Mohaa
Senior Member
- Mar 26, 2016
- 110
- 112
shida ww ndo hutaki kushindwa.. taasisi nyingi zina shule, hospitals, vituo vya watoto yatima na maendeleo kibao.. ila kuna vitu vikubwa kama mahakama ya kiislamu ambayo itasimamia vitu kama marriages na mirathi.. hili suala hata aga khan wawe na hospitali 200 nchi nzima hawaez lianzisha maana wao hawana neno mbele ya serikali... hapo ndipo mimi nipoizungumzia bakwataMkuu angalