika lzmir,,,ilikuwa winter time hatari,,jinsi nilivyo vaa ni kama bag zima lipo mwilini,,,nilikuwa nimevaa jeans tatu na track suit ndani,,na Fulani tatu ,sweater na koti kubwa la ngozj,,na soksi ya kuzuia baridi juu,,baada ya kufunguliwa mlango wa fuso,,,ilikuwa baridi haswa,,eneo lote lilikuwa jeupe kwa theluji,,,basi haraka haraka tukaambiwa tuiname chini,,,,pale wale Wa Turkey wenye connection za kutuvusha,,,wakatoa boat Fulani ya kujaza kwa upepo,,wakaijaza pale baada ya kama nusu saa wakaiweka mtoni,,ulikuwa mto wa upana kama wa mita 50 hivi,,,huo MTO unatenganisha Turkey na Greece,, na huwa unalindwa pande zote wakati wa summer time,,lakini unakuwa haulindwi wakati wa winter time...kwahyo winter ndy watu wanakatisha hapo,,basi nikaingia kwenye boat,,ikapigwa kasia hadi upande wa greece ni kama dk 10 tu nipo upande wa Greece,,,baada ya kumaliza kutuvusha,,tukaanza safari kuitafuta mjini,,,tulipewa maelekezo na wale jamaa kwamba tufate maandishi,,ya kigiriki,,,maana maandishi ya kigiriki na maandishi ya Bulgaria ni tofauti lakini yanafanana sana,,so tufate barabara ambayo inaelekeza maandishi ya kigiriki,,,tukifata tofauti tutakuwa mikononi mwa askari wa Bulgaria,, na wakasema lazima tukamatwe na police wa kigiriki,, ili watupeleke vituoni,,tusipokamatwa tutatembea umbali mrefu sn kwa miguu,,,tusihofu tukiona police,,, basi tulitembea kuanzia saa nane usiku hadi saa mbili asubuhi,,, tukaanza kukamatwa kwa makundi na kupelekwa kituoni,,ule mji nimesahau kidogo,,, baada ya muda wakatupeleka camp,,,nikakomplain kama msomali,,,baada ya week mbili za pale camp,,,nikatolewa nikapelekwa kuna mji mmoja unaitwa ethlonic hapo tukapandishwa train,,,wakatwambiya you are free to go,,,,nikaingia Athens au Athena,,,huo ndy ulikuwa mwanzo wangu wa kuingia ulaya,,,2011.,.hivyo tu mkuu,,,ktk harakati za mbongo,.
Dah!brother umeni inspire sana sijuhi kama hizo njia bado wanatumia na mfumo wenyewe huu wa kierectronic
 
Ktk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen,,to Saudi.... Nilijiona chamtoto kabisa,,tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,, wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na supwr markets....popote waendapo,,kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
~ kweli hii hata Mimi nimeiona...ni madogo wa miaka 16,18,nakuendelea,wanaroho ngumu sana,napendaga kuangalia documentary za hivi...huwa zinafundisha sana.
 
Nimechek wamenielekeza direct France embrasse hata pesa yao huko wanatumia Euro sasa hapa nawaza niwaambieje France kuwa nataka niende kwenye kolon lao Pia njia ya maji n muda mno unakaa kwenye maji sina uhakika kama n boti Au Meli nipe mchongo wa bila passeport inakuaje
Kwa kwenda huko France Embassy hutatumia muda mrefu zaidi mpaka ufike Mayotte.

Njia ya kwanza ni kufika Comoro ndio utafute njia ya kufika Mayotte ila sio rahisi kuingia kama udhaniavyo France wanafanya ulinzi kwenye territory zao.Hapa utalipa pesa kidogo ya kuvushwa salama mpaka unaingia Mayotte. Akili kidogo inatakiwa kwenye kujieleza.
Mayote wanongea kiswahili n a lugha zao hivyo utopata shida na kule wabongo wapo.

Pili uende msumbiji ndio upande jahazi za kwenda Comoro au ukibahatisha meli ndogo za kwenda huko.Msumbiji sio Salama sana hata ukipata ndege ya kwenda Mayotte utaishia Airport.
 
Kuna email za USAFIS immigration nimetumiwa niapply visa niende USA Pia na canada wananitumia sana hizo email kipindi cha nyumba nilishawahi kujisajili green card Kwa mwenye kujua mambo hayo anielekeze
 
Ndio baharia, kuna jamaa yangu yeye kule kaishi sana, mwaka jana nilikuwa naye alikuja likizo huku tukawa tunabadilishana mawazo.

Kule ni sehemu safi mkuu, mimi Nina project zangu nikienda kufanyia kule nikuteleza barrier hakuna.

Kuhusu wanawake huko ndio balaa, kuna mzee ana mishe zake huko kila tukionana haishi kuwasifia, yeye huko ndio sehemu yake ya mapumziko.
Watoto wakali nenda Cape verde island ni balaa
 
Sisi sijui tuliwakosea wapi? Kila race haitukubali na sisi nao ndo tunakalishana kweli Yani. Yani inasikitisha Sana. Hivi sisi tatizo nini?
mzee sometime huwa nahs sie waafrica sio binadam wa kawaida yaan dunia nzma sie waafrica TU ndo tupo tofauti (TUNA RANGI NYEUSI)

Cha pili hv kwa nn kila mtu hatupendi yaan tunabaguliwa kila sehem wazungu wahnd wachna wajapan woote watubagua sisi

cha tatu kwa nn hata sisi kwa ss hatupendan ukitaka kuamini kwamba hatupendani bas nenda kaombe kazi kwenye kiwanda cha mzungu ambacho manager wake n mwafrica ahhaaha utashangaa

Cheki viongoz wa africa wanavotawala kama Miungu watu

yaan n rahs mwafrica kumchongea mwafrica mwenzie ilimradi tu asifankiwe
 
Kipindi hicho mkuu ndio Mjomba wangu nae ndio alikuwa anahangaikia makaratasi ilimchukua kama 5yrs mpaka kufanikiwa ila now fresh halafu mbaya zaidi kulikuwa na economic crisis tukawa tunafanya kutoa pesa huku Kumtumia yeye
Yaa mkuu,,,Greece ni balaa,,,
 
Dah umenikumbusha safar yangu ya kuondoka afrca nikiwa na miaka 17 lengo likiwa kwenda ulaya ila nikajikuta napotea njia na kutokea amerca kusini huko Equador nikajikuta nimeingia kwenye bif la wauza unga bila hatia ( nilitolewa kafara) ikabid nikimbilie peru kwa muda baada ya msako mkali niliofanyiwa ili niuwawe
 
Back
Top Bottom