Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Waethiopia wenyewe wanakimbia ethiopia wako tayari kuwekwa kwenye macontainer kama matikitiki hadi wanakufa kwa kukosa hewa. Wako tayari wakauzwe libya wanakimbia nchi yao wee ndo wataka ukafie huko?

hivi kwanini wa Ethiopia wanakimbia nchi yao? Inamaana ni maskini sana mpk wanakimbilia nje au wanatafuta Fursa tu kama Nigerians.
 
Hakuna shida mkuu ila pole kwa mihaso mkuu
Kuna mtu kaniambia ni mimi nikamjibu siyo mimi ila najua hii story wasababu jamaa alinarrate nikaitype, sasa ushaidi ni huo ina page zaidi ya 22 anaelezea safari nzima na nimeitype kwa kingereza toka mwaka 2014 na sikumaliza nilitypekamarobo tu. Ila alighairi kutoa kitabu.
1591967947097.png
 
Kuna mtu kaniambia ni mimi nikamjibu siyo mimi ila najua hii story wasababu jamaa alinarrate nikaitype, sasa ushaidi ni huo ina page zaidi ya 1000 anaelezea safari nzima na nimeitype kwa kingereza toka mwaka 2014. Ila alighairi kutoa kitabu.
View attachment 1476329
Mkuu ushanipoteza hapo kwenye ngeli tu.
 
hivi kwanini wa Ethiopia wanakimbia nchi yao? Inamaana ni maskini sana mpk wanakimbilia nje au wanatafuta Fursa tu kama Nigerians.
Imeendelea kwa uchumi wa vitu lakini watu wenyewe wana maisha magumu. Graduate unakuta anapokea mshahara labda laki mbili na vitu bei ghali. Kumiliki gari hata vitz ethiopia si jambo la mchezo maana vitz hizi hapa unainunua used dubai na ushuru milion 8 kuna haikawii fika 20 mls za kitz
 
Waethiopia wenyewe wanakimbia ethiopia wako tayari kuwekwa kwenye macontainer kama matikitiki hadi wanakufa kwa kukosa hewa. Wako tayari wakauzwe libya wanakimbia nchi yao wee ndo wataka ukafie huko?
Kuliko hapa?? Ah bora aisee!
 
Back
Top Bottom