Mkuu,,,,niliposema Wanakuja Africa kujifunza sikumaanisha shule,,,,,nilimaanisha elimu ya mazingira,,,hivi unadhani mtalii wa kizungu ni nini kimemshawishi aje kutalii Tanzania?au Kenya?au kuja Africa kwa ujumla?lazima kwnz ashawishike,,,,kwa njia yeyote ile,,,,halafu anakuja kuthibitisha kwa macho,,, mfano wapo waliokuwa wanasikia mlima Kilimanjaro,,, ngorongoro crater,, national parks,,,, mapango ya amboni,,,,Zanzibar,,, bagamoyo nk,,wanaposikia halafu wanavutiwa wanafanya safari ya kuja Africa,,,wapo wazungu hawajawahi kuona mnyama live,,au kuona Africa ,,,huko ndy kujifunza,,,,na lazima ujuwe kutofautisha kusoma na kujifunza ni vitu viwili tofauti...na hata suala la hali ya baridi ulaya,,usifananishe baridi ya ulaya na kipupwe cha south Africa,,,,,hivi Mkuu unaijuwa baridi ya ulaya?watu wanakufa sababu ya baridi,,,na ndy maana kipindi cha baridi hata ulaya inakuwa kuingia ni ngumu,,,,sababu wenyewe wengi wanaondoka kuelekea sehem zingine,,,baadae summer ndy watu wengi wa sehem zngn especially Africa Ndy kipindi cha kuingia ulaya,,,usifananishe baridi ya ulaya na South Africa,,,ni lini south umepark gari nje baada ya masaa kadhaa gari limefunikwa na barafu?gari halionekani?wala hujuwi gari lako ni lipi?watalii Wanakuja kujifunza na kupumzika wakati ni baridi Kali,,especially wengi hupata likizo za kazi kipindi cha December,, na kurudi kazini February,,,, au january mwishoni,,,kipindi cha december vitu vingi vya kiserikali pia husimama,,watumishi wengi wapo likizo...sababu ya baridi na ndy muda wao muafaka kusafiri nje ya ulaya,,,hivi mkuu ,,,wewe zaidi ya kumwona swala au tembo ukiwa kwenye bus pale mikumi ni lini ulikwenda mbugani kutalii,,au ulikwenda mapango ya ambaoni?au ni lini ulikwenda ngorongoro crater kuona mazingira na kujifunza vitu?usifananishe wazungu wanaokuja kufanya kazi na watalii ni mambo mawili tofauti...