deebo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 353
- 229
Kwanza, sio kuku saidia misaada... sema organisation au partership katika project unazo kua ume lenga..Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..
Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..
Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??
Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?
Pili, katika project ni haki ya mtu kuamua ku kubali au ku kataa kutokana na interest anavyo ona. Ina wezekana project zako hazina maadili ya kiislam japo na ww ni muislam..
Research yako si sahihi kutoa correlation ya kukubali hizo project na link ya uislam. Ili bidi utoe evidence kama kuna sehem katika uislam una kataza hayo ulio taka kufanya nao.. kama hamna basi hizo ni personality za mtu and they have nothing to do with islam
MSISTIZO;
kua makini kutofautisha dini ina elekezaje na wale wanao jiita wafuasi wake wana fanya nn.. sio kila anae jiita mfuasi ana fata yanayo takiwa.. hapo utaweza kutofautisha UISLAM na personality za wanao jiita waislam.