Wauaji wa Michael Okema; wako wapi?

Bongolander,
Babangida alisema wapi hayo maneno? Mimi nilidhani ni rahisi kuongoza watu walio submissive kuliko say Thailand, Ukraine, South Korea au Greece?
 
Bongolander,
Babangida alisema wapi hayo maneno? Mimi nilidhani ni rahisi kuongoza watu walio submissive kuliko say Thailand, Ukraine, South Korea au Greece?

Mkuu alisema maneno haya alipokuja ziarani Tanzania. Nimesahau ni mwaka gani, lakini alishangaa sana alivyopokewa toka airport hadi ikulu watu walijipanga kumpigia makofi njia nzima, na alishangaa sana alipoenda sabasaba Kilwa road ambapo kila mara alipigiwa makofi. Alisema hiyo kwao Nigeria hiyo haiwezi kutokea, kwa kuwa wenye malalamiko dhidi ya rais na serikali huwa wanareact forcefully kama akitokea njiani. Alishangaa kuona watanzania hawana malalamiko wala kinyongo dhidi ya viongozi wao.
 
na ni kitu gani hasa kilimsibu Kassim Hanga? alipotea wakati wa mwalimu na karume the father na mpaka leo hakuna taarifa rasmi za serikali!!!!!!!!!!!
 
Na yule dereva aliyetuhumiwa kuhusika na ajali ya gari la mbunge na Naibu Waziri kule iringa yuko wapi?

Wamesahaulika wote, kwa kuwa watanzania ni vichwa vya Panzi. Hata leo Mwanakijiji ukiuawa tutalia dakika tano tu, na yutaendeleza unafiki wetu wa kitanzania "alikuwa mpenda maendeleo"...."alikuwa mwema".... "alikuwa mzalendo"... "bwana ametwaa" and that kind of crap.

Ubaya ni kuwa ukiwa hai hauonekani kuwa na maana na sifa hizo hazisemwi.
 
Back
Top Bottom