kama ishu ni albino,viongozi wa kisiasa wameingiaje,hasa yule mbunge mtarajiwa?Ni kweli kabisa mkuu, huyu jamaa alikuwa mtu wa watu na hizo habari zilikuwepo pale msibani, kuwa alikuwa akijitolea sana kwa masuala ya watu wake wilayani.
Inasemekana kati ya walioua albino wengine walikuwa bado kukamatwa.
Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumewezekana kutokana na ushirikiano mkubwa uliotolewa na wananchi. Wananchi wa Kiwira walionyesha hasira yao ya wazi dhidi ya kila aliyehusika mauaji hayo, na kuanzia usiku ule ule ilipofahamika walianza kutoa ushirikiano kwa kuwataja kila waliyemshuku.
Muaji alifahamika muda mfupi, lilikuwa jukumu la polisi kumtafuta kwa sababu walielezwa hata mienendo yake na inasemekana ana biashara Tunduma na Uyole.
Iwapo polisi wasingemkamata ndipo wangewajua watu wa Mwankenja aka Kiwira ni nani, hasira yao ingeishia kwao. Hata unapongea na RPC unaiona hofu yao iwapo wasingewakamata, walitafuniwa kila kitu.
Inasemekana marehemu alikuwa ameweka maslahi ya taifa mbele juu ya Mashamba ya chai na mwekezaji wa kihindi.Wenye taarifa kamili watupe[/QU
inawezekana mauaji yaliyotokana na tamaa mbaya!kama ni kkweli nafikiri ni njia nzuri ya kurekebishana
Mkuu dont panic nchi inaendeshwa kwa ushirikiano na serikali , na kukamatwa kwa watuhumiwa ni baada ya serikali kutoa wito wa kuomba habari zozote zinazohusiana na tukio hili kutoka kwa wananchi.
Wananchi waliitikia , tena kwa wingi sana.
Vinginevyo ukitaka kupambana na Polisi basi hapo mi sipo!
Kwa taarifa yako kati ya wanao tuhumiwa katika mauaji ya J Mwankenja ni wanaCCM wa eneo lake.
Cool down and think positively even in the worst of scenarios.
kama ishu ni albino,viongozi wa kisiasa wameingiaje,hasa yule mbunge mtarajiwa?
kama ishu ni albino,viongozi wa kisiasa wameingiaje,hasa yule mbunge mtarajiwa?
hongera Polisi Tanzania