Watumishi wa Umma Hawajitambui

Watumishi wa Umma Hawajitambui

Hapo ndipo utakapoona Mwafrika, na mawazo ya kutaka nchi ya asali na maziwa.

Mawazo pinzani na yake ni sumu, ila huku akilalamikia Demokrasia.

Hebu jiulize wakati jamaa anaongea, yeye slikua kimyaaa, hasira zake amekuja kumalizia jamii forums, kwa kuwazodoa watumishi Umma.
We ni moja ya wapuuzi kwahiyo watumishi wa Umma ni TAKUKURU na TISS peke yake? je ni lazima watu wt wawe na mawazo au upeo kama wa kwako, hufikirii kwamba watu wana mawazo tofauti tofauti na uelewa tofauti tofauti?

Huyo aliyeongea huo ujinga na wewe unayekuja kulalamika hapa wote akili zenu ziko sawa may be tofauti ni kwamba wewe umekuja kuelezea ujinga wako hapa JF
 
Nchi hii tumefika hapa kwa sababu ya upinzani legelege,wezi, usiojali maslahi ya umma bali watu binafsi wanaowatumia vijana kama mtaji Wa kula yao pasipo vijana hao kuwaza kwa upana na hivyo kutojitambua. Kwa namna hii naweza sema upinzani uliopo TZ hauhitajiki kwa sababu hauna tija.
 
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Kama huna cha kupost kaa tu kimya yaani changia tu kama mimi
 
Hapo ndipo utakapoona Mwafrika, na mawazo ya kutaka nchi ya asali na maziwa.

Mawazo pinzani na yake ni sumu, ila huku akilalamikia Demokrasia.

Hebu jiulize wakati jamaa anaongea, yeye slikua kimyaaa, hasira zake amekuja kumalizia jamii forums, kwa kuwazodoa watumishi Umma.
Kama unafikri yanajitambua subiri 2020 tuyaongezee elfu 50 uone yatakavyopiga vigelegele na kusahau machungu yote ya miaka minne!
 
Back
Top Bottom