Wazamiaji wa miaka ya 90

Big up sn mkuu kwa kutafuta hadi hapo ulipo una mengi ya kusimulia watoto wako ili nao wajifunze
 
Mkuu watu wote Duniani tunatamaniana, na kuhitajiana, Wazungu mbona wanakuja huko Bongo na Africa kwa ujumla. wachina, waarabu, wahindi nk tatizo la wazaramo kijicho! wanajua majuu ni salama zaidi!
Wazungu wanapenda kujifunza,,,ndy sababu zinazowaleta Africa,,kujuwa mambo na vitu Africa,,sio kingine,,,pia wazungu hupenda kuja Africa kipindi ambapo kwao ni baridi Kali,,,Wanakuja Africa Ku enjoy summer time...
 
Mkuu umenikumbusha wimbo wa wagosi wa kaya nadhani.
Mwamba kazamia meli kuja kuibuka yuko Kigamboni.
Na safari ya Ulaya ikaishia hapo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hhahahaa..kwamba "tone"hhaaha ukiona hivyo jua yamefika hapaa!
Kwa spirit uliyonayo njia nzuri ambayo utatumia akili kuingia Ulaya, kwa wewe mwanamke inabidi uende visiwa vya Mayotte kule utaapiga biashara na connection za nje utapata mpaka ukimbie.

Kisiwa hicho kuna ugumu kuingia ila tayari loop zishajulikana na kwenda ufaransa ni rahisi mno.
 
Mkuu ziweke hizo loop hapa tuibuke
 
Sisi sijui tuliwakosea wapi? Kila race haitukubali na sisi nao ndo tunakalishana kweli Yani. Yani inasikitisha Sana. Hivi sisi tatizo nini?
 
Sisi sijui tuliwakosea wapi? Kila race haitukubali na sisi nao ndo tunakalishana kweli Yani. Yani inasikitisha Sana. Hivi sisi tatizo nini?
Hivi assume una bachelor, halafu unakutana na jamaa ulisoma naye primary akaachaa shule aliishai la sita tu. Wakati mnakutana wewe umepigika unavuta kimshahara cha lak 4 wakati huo yeye ana biashara kubwa, ana mjengo wa maana na anasukuma mkoko wa maana. Unadhani atakuheshimu na kisomo chako au atakudharau?
Ndivyo ilivyo sisi na resources zetu zote bado ni omba omba hakuna anayeweza kutuheshimu. Hata wachina walikuwa wanadharauliwa sana zama hizo lakini sasa wanaheshimika kwakuwa wamejitoa kwenye umasikini.
 
Ngoja nikazie Uzi wako mkuu,,,,kile kisiwa cha mayote kinahesabika kama upo france territory,ni moja ya mikoa ya France,,wanaongea kiswahili na kifaransa,,na wanatumia euro na wanapata haki sawa na mfaransa aliyeko France,,na hata passport ni ya kifaransa,,,ktk Africa bado kuna visiwa viwili vinavyo milikiwa na ufaransa ambayo ni mayyote na reunion,,,,, vipo visiwa vidogo kidogo vingi ambavyo hadi Leo vinamilikiwa na France,,.huko america ya kusini,,,,na wanahesabu kama mkoa wa France,,, mfano , kuna guyane,,huko America kusini,pia wapo under franch territory hadi sasa,,na wanaongea kifaransa na kutumia euro,,na wanapiga kura kumchaguwa rais wa ufaransa kama wafaransa,,,,na france wakikuwekea ban kufika kwao maana yake hata hizo inchi zilizopo under France territory huruhusiwi kwenda,,,,hivyo visiwa vina fursa sna wakuu,,,halafu wana warembo wazuri sn,,,,kwa wale wanaotaka kujilipua bora wasogee mayyote ambacho kipo karibu na Comoro hapo,,na hyo reunion kinapakana na Madagascar,,, wakuu kazi kwenu...
 

Hayo ndo mambo mkuu...! Naomba iweke hapa hints kodg zingine ntamalizia mwenyew
 
Wana asili ya kiarabu wale,,,,ndy maana wana chuki na mweusi,,, sio wazungu pure
Sisi sijui tuliwakosea wapi? Kila race haitukubali na sisi nao ndo tunakalishana kweli Yani. Yani inasikitisha Sana. Hivi sisi tatizo nini?
 
Magomeni ndioopalikuwa
Chuoo
Wakanza kupotea walipojiingiza kwenye madawa ya kumesa ikawa kila anaensa njekuzamia lazima ajaribu kushuka namzigoo DOH

Wengi Walikufa juu kwajuu

Na walimpopo kina bonta noma sana,kipindi hicho kalisti michongo ana review boarder ya mtaa ni full giza,mbele palikua ni kwikwi full ma kutchen party mixer kipaimara ila shooting zake upande wa moza zilikua taiti.
 
Naam. Na ndo bado hatujashtuka mpaka leo.
 
Mkuu Mayotte bado watu hawajaijulia vizuri lakini ni sehemu rahisi kufika France.
Kwa hawa Dada zetu kule nasikia ukiwa na uwezo wa Kupika Swahili food mafanikio yanakuwa kiganjani.

Mimi ilikuwa niende February mifuko ikatoboka, ila nitaenda nikatafute pesa ya agent nipande meli.
 
Sjaona konekisheni za Botswana au Namibia humu
 
Ukifika huko dada mpishi niko hapa.
 
Kweli BAHARIA,,, hata ukikita pale ni fursa,,,baadae unaomba karatasi,,, mambo mengine yanaendelea,,halafu kuna wanawake pale hatari,,,kama wabongo tu mkuu,,,kuanzia mavazi hata ngoma zao,,,mm naamini kabisa pengine ni babu na bibi zetu walikimbilia kule Mayotte...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…