Watu weusi, tunafanana sana Kitabia kuliko tabaka lingine zote duniani

Mi nimewastukia,ndio maana naona bora CCM kuliko hao wapuuzi,wataharibu zaidi,akili visoda
 
Unaijua vizuri Historia ya ANC?
ANC yenye miaka 101 unataka kuilinganisha na EFF yenye miaka 8?
Au hizi ndio akili zenyewe za watu weusi zinazofanana kama ulivyoandika kwenye uzi wako?
uchadema na uccm uweke pembeni katika hii mada.
unaposema Rais anagombea na mwanachama mwingine atakayetaka kumchalenji kwenye uchaguzi wa chama unakuwa unakusudia kusema nini hasa? kwamba the rest hali hiyo haipo, ama?.
ikiwa hoja ni kugombea na mwanachama mwingine kumbuka
Eldeforce kutoka kasulu alichukua fomu kogombea urais dhidi ya Pombe.

nilichokusudia katika mada yangu ni kwamba:, bila Police na Mahakama ya SA kuwa na uti wa MGONGO yale unayoyaona na kuyasikia ndani ya siasa za Tanzania ungeliyasikia na SA pia.
kinachowanusru akina Malema ni mihimili mingine ya nchi imesimama na KINGINE akina Malema hawana sera wala maono ya kuitoa SA ilipo wanachojua ni kudili na matukio na kuhamasisha vurugu.
NOTHING new from THEM
 
Lakini vipi kuhusu siasi zao za matukio?..

Siasa za matukio unamaanisha nini. Mfano Cdm walisema watatoa elimu bure toka shule ya msingi hadi chuo kikuu, ccm wakasema haiwezekani. Lakini 2015 wakaurukia sera hiyo. Cdm kipindi cha Magufuli walisema kuna covid na inabidi chanjo ziletwe kwa ajili ya watu kupata kinga. Ccm wakati huo wakasema hakuna corona na hachanjwi mtu. Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ccm wanakubali kuna corona na chanjo zimeletwa, huku mwenyekiti wao ambaye ni rais wetu akiwa mstari wa mbele kuhamasisha chanjo!

Hiyo ni mifano michache nimekupa ili uniprove wrong, au hilo neno kuwa wapinzani wanafanya siasa za matukio umelibeba kama bendera fuata upepo, kisha na ww unaokoteza vimifano vyako ili viendane na huo upotoshaji?
 
Umewashtukia tangu lini?
Wataharibu zaidi mambo gani ambayo sasa hivi yameharabika tayari?
Wapuuzi hao sio wa kuwaunga mkono kabisa,bora umpe kura yako ccm kuliko hiyo mipuuzi,haina jema kabisa
 
Nadhani kiasili ni wanadam wowote wana tabia za kufanana kinachowatofautisha ni mifumo wanayolazimika kuendana nayo tu.
Ama kuna ushahidi wa kijenetiki (genetic) kuonesha utofauti wa kiakili na kitabia kwa kigezo cha 'race' nitakubali bila kuvutana shati.
 
Si kweli kuwa black wote ni sawa. Hao wasouth tunafanana sababu wote wabantu. Blacks ambao siyo wabantu wanautamaduni wao tofauti.
 
Siasa za matukio unamaanisha nini. Mfano Cdm walisema watatoa elimu bure toka shule ya msingi hadi chuo kikuu, ccm wakasema haiwezekani. Lakini 2015 wakaurukia sera hiyo. Cdm kipindi cha Magufuli walisema kuna covid na inabidi chanjo ziletwe kwa ajili ya watu kupata kinga. Ccm wakati huo wakasema hakuna corona na hachanjwi mtu. Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ccm wanakubali kuna corona na chanjo zimeletwa, huku mwenyekiti wao ambaye ni rais wetu akiwa mstari wa mbele kuhamasisha chanjo!

Hiyo ni mifano michache nimekupa ili uniprove wrong, au hilo neno kuwa wapinzani wanafanya siasa za matukio umelibeba kama bendera fuata upepo, kisha na ww unaokoteza vimifano vyako ili viendane na huo upotoshaji?
na wewe umeokoteleza yale mazuri tu ila yaliyo kinyume na hayo uliyokoteleza umeyaacha nyuma.

wengi tumieijua chadema kupitia MATUKIO ya escrow, epa richmond etc nje na hayo chama kilikuwa na yapi ya kuifanya kijulikane? kwa hali hiyo why nisisema ni siasa za matukio japo unasema nimeliokota neno ilo na kulipigia tarumbeta.
by the way mi nilikusudia kuonyesha mfanano wetu wa silika.
chadema na ccm nimeziingiza ili kupata flow nzuri tu katika mada yangu.
 
uchadema na uccm uweke pembeni katika hii mada.
unaposema Rais anagombea na mwanachama mwingine atakayetaka kumchalenji kwenye uchaguzi wa chama unakuwa unakusudia kusema nini hasa? kwamba the rest hali hiyo haipo, ama?.
ikiwa hoja ni kugombea na mwanachama mwingine kumbuka
Eldeforce kutoka kasulu alichukua fomu kogombea urais dhidi ya Pombe.

nilichokusudia katika mada yangu ni kwamba:, bila Police na Mahakama ya SA kuwa na uti wa MGONGO yale unayoyaona na kuyasikia ndani ya siasa za Tanzania ungeliyasikia na SA pia.
kinachowanusru akina Malema ni mihimili mingine ya nchi imesimama na KINGINE akina Malema hawana sera wala maono ya kuitoa SA ilipo wanachojua ni kudili na matukio na kuhamasisha vurugu.
NOTHING new from THEM
Niko bize kidogo, uchaguzi wa kwanza mwaka 1994 nilikuwepo ila sikupiga kura, uchaguzi wa mwaka 1999 nimepiga kura.

