Wazamiaji wa miaka ya 90

Best comment ya thread! Umemaliza. Waje watu washupaze shingo. Wale washenzi wa Afrika ya Kaskazini ni mbwaaa. Sijawahi kuwaona kama wenzetu. Halafu li-mtu kwa kujipendekeza anawaita ndugu ktk imani. My foot! Mimi japo muislam, sina shobo na hawa watesi weupe. Wakati mwingine bora ya wazungu, ubaguzi wao ni very calculated. Ila hawa waarabu ni washenzi sana. Mbaya zaidi hata mamlaka zao za kiserikali huwezi kushinda kesi.

Kuna msomali mmoja alinieleza namna walivyomlawiti kaka yake huko Libya ktk kutafuta maisha. Hawa watu sodomy ipo in veins.
 
Unataka kwenda wapi? Mimi nimeka europe na us miaka 9.
Kama unataka kwenda na hupeleki madawa nitafute nikuunganishe na wenyeji.
Mbona mimi ndugu yako huniunganishi miaka yote hiyo [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aisee good insight asee
 
Yeah sure ya u-gay ni fasta. Sema ufala wake wanakupeleka kwenye gay society. Hapo ndiyo movie inaanza. Kujaribu kujinasua ni unaharibu mambo yote. Yaani ni shida!
 
Jamani atakayetangulia kufika MAYYOTE alete mrejesho humu mie pia kwa nafsi moja naomba MUNGU anijalie afya na mipango yangu ikae sawa ili niweze kufika MAYYOTE nikajifunze maisha ambaye anataka pa kuanzia aanze na hapa
 
Ndio baharia, kuna jamaa yangu yeye kule kaishi sana, mwaka jana nilikuwa naye alikuja likizo huku tukawa tunabadilishana mawazo.

Kule ni sehemu safi mkuu, mimi Nina project zangu nikienda kufanyia kule nikuteleza barrier hakuna.

Kuhusu wanawake huko ndio balaa, kuna mzee ana mishe zake huko kila tukionana haishi kuwasifia, yeye huko ndio sehemu yake ya mapumziko.
 
Mkuu huko kuingia mpaka upite ubalozi wa France,wengi wakati wa kwenda hupitia usafiri wa maji.

Kuingia huko mpaka uwe visa ya France, hilo ni miliki yao.
 
Watu weusi licha ya kupaza sauti juu ya madhila tunayofanyiwa na races zingine nasi tuna matatizo makubwa. Waethiopia makabila makubwa mawili Oromo na Amhara wanabaguana sana hata wakiwa nje ya nchi zao. Ni ujingaujinga tu. Sijui huwa tuna matatizo gani. Hata hii black movement; kuna clip nimeiona akilalamika Prof mmarekani mweusi juu ya wafrika kutoka Afrika kutoshiriki nao kwenye protests za kudai haki za mtu mweusi, akatolea mfano West Africans. Ukiangalia ni kweli!

Wahabeshi kujikataa kuwa ni watu weusi ni inferiority complex. Wakienda Arabuni waarabu wanawachukulia kama watu weusi - hivyo ni slaves.

Ila siri ya wao kufanikiwa kibiashara ni kama ilivyo kwa wanaija, waghana na wasenego ni msoto. Hizi nchi watu wanapitia msoto sana.
 
Mambo yanabadilika kwa kasi sana. Hivi kwa wale waliozaliwa zamani kidogo mnakumbuka ilikuwa mtanzania kwenda Uingereza hutakiwa kuomba viza? Ukishapata passport yako unakwenda Airport moja kwa moja kukwea pipa! Kipindi hicho watu wengi walikuwa bado ''wamelala'' na hawakuwa wanakwenda kutafuta maisha. Hata walipoanza mpango wa msafiri kutakiwa kuwa na viza baadhi ya nchi kama Malawi watu walikuwa wanakwenda bila viza.
 
Maisha ya Bongo yanaweza kubadilika muda wowote! Unaweza kuwa umejenga nyumba na una kibiashara chako ukajiona umemaliza kila kitu lakini mara mambo yakageuka ghafla ukajikuta kwenye hali mbaya sana. Vilevile ni vizuri watu wasafiri wapanue mawazo na waondoe msongomano wa kila mmoja kufanya biashara Bongo. Infact ni nchi zetu za dunia ya tatu ndiyo unakuta karibu kila mtu ni mjasiriamali (hata wale walioajiriwa rasmi). Majuu ukikuta mtu ni mwalimu basi atakuwa anafundisha tu na kipato kitamtosha mpaka atakapostaafu, na akistaafu ataishi kwa kutumia pensheni yake. Majuu hukusanyi fedha ya kujenga, sana sana utanunua nyumba kwa mkopo na utakatwa kila mwezi fedha ambayo ni sawa na kodi ya nyumba.
 


Hhhaaa...wengine hatuna njaa unayowaza ww mkuu!...binafsi natamani kutoka nje nione kuna vitu gani...kuongeza tu upeo!..thts all!
 

Mkuu huko kuingia mpaka upite ubalozi wa France,wengi wakati wa kwenda hupitia usafiri wa maji.

Kuingia huko mpaka uwe visa ya France, hilo ni miliki yao.
Mkuu nakucheki PM. mimi nina mwanangu mfaransa ananielewa sana anaishi Bordeaux kikazi. Sijui atasaidia vipi nifike Mayotte. Kuna mwanangu mrundi aliamsha mwaka 2011 kwenda Mayotte kipindi ananiambia twende nilikua sina maamuzi sahihi. Sasa yupo Belgium.
 
acha watu wazamie huko tu ingekuwa ipo bongo hii system hakuna mtu angejisumbua kutafuta kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…