Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

siwezi kusimama na MAFISADI NA MADIKTETA UCHWARA

@NasimamaNaAssad
 
Nchi ina pamba nyingi sana inakosaje nguo?
Mnaenda uchi mkiambiwa mko uchi inakuwaje nongwa?
Tingeni viwalo bana!!
Kuniambia niko uchi mbele ya macho yangu ndio hekima ya kiutu inayohitajika.

Lakini kwenda mbali ya macho yangu halafu ukaongea ukiwa na watu wa mbali kwamba yule jamaa yupo uchi, kana kwamba mimi na wewe sio ndugu, kana kwamba nilikunyima nafasi ya kuniambia kama nipo uchi, ni jambo la dharau.
 
Usichukie kudharaulika huku ukiwa na sifa za kudharauliwa.
 
Kuniambia niko uchi mbele ya macho yangu ndio hekima ya kiutu inayohitajika.

Lakini kwenda mbali ya macho yangu halafu ukaongea ukiwa na watu wa mbali kwamba yule jamaa yupo uchi, kana kwamba mimi na wewe sio ndugu, kana kwamba nilikunyima nafasi ya kuniambia kama nipo uchi, ni jambo la dharau.
Hjyo ndio demokrasia haswaaa!
 
Uwajibikaji gani aliutaka yeye wakati kila kitu kina taratibu zake na yeye anajua na taratibu zinafuatwa ktk ripoti yake.
Nani kakudanganya taratibu zinafuatwa,hazifuatwi na kwa hii trend ya sasa wala hakuna dalili kuwa zitakuja kufuatwa kwa hiki na awamu hii.
Let the truth be said na dunia isikie, kwa dictatorship regime tuliyonayo ngoja tuone kitakachotokea kwa kuwa spika butu tuliyenaye anapokea tu amri kutoka magogoni.
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia[/QUOTE]

Maji taka
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia

Ukimvua mtu nguo utaona uchi, na uchi ni kiungo cha aibu. Je serikali inauchi hata ijisikie vibaya uchi wake kuonekana? Nyie watu msifanye siri. Kwenye pesa za wanyonge na masikini wa tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM nawaona wanarudi mlango wa Nyuma kutetea ufisadi!
 
Nani kakudanganya taratibu zinafuatwa,hazifuatwi na kwa hii trend ya sasa wala hakuna dalili kuwa zitakuja kufuatwa kwa hiki na awamu hii.
Let the truth be said na dunia isikie, kwa dictatorship regime tuliyonayo ngoja tuone kitakachotokea kwa kuwa spika butu tuliyenaye anapokea tu amri kutoka magogoni.
Ufisadi mwingi wa awamu hii utaonekana pale serikali itakapoondoka madarakani!
 
Ndioooooooooo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nipo na Professa,tena sio dhaifu tu ni laini laini kama urojo...
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Wewe ni kilaza uliyepitiliza, kuzungumzia udhaifu wa bunge kwenye kutumia majukumu yake ni kuivua nguo, huo ndio uzalendo.

Mbona mabaya yote ya US tunayasikia sembuse sisi ambao udhaifu wa kitaasisi umepelekea nchi kuwa masikini wa kutupwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kilaza uliyepitiliza, kuzungumzia udhaifu wa bunge kwenye kutumia majukumu yake ni kuivua nguo, huo ndio uzalendo.

Mbona mabaya yote ya US tunayasikia sembuse sisi ambao udhaifu wa kitaasisi umepelekea nchi kuwa masikini wa kutupwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hivyo sasa ametakiwa kuripoti ktk kamati asipoenda kwa hiyari atakwenda kwa pingu.comment na matusi yako hayasaidii....CAG ameivua nguo nchi mbele ya mataifa huko nje.
 
Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!

#Assaditembeakifuambele

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.​

Theodere Roosevelt
Nasimama na Prof Assad
 
Back
Top Bottom