X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
- Thread starter
- #21
nifanyeje sasa iliniishinde nisaidie tafadhariKwasababu mnaiendekeza.
nifanyeje sasa iliniishinde nisaidie tafadhariKwasababu mnaiendekeza.
Una hobby?nifanyeje sasa iliniishinde nisaidie tafadhari
enh mama maana mimi ni mvulana sijafikia kwenye uanaume...nisaidie ki mawazo[emoji3] [emoji3] eti wavulana!!
Una hobby?
hobby yangu labda ni kuperuzi na kujifunza vitu kimtandao yani mitandaoni...ila si mpenzi wa mipira wala mchezo wowote labda magame ya kwenye computer hasa ya mashindano ya magari.Una hobby?
Acha hizo wewe. Kijana ni lijali, ila ajali ubinadamu aendelee kuwa ajidhibiti.self control is the keyBaba unapepo la ngono inatakiwa ukaombewe ufunguliwe
nipo kati kati ya uvulana na uanaume...Mvulana? Una umri gani
asante mzee mwenzangu...point yako nimeielewa sanaAcha hizo wewe. Kijana ni lijali, ila ajali ubinadamu aendelee kuwa ajidhibiti.self control is the key
Mzee tena ?asante mzee mwenzangu...point yako nimeielewa sana
oh samahani tatizo jina lako la kizungu miongoni mwa majina adimuMzee tena ?
Kutamaniana ni muhimu. God created us that way purposely. Ingekuwa kinyume cha jinsi unavyojisikia tusingekuwepo hapa. But little boy narudia tena self control.asante mzee mwenzangu...point yako nimeielewa sana
asante kwa ushauri wako mkuuKutamaniana ni muhimu. God created us that way purposely. Ingekuwa kinyume cha jinsi unavyojisikia tusingekuwepo hapa. But little boy narudia tena self control.
ndio tamaa zenyewew izo mkuuMimi nina uhakika sitaman ila ikitokea nmepishana na mrembo lazima shingo igeuke! Automatically.[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ndio tamaa zenyewew izo mkuu
dah mkuu umeniacha njia panda...can you tlanslate it pleaseUkiondoa mbwembwe zote za binadamu (Human Beings) your purpose here on earth is to seek a potential mating partner and ensure the perpertuation of your own kind... So naturally for men there is an innate, subconscious desire to have sex (mate) with as many partners as one can...
wewe je ama wewe mwanaume wa dar...Wavulana wenzio watakuja kukujibu usijali
Mimi mwanaume wa dar mbezi beach, tangi bovu. Karibu utoe tongo tongowewe je ama wewe mwanaume wa dar...