Wauza kahawa wanabeba siri nzito sana sema basi tu

Niliwahi kunywa siku moja.mapigo ya moyo yalienda kasi sana na jasho likawa linanitoka hatari.tangu siku hio sijawahi kunywa tena
 
Niliwahi kunywa siku moja.mapigo ya moyo yalienda kasi sana na jasho likawa linanitoka hatari.tangu siku hio sijawahi kunywa tena
ungepima huenda ulikuwa na presha! kahawa huchangia kupandisha presha ya kushuka!
wagonjwa wenye presha ya kushuka wanashauriwa kunywa kahawa!
huenda wewe ulikuwa na presha ya kupanda ikajipandilia
 
Hivi hii mnayokunywa hapa Dar ni kahawa kweli, mbona nyeusi sana ?

Halafu mnapata raha gani kwa uchungu ule.

N.B

Nimewahi kunywa mara 2 kwa kununuliwa na watu.
Mimi nilikuwa na uncle wangu alikuwa anauza nikiwa mdogo. Sasa siku moja amemaliza kahawa akanipa birika nipeleke home maana palikuwa jirani tu. Aisee! Nilikuwa najua kahawa ni tamu mno ndio maana inashambuliwa chap, kuna ile ya kumalizia kwenye birika alikuwa anaacha kwaajili yake. Nikasema leo lazima niinywe. Nikafungua birika nikamimina mdomoni nilihisi nataka kuzimia. Tokea hapo sijawahi hata kuiwazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naamini watu wengi wanakunywa kwa kufuata mkumbo tu.

Sidhani kama mtu anapata kabisa kiu ya kahawa mpaka kuinunua.
 
kwahiyo habari hii umeiamini 100%.

ukiambiawa siku mke wako anauza papa nadhani hapohapo utamfukuza kisha wajanja watamuoa uanze kulia kulia..sio kila la kuambiwa au maoni uyatolee maamuzi papo hapo
Mh, kula uchafu, maji ya mitalo DSM kazi kubwa ni mavi toka septic tanks!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu huzama chumvini kudeki!!!. sasa hayo maji ya mtaro yakichemshwa si bora zaidi!, yaani muuza kahawa akose pesa kisa hana maji? atatia chochote almradi kahawa ipatikane!
chumvi ni kitu
kwahiyo habari hii umeiamini 100%.

ukiambiawa siku mke wako anauza papa nadhani hapohapo utamfukuza kisha wajanja watamuoa uanze kulia kulia..sio kila la kuambiwa au maoni uyatolee maamuzi papo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza matusi, tolea mfano mama yako kuwa anauza papa! baba yako atamuacha na wenaume mtaani wamuoe...tolea mfano mama yako
 
Baadhi ya wauza kahawa wakichoka kutembea huwa wanafanya mambo ya ajabu sana ilmradi wasitupoteze wateja wao!

Yale mabegi mgongoni yana kila kitu, yana beba mkaa, kiberiti, kashata, Katanga, kopo la kahawa,vikombe n.k

Hiyo ni mbinu za kuhakikisha kahawa inawafikia wateja masaa yote 24 na kuhakikisha moto hauzimiki kama ilivyo mbio za mwenge.

Kwasababu hakuna kazi isiyokosa kasoro, pia hii kazi ina pesa lakini shurti uzingatie masharti.
  1. Sharti la kwanza la kuuza kahawa ni marufuku kupanda daladala au Gari binafsi hata kama utapewa lifti.
  2. Sharti la pili usiwe na haraka na safari .
  3. Usipite kilinge bila kuwasalimia
  4. Usichangie mada mbalimbali za kwenye vilinge n.k
  5. Pitia site na rindo za wateja wako mda muafaka .
CHANGAMOTO
Zipo changamoto mbalimbali za kazi hii ingawa hii ina faida kubwa!
  • Wakati wa jua Kali wateja hupungua,
  • Mabirika ya kahawa ni mazito lakini yanazoeleka
  • inabidi kuweka moto kidogo kidogo ili kutunza joto.
  • Upatikanaji wa maji ni mgumu hasa kahawa inapoisha huko njiani hivyo hulazimika wakati mwingine hujazia kwa maji ya kwenye mitaro au yale yale ya kuoshea vikombe -Haizuru..
  • kwenda miguu na kurudi kwa miguu.View attachment 1027645
ndugu yangu kwenye maji hapo naona utasababisha watu wasinywe kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha Kwa Jinsi MWENYEZI MUNGU Alivyo Ni Muweza ,;mteja Akipewa Kahawa Iliwekwa Maji Ya Mitaroni Anaweza Akaisifia Kuwa Hiii Ya Leo Ndo Yenyew Na Usishangae Akamkaribisha Aje Kesho Na Kahawa Ya Kiwango Cha Namna Hyo
 
Wallah we acha tu.

Kwa mfano, ukienda kwa muuza chips ukaona maji anayooshea viazi ukalinganisha na chips zilivyo tamu, utaamini maji yaliyooshewa viazi ni opaque?
 
Ila mtoa mada ulichokifanya sio vizuri kabisa,Unawaaribia brand yao hawa vijana walio wengi wauzao kahawa
 
Hahahahaha Kwa Jinsi MWENYEZI MUNGU Alivyo Ni Muweza ,;mteja Akipewa Kahawa Iliwekwa Maji Ya Mitaroni Anaweza Akaisifia Kuwa Hiii Ya Leo Ndo Yenyew Na Usishangae Akamkaribisha Aje Kesho Na Kahawa Ya Kiwango Cha Namna Hyo
kabisa na inakuwaga tam sana kama penzi la porini lilivyotamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom