impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
Botha alichosema kuhusu mtu mweusi ni ukweli tupuunahisi alidanganya kuhusu ilo?
Botha alichosema kuhusu mtu mweusi ni ukweli tupuunahisi alidanganya kuhusu ilo?
alituchana vilivyo.Botha alichosema kuhusu mtu mweusi ni ukweli tupu
Leo niko free, lakini sioni cha maana cha kuchangia hapa, hauko well informed.nahisi kutokuwa na utulivu kama unavyosema kunachangia kutoilewa mada yangu vizuri.
maliza kazi kwanza chief.
hakuna mtu anajua yote, so itoshe kwa kusema upo sahihi kwa kauli yako hii ya sasaLeo niko free, lakini sioni cha maana cha kuchangia hapa, hauko well informed.