Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Kama vile na kuelewa mkuu, ila mm naona Israelite ni kama taifa lenye laana sana. Hata kwenye Bible inaonekana trauma wakiyoipitia Egypt iliwakaa na kuwa haribu vizazi na vizazi
Ujinga na Upumbavu ndiyo unakusumbua kwa kuwa hutumiiI akili zako vizuri ukiambiwa utafute Taifa lenyewe Alana utawatafuta wayahudi? Kwa vipi? Watu ambao wamekufanya wewe uwe na mawasiliano ya simu na computer wana teknolojia za kila aina wana uwezo wa kugeuza Jangwani kuwa nchi ya rutuba na wanaoweza kugeuza maji ya bahari kuwa maji ya kuweza kunyweka na binadamu.

Isitoshe wao mpaka sasa hivi wao ni vidume kwa mambo ya kijeshi huko Mashariki ya Kati mpaka huko Iran na wayahudi ndiyo Chanzo cha Gaidi Ali Khamenei na magaidi wengine kuuwawa hiyo Lana imetoka wapi? Wewe ndiye Una laana kwa kuwa Mwarabu-koko asiyejitambua!!
 
Attachments

  • IMG_0071.jpeg
    IMG_0071.jpeg
    148.3 KB · Views: 6
  • 3542352327921538037.mp4
    749.8 KB
  • IMG_0302.jpeg
    IMG_0302.jpeg
    228 KB · Views: 4
  • IMG_1352.jpeg
    IMG_1352.jpeg
    223.3 KB · Views: 5
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.

Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.

Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo

Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Vipi kuhusu mtazamo wa shekhe mwaipopo kuhusu wayahudi
 
Ujinga na Upumbavu ndiyo unakusumbua kwa kuwa hutumiiI akili zako vizuri ukiambiwa utafute Taifa lenyewe Alana utawatafuta wayahudi? Kwa vipi? Watu ambao wamekufanya wewe uwe na mawasiliano ya simu na computer wana teknolojia za kila aina wana uwezo wa kugeuza Jangwani kuwa nchi ya rutuba na wanaoweza kugeuza maji ya bahari kuwa maji ya kuweza kunyweka na binadamu.

Isitoshe wao mpaka sasa hivi wao ni vidume kwa mambo ya kijeshi huko Mashariki ya Kati mpaka huko Iran na wayahudi ndiyo Chanzo cha Gaidi Ali Khamenei na magaidi wengine kuuwawa hiyo Lana imetoka wapi? Wewe ndiye Una laana kwa kuwa Mwarabu-koko asiyejitambua!!
Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?

Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
 
Wala sio wao 20% ya hisa ni kwa mmiliki mwenyewe, 20% bytedance na 60 ni makampuni mbalimbali duniani, pamoja na hayo bytedance ya china ndio mmiliki.
 
Wayahudi wameokolewa na familia ya Rotschild , kuna familia nyingine ila sijazijua zaidi ..Ukisoma utaelewa , hao jamaa ishu ya kujitenga kwao ni kama trauma , wanafundisha vizazi vyao ili wasije kusahau mateso makubwa waliyoyapitia .

Wayahudi wanaishi maisha ambayo yako kinyume na binadamu wengine, japo unawaona wana teknolojia kubwa na pesa ila jamaa wanaona kama wametengwa na dunia.
Wewe sasa ndio unamwaga facts mkuu.
 
Ingia wasikilize raia wana maoni gani
Mimi nimeshikilia hapo umesema ni weupe kichwani. Labda kama unamaanisha kuhusu mitazamo yao binafsi kuhusu jambo flan ila kama una maanisha AKILI, aaah hapo mjomba dunia nzima itasubir sana kwa hao voumbe wanaoitwa Jews. Bila hao hakuna dunia hii ilioendelea tunayoiona sasa
 
Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?

Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
Ujinga wako uliomezeshwa na waarabu ndiyo unakufanya uamini wayahudi wamelaaniwa?

Watu waliokufanya uwe na simu,computer na vifaa vingine vya kisasa wewe unawaita wana laana bila Shaka yoyote wewe na waarabu wako ndiyo mna laana kubwa sana

Kama unajiamini Acha kutumia vifaa vyao tuone Kama utaweza kutumia huo UHARO wako humu JF
 
Attachments

  • export_1790062072853.mov
    1.3 MB
Mimi nimeshikilia hapo umesema ni weupe kichwani. Labda kama unamaanisha kuhusu mitazamo yao binafsi kuhusu jambo flan ila kama una maanisha AKILI, aaah hapo mjomba dunia nzima itasubir sana kwa hao voumbe wanaoitwa Jews. Bila hao hakuna dunia hii ilioendelea tunayoiona sasa
Ukisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?

Tembea ujionee mpaka mayahudi ombaomba yamejazana dunia nzima
 
Ujinga wako uliomezeshwa na waarabu ndiyo unakufanya uamini wayahudi wamelaaniwa?

Watu waliokufanya uwe na simu,computer na vifaa vingine vya kisasa wewe unawaita wana laana bila Shaka yoyote wewe na waarabu wako ndiyo mna laana kubwa sana

Kama unajiamini Acha kutumia vifaa vyao tuone Kama utaweza kutumia huo UHARO wako humu JF
Hakuna cha maana unacho ongea
 
Wala sio wao 20% ya hisa ni kwa mmiliki mwenyewe, 20% bytedance na 60 ni makampuni mbalimbali duniani, pamoja na hayo bytedance ya china ndio mmiliki.
Endelea kujifariji na ujinga wako huo!!

Israel si wajinga Kama wewe ulivyomezeshwa na Sheikhe wako Mwaipopo!!! Jiulize kwa nini nchi zote za kiarabu wameua yatoa mbele ya Wayahudi? Hapo ndipo utajua wewe na ukoo wako mna laana kubwa!!!
 
Attachments

  • IMG_4915.png
    IMG_4915.png
    729.7 KB · Views: 6
  • v14044g50000cs4h5dvog65nqdr0h52g.mp4
    10.1 MB
  • IMG_0071.jpeg
    IMG_0071.jpeg
    148.3 KB · Views: 5
Ukisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?

Tembea ujionee mpaka mayahudi ombaomba yamejazana dunia nzima
Eti wayahudi Ombaomba ndivyo ulivyo karirishwa na Sheikhe Mwaipopo?

Je wajua kuna Pillcam Na teknolojia nyingine ambazo ni made in Israel? Endelea kuwa Bumunda
 
Attachments

  • export_1790063063710.mov
    3.5 MB
  • v26044gc0000danhvmnog65tvbt2048g.mp4
    5.5 MB
Back
Top Bottom