Watumishi wa Umma Hawajitambui

Watumishi wa Umma Hawajitambui

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,165
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
 
Aisee!
 
Kuna jamaaa nilipanda nalo daladala juzi likawa niabwatuka tu kwamba ankali kadhibiti ufisadi nikataka nilichane sema nikahofia watu wasiojulikana wanaweza wakanipigaa tanchi maana ANKALI kawajaza kibao mitaani.

Nilitaka kuliambia kwamba katika awamu zote hii ya 5 ndio imevunja rekodi ya ufisadi.

-2.4T
12usd m za NDUGAI
-Gharama za matibabu zimepaa kwa kasi ya bombadia
 
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
We ni moja ya wapuuzi kwahiyo watumishi wa Umma ni TAKUKURU na TISS peke yake? je ni lazima watu wt wawe na mawazo au upeo kama wa kwako, hufikirii kwamba watu wana mawazo tofauti tofauti na uelewa tofauti tofauti?

Huyo aliyeongea huo ujinga na wewe unayekuja kulalamika hapa wote akili zenu ziko sawa may be tofauti ni kwamba wewe umekuja kuelezea ujinga wako hapa JF
 
Amekutaarifu kuwa yeye ni mtumishi wa uma au ndo mnatukadiria?
Mtoa mada anazingua mbaya, hivi watumishi wa Umma ni anavyoumia kuna anaeweza kukaa akasifia ujinga kama huo, hicho kiwanja cha chato au hao wanyama watakaopelekwa huko mtumishi wa Umma atafaidika nao nn mpk asifia kiasi hicho? Sasa jinga moja linakuja hapa kusema atakuwa TAKUKURU au TISS, hovyo kabisa.
 
Bavicha hulazimisha watu wote kuwa na mitazamo kama yao
 
We jamaa ni maandazi na poyoyo kabisa.
Kukaa na mtumishi wa umma mmoja unafanya conclusion ya watumishi woote.
Ndio maana Mh Lowasa alisema ELIMU ELIMU ELIMU...

Sample ya mtumishi mmoja umeitumia kusema watumishi wa umma ni hovyo??
 
Bavicha hulazimisha watu wote kuwa na mitazamo kama yao
Umejuaje mleta mada ni Bavicha? Au Bavicha waliwahi kukupiga mimba halafu wakakutelekeza hivyo una bifu kali nao na usipowataja kipele kinawashwa.
 
Watumishi wa umma wengi wamelemaa kiakili,kufanya kazi ileile kwa ratiba ileile kwa miaka mingi hudumaza fikra
 
Mawazo potofu kabisa haya! Kwa hiyo kwa akili yako unategemea aliyeshiba awe na mawazo/hali sawa na yule mwenye njaa!
 
hahaaaa hapa lazima kutokee mtifuano, watu wana hasira zao lazima watembee na ww.

ila mzee ume generalize sana,
 
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Kazi ipi uliyolifanyia taifa kuwazidi hao watumishi wa umma wasiojitambua mpka kuwatusi??

Usimalizie hasira zako kwenye kundi dogo la wazalendo wanaolitumikia Taifa katika hali zote.
 
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Wewe pia hujitambui

Huwezi kuandika heading yenye ''generalization'' kiasi hicho kwa kumuona mtu mmoja tu aliyekuchefua ukaamua kumuita mtu huyo mmoja "WATUMISHI WA UMA"
 
Kwani mkuu nimesema wa "UMA?"
 
Back
Top Bottom