Wauza kahawa wanabeba siri nzito sana sema basi tu

Yaani waswahili na ukarimu wote huo akienda kuomba maji katika hizo nyumba anapita watamnyima?
Hapa sasa kuna % kubwa hawatakunywa tena kahawa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
umenifanya nkawaza sana wale wanaotembea mfukoni/kwenye mabegi wakiwa na kondom na ViPIMA HIV, na kutekeleza hivyo kabla ya mgegedo (nao wana siri kubwa sanaa)
 
Baadhi ya wauza kahawa wakichoka kutembea huwa wanafanya mambo ya ajabu sana ilmradi wasitupoteze wateja wao!

Yale mabegi mgongoni yana kila kitu, yana beba mkaa, kiberiti, kashata, Katanga, kopo la kahawa,vikombe n.k

Hiyo ni mbinu za kuhakikisha kahawa inawafikia wateja masaa yote 24 na kuhakikisha moto hauzimiki kama ilivyo mbio za mwenge.

Kwasababu hakuna kazi isiyokosa kasoro, pia hii kazi ina pesa lakini shurti uzingatie masharti.
  1. Sharti la kwanza la kuuza kahawa ni marufuku kupanda daladala au Gari binafsi hata kama utapewa lifti.
  2. Sharti la pili usiwe na haraka na safari .
  3. Usipite kilinge bila kuwasalimia
  4. Usichangie mada mbalimbali za kwenye vilinge n.k
  5. Pitia site na rindo za wateja wako mda muafaka .
CHANGAMOTO
Zipo changamoto mbalimbali za kazi hii ingawa hii ina faida kubwa!
  • Wakati wa jua Kali wateja hupungua,
  • Mabirika ya kahawa ni mazito lakini yanazoeleka
  • inabidi kuweka moto kidogo kidogo ili kutunza joto.
  • Upatikanaji wa maji ni mgumu hasa kahawa inapoisha huko njiani hivyo hulazimika wakati mwingine hujazia kwa maji ya kwenye mitaro au yale yale ya kuoshea vikombe -Haizuru..
  • kwenda miguu na kurudi kwa miguu.View attachment 1027645
Nilitaka kujua hiki kichupa, huwa nakionaga sana mafundi cherahani au mafundi nguo hua kinakuwa na kilainishi ,sasa huku kwa hawa jamaa wa gahawa vipi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATA WAUZA JUICE ZA UKWAJU AU PARACHICHI WAUZA CHAI ZA KUTEMBEZA MAJI WANAYOTUMIA NI MACHAFU SANA HAWEZI KUNUNUA UHAI ATENGENEZEE JUICE HAPATI FAIDA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HATA WAUZA JUICE ZA UKWAJU AU PARACHICHI WAUZA CHAI ZA KUTEMBEZA MAJI WANAYOTUMIA NI MACHAFU SANA HAWEZI KUNUNUA UHAI ATENGENEZEE JUICE HAPATI FAIDA


Sent from my iPhone using JamiiForums
;);)
 
Leo nimegundua kuna matusi kumbe yana hekima ndani yake

ha ha ha ha
eti maji ya mtalo au maji ya kuoshea vikombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom