Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Tanteeeee mwalimu wangu wa nguvuUsijali mwanafunzi wangu. Haya zidi kujifunza na mengine Sesten.
Tanteeeee mwalimu wangu wa nguvuUsijali mwanafunzi wangu. Haya zidi kujifunza na mengine Sesten.
wacha nijidai basiNipo hapa kuhakikisha unafurahi sio unakosa raha
Kwa maringo kidogo basiiiiwacha nijidai basi
Kwa maringo kidogo basiiii
Sawa ndugu nahisi mdogo wako amehama mtaa wetu maana kila nikipita naona sura mpyasawa ndugu yangu, jirani wa mdogo wangu.
Sina wasiwasi na makaribisho yako mwalimu wangu kipenziKaribu sana mwanafunzi wangu weyeee. Umesikia eeee. 😀😀😀
👌👌👌
Namimi nipo nyuma yako nakaziaNakazia Mtanga mie.
💃💃💃💃💃💃💃
Sawa namsubiri ndugu
Namimi nipo nyuma yako nakazia
Hebu twende PM ukanieleze kwa kunong'oneza. Hapa wapambe wengibabu mekuhamu
We babu unatamani kurogwa au mapanga shaaHebu twende PM ukanieleze kwa kunong'oneza. Hapa wapambe wengi
nakuja babuHebu twende PM ukanieleze kwa kunong'oneza. Hapa wapambe wengi
Nakazia Mtanga mie.
nimebanwa tu jirani
nitaaga dada msijali