fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,988
- 24,769
Naona yuko kimya. I don't wanna hear bad news about the guy
Naona yuko kimya. I don't wanna hear bad news about the guy
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha muundo wa maombi utakuja kunishukuru baadaeMkuu hakuna kiumbe anamuomba ana muomba Mungu kama mimi dunian
Mungu ni mashaid
Nimekuwa ni mtu wa kuteseka tu hakuna msaada wala matumain
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss unaweza kujiona una shida kubwa sana kama hujaona wenye shida bado.Mkuu hakuna kiumbe anamuomba ana muomba Mungu kama mimi dunian
Mungu ni mashaid
Nimekuwa ni mtu wa kuteseka tu hakuna msaada wala matumain
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi @mrdevil anajua umuhimu wa Mungu ila wapumbavu hawaamin
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri kidogo nikupe dili. Uza figo kuna watu wanahangaikia roho zao we unataka kujiteketeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mtumishi.Naungana na wewe kumueleza ndg yetu mzuri Mayala B kwamba kwa Jina la Mwenyezi Mungu YAHWEH,ataondokewa na shida zake zinazomsumbua.Mkuu jipe moyo wiki ijayo muda kama huu hautakuwa kwenye hali hii uliyonayo sasa, kwa namna yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app