Wavulana; Kwanini tamaa ya kimwili inatutesa?

hobby yangu labda ni kuperuzi na kujifunza vitu kimtandao yani mitandaoni...ila si mpenzi wa mipira wala mchezo wowote labda magame ya kwenye computer hasa ya mashindano ya magari.
Kwa kijana kama wewe ni vizuri pia uwe na hobby inayojuisha physical activities kama kukimbia, kucheza mpria, kuogelea, kwasababu unahitaji kuimarisha muscles, mifupa pia mzunguko wa damu, inasaidia pia kufanya akili itulie, na pia focus yako kwenye ngono itapungua.
 
asante kwa msaada wako...kuogelea napenda sana itanibidi nianze kwa kasi sana...
 
Kwasababu mnaiendekeza.
Sio kujiendekeza mamii,na nyie mnatutesa sana mabarabarani yaani mnatetemesha matako na kuyafanya yakipymana uzito la kushoto linapanda la kulia linashuka,halafu chupi hamavai ,sasa hiyo ni mtihani vijana kutwa tunapaisha juu kama mlingoti wa hema.
 
kumbe sipo peke yangu sasa mwenzangu unaimudu vipi hii hali ama ndio full mechi za mchangani...?
Dawa ni moja tu, ukiona umetamani demu mtaani unaenda kukamatilia papuchi ya mama watoto huku unaimagine ndo yule demu sasa. Asikwambie mtu, kila siku utakua unamuona mama watoto mpya na ndoa itadumu.
 
Tamaa ya Uzinzi ndiyo inakusumbua pia unajiendekeza sana kwani kila mwili wako unapotamani mwanamke huukatalii, hebu jitambue na jifunze kuwa mme mtulivu kwa baadae yaani oa huyo uliyenae, uache kuruka ruka. MWANAUME HASIFIWI NGONO.
 
asante mkuu njiia hii inaweza kunisaidia aisee nashukuru sana
 
Tamaa ya Uzinzi ndiyo inakusumbua pia unajiendekeza sana kwani kila mwili wako unapotamani mwanamke huukatalii, hebu jitambue na jifunze kuwa mme mtulivu kwa baadae yaani oa huyo uliyenae, uache kuruka ruka. MWANAUME HASIFIWI NGONO.
asante nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Back
Top Bottom