ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,851
- 41,924
sijambo jirani mekumiss mnoo jiraniUkhuty hujambo jirani yangu
sijambo jirani mekumiss mnoo jiraniUkhuty hujambo jirani yangu
Najaaaaaaa! Sahare ipi? Store? Mnazi mmoja? Kona? Mbuyuni? Kivulini? Kwa baba Ubaya? Au Mangroove beach (Kaya)?nifate sahare
si kweli banaNatumia google map ukhuty wala sipajui
Hahaaa. Mmeniacha ndugu yenu ndio sababu
Mi zaidi jirani ila swali gumu kichwani likawa nitakupateje?sijambo jirani mekumiss mnoo jirani
njoo mpk kivuliniNajaaaaaaa! Sahare ipi? Store? Mnazi mmoja? Kona? Mbuyuni? Kivulini? Kwa baba Ubaya? Au Mangroove beach (Kaya)?
Halafu pale kama wataka kwenda ngamiani au utokezee maeneo ya Central Bakery ni jirani tu, ndio inavonambia gugo map yangusi kweli bana
asante jizrani soon nitakuwa mteja wako mekumiss mnoooo yaanMi zaidi jirani ila swali gumu kichwani likawa nitakupateje?
Nikajua ujenzi wa viwanda unaendelea ila hujanialika
Karibu mi najenga kiwanda cha kutengeneza tofali
Sawa jirani ila inabidi tutete jiraniasante jizrani soon nitakuwa mteja wako mekumiss mnoooo yaan
Njia yangu yakuendea Maktaba hii
Nataka nije nichukue jiko tangaEwaaaaaaa. Hodari hasa tena.
Tayari stand imehamia kange?,kipindi nimekuja nilisikia raia wamegoma kuhamia huko sababu eti ni mbali na mji,by the way usipokuja kunipokea nikipotea lawama zote nitamwangushia Hajarkaribu san naja kukufata kange kabisa
Sisi wazima kwa niaba yake piaKaribu sana karibu, karibu ndugu.
Marhaaaaba. Hamjambo kwa mpigo?
imehamia muda mbonaa tutakuja usijaliTayari stand imehamia kange?,kipindi nimekuja nilisikia raia wamegoma kuhamia huko sababu eti ni mbali na mji,by the way usipokuja kunipokea nikipotea lawama zote nitamwangushia Hajar
Hhehehheeeeiyaaaaa, basi sawa mwalimu nimefurahi kusikia hivo mwalimuHaya Ongeza bidii mwanafunzi wangu kipenzi 😂😂😂😂.
Unakuwa Mtanga na weye atiii. Hahahaaa. Ikiwa ushajua mpaka salamu unapewa tu. Kwani sh ngapi. Hahahaaaaa.
Asante nimefurahi kukuona hapa pia maana tunapisha kweliOoh. Usijali karibu sana ndugu.
Sisi wazima kwa niaba yake pia
Habar ya huko uliko leo nimemwona jirani yangu hapa nimejikuta nimeingia kuunga mkono juhudi za mkoa wa tanga
haaha jirani wewe usinifurahisheNataka nije nichukue jiko tanga
Shikamoo kwa niaba ya ukhuty
Nipo hapa kuhakikisha unafurahi sio unakosa rahahaaha jirani wewe usinifurahishe
kwa niaba yangu