Naelewa ninachokiandika, naijuwa South Africa nje ndani kama ninavyoijuwa Bongo.

Huyo shetani Pombe ndio aliyemfukuza uanachama Membe kwa kosa la membe kutaka kupingana na mungu wa chato.

Halafu upeo wako ni mdogo sana, mimi nimezungumzia Urais wa Chama ANC hata Ramaphonsa ilikuwa nusu ang'olewe Urais wa ANC na mama Zuma.

Je ni lini ccm ulifanyika uchaguzi wa kugombea uenyekiti wa Taifa na wagombea wakashindanishwa?

Nitarudi hapa, leo muda ninao mchache sana.....
 
nahisi kutokuwa na utulivu kama unavyosema kunachangia kutoilewa mada yangu vizuri.
maliza kazi kwanza chief.
 
Acha uongo chama kikuu Cha upinzani kinachoongozwa na mzungu kilisupport hukumu ya Zuma, malema na Chama chake ndo waliokua wanasuport vurugu
Acha uzushi ndugu
Mkuu wakati mungine uwe unasoma kwanza uzi kabla ya kukimbilia kuandika. Ni wapi nimezungumzia chama kikuu? Hoja yang nimezungumzia upinzani.. ina maana kwako ww upinzani ni chama kikuu peke yake, kile cha Malema sio cha upinzani?
 
mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla.
mara zote hizo nilihudhuria mikutano ya Chama cha Malema tu.
upande wa ANC sikuwai hudhulia mikutano yao labda kutazama katika runinga tu.kwa asili nina upinzani damuni napenda upinzani pinzani hata kama sina cha ku-gain katika upinzani huo.
na japo ANC hawana sera za ubaguzi sana kuhusu wageni ila sivutiwi tu na chama icho na sina sababu ya msingi ya kutokukipenda.

katika kuhudhuria kwangu na kutazama siasa za wazuru nikagundua kwamba:, siasa zao hazina tofauti na siasa za nchi nyingine za Africa.
ukiwasikiliza akina Malema na Gwede Matase ni sawa unawasiliza akina Mnyika na Kabudi.
utofauti ni sauti, nchi, sura, vyama na lugha.. mengine yote ni yale yale.
Malema na chama chake:, wanasiasa za kianaharakati sana kama ilivyo kwa vyama vyetu vya upinzani nchini.
siasa za matukio, ukiondoa matukio hawana hoja ya msingi ya kuiondoa SA ilipo na kuipeleka mbele.

Unrest ya hivi majuzi Malema na chama chake walikuwa nyuma ya unrest hiyo.
watu wamepoteza ajira na mitaji yao kwa inshu ya kipumbavu. wanapigania haki at the same times wanapinga maamzi ya mahakama yaliyotolewa kwa haki.

unajiuliza, " hawa jamaa wanashida gani vichwani mwao?".
hivi karibuni Malema alisema"wakichukua nchi wataondoa sanamu zote za PAUL cruger".
wasauzi kwasasa wanashida kubwa mno ya ajira hali hii imewafanya wakimbilie kazi zilizokuwa zikifanywa na wageni tu uko nyuma.
Sasa unajiuliza:, "hawa jamaa hawaoni umaskini uliotamalaki ndani ya wapiga kura wao hata waone kudili kuvunja masanamu ni big dili?
kuvunjwa kwa sanamu ndiyo hitaji la MZANSI? sanamu ina impact gani katika ya maisha ya kila siku ya wapiga kura wao?.

ile sanamu ni ukumbusho,sasa wanataka ukumbusho uvunjwe, nje na kusoma vitabuni wataona vizazi vijavyo wataona nini?.

ANC nao wana UCCM ndani yao:, sema kinachowafunga Jeshi na Mahakama viko huru.
kule akina Kingai hawapo na Police wao PGO wanaijua sana so ni ngumu kwa Askari wa South kutumika kishamba(kisiasa)
ukitumika kishamba utafungwa na hakuna wa kukuwekea kifua.

NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA:,
blacks tunafanana sana KITABIA kuliko race zingine zote duniani. unapomuona blacks walioko Mississippi(MAREKANI) hawana utofuti na BLACKS waliopo Jimbo la kaduna (NAIJERIA ).
HITIMISHO.
AFRICA TUJARIBU KURUHUSU RACE ZINGINE ZIINGIE KATIKA MIFUMO YETU
YA SIASA NA AJIRA UENDA IKASAIDIA KUTUTOA HAPA TULIPO.
Mr slim kashaanza kujaribu ili.. nahisi atafika mbali.

View attachment 1979855
Umenena vyema. Siyo siasa za uana harakati tu bali ni maeneo yote mpaka ubabe wa viongozi wetu. Kinachoisaidia RSA mpaka sasa bado kuna Makaburu wengi kwenye system zao. La sivyo wangekuwa kama Zimbabwe tu.

Imagine nchi kama Haiti ilipata uhuru 1804, zaidi ya miaka 200 lakini hali Yao ni bora hata Afrika.
 
tukiukubali ukweli mchungu unaotuhusu itatusaidia kupiga hatua.
 
Mkuu wakati mungine uwe unasoma kwanza uzi kabla ya kukimbilia kuandika. Ni wapi nimezungumzia chama kikuu? Hoja yang nimezungumzia upinzani.. ina maana kwako ww upinzani ni chama kikuu peke yake, kile cha Malema sio cha upinzani?
Ungetakiwa useme Chama Cha malema Sasa unazusha uongo kwa kugenerelise wapinzani wote
 
Back
Top Bottom