Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

Einsten

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
741
500
Sio uchafu wa local wa .co.tz nazungumzia .co.uk kwa Bei hiyo kumbe hata taarifa huna?
wewe unaonekana umevamia hii fani hivi unajua faida ya kutumia .tz domain?1
Kwenye SEO (Search Engine Optimiztion) kuna kitu inaitwa local optimization ukitumia .co.uk ina maana una plan ya kutarget watu wanaoishi UK sasa mtu una kampuni ya kusafirisha bidhaa kutoka dsm kwenda tunduma kweli utataka UK based visitors?.
Unavyoona .co.uk ni sawa na .co.tz, .co.ke, .co.za etc utofauti ni nchi tu na ukiona .co.uk unalipia 0.99 usd angalia mwaka unaofuata utachargiwa bei gani.

Hizi fani kama sio yako sio lazma kila kitu upost ili uonekane umepost nyie ndio mnaenda Eagle wings mwez mmoja alaf mnasema ni specialized IT.
Mm mwenyew kipind namaliza chuo nilikuwa nashusha sana bei ilimrad nivute wateja lakn kusema ukweli kuna wateja niliwakosa coz mm niliwaambia kutengeneza website yenye Php form 250,000 alaf kuna majamaa waliwaambia 700,000 wakajua mm mzushi wakaenda kutoa laki 7, yaan bora mteja akimbie ila kazi yake nitaifanya kwa bei yangu achana na theme ambayo unakuta karibu website 1000 zote zinafanana.
 
Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
818
1,000
Hao wa 50% OFF
Ni random guys wanaodhani Wordpress au Wix ndio Web Programming
Hawajui chochote kuhusu codes

Thus why kuna wajinga humu wanajua website zinatengenezwa kweli by 'Dragging' na 'Dropping' bila kujua code

Wordpress ni website builder, kuna real developers nyuma yake wanao tengeneza hizo themes na third-party plugins zinazo extend core wordpress

Hao ni wordpress developers, na wote ni PHP developers

hakuna website inayotengenezwa bila codes, Wordpress ilitengenezwa kwa wasio jua codes, nao kupata access ya kumiliki simple websites zinazoweza scales up to few thousands users tu, kama blog au simple e-commerce bila haja ya ku hire developers

Zina limitations na ni ngumu sana kuzi maintains

Watu hawajui mda gani unapaswa utumie website builder na mda gani hutakiwi

Kama unataka watu wajue na wewe una 'website' tumia WordPress au Wix

Ila kama una idea nzuri ya biashara, na una business model inayo Promise 'pesa nyingi'

Documenting idea yako, Tafuta real developers wa craft web au mobile app yako from the scratch using Modern Programming tools ambazo zipo well documented, secure na zinazo ruhusu App yako ku scale up to Millions or billions users

I'm not bashing Wordpress, ni massive PHP based website builder inayo run millions of websites

Ninachosema ni kuwa sio option sahihi kama una idea nzuri ya online Business

By the way unaweza pata website ya Tsh 20,000 kama ni ki template ninachoweza kuki generate kwa dakika 1,na hakina maana yoyote ile nachukua 20,000 yako kwa dakika

Na sikiweki kwenye resume yangu
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000

Naaam! 🙏
 
Watu hawajui tatizo ndio maana bloggers wakubwa kama neil patel, pete cashmore, brian dean, perez hilton, peter rojas nk hawa site zao hawatumii themes/templates coz zinapokea millions of visitors per day hawa wamecode blog zao na hapa ndio utajua kuwa kuna limitations za kutumia themes/ templates.
 
Underwood

JF-Expert Member
Dec 25, 2020
743

Hapa ndipo ilipo tofauti ya sisi na wao.
 
Dive

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
774
1,000
Kuna dogo anataka asomee Professional Photography je vyuo ni vipi naombeni contacts ila ni drop out hana cheti Cha Form Four
 
Einsten

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
741
500
Kuna dogo anataka asomee Professional Photography je vyuo ni vipi naombeni contacts ila ni drop out hana cheti Cha Form Four
course hzo tafuta vyuo vya wahindi posta kama upo dar wapo vizur sana.
 
Mtali

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
2,979
2,000
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?

Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko linasumbua sana ndugu zangu ama mnaona ni kawaida kushusha bei mara kwa mara?

Basi hata kufanya freelance huko upwork, Fiverr, na freelancer inashindikana pia?

Maana huwa naona ni kama kuna kitu hakiko sawa.

Msinichukulie vibaya lakinI Haya mambo huwa nayafikiria sana atleast kama itashindikana ni bora kutengeneza solution ambayo mtakuwa mnachaji watu kwa mwezi au hii haiko poa na inashindikana?.

Leo 50% OFF KESHO 20% OFF ITAFIKA HADI 10%

Maybe wakomgwe watatoa duku duku lao pia kusaidia vijana wenzangu
May be its because of demand and supply..... If other factors remain constant
 
proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,268
2,000
Ujinga huu!
Web development ina sehemu mbili, Design na Development. Tools nyingi zinajaribu kupunguza Development time. Ila design work ipo pale pale.
Na kuna task ambazo inabidi uandike wewe au ununue kwa mtu iwe in form of code or Plugin.

Unanunua wapi domain ya .co.tz kwa mfano kwa 1,300TZS? Huu ujinga mwingine!
Zipo mpaka za 5000
 
Einsten

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
741
500
Zipo mpaka za 5000
Duuuh mm blog tu siwez kwa hiyo pesa ndio sembuse website ya kampuni ndio nikutengenezee kwa 5000.
Pole yao ila tatizo wengi hawajui price negotiation na ukiwa cheap sana mtu anaogopa coz anajua ata product itatoka mbovu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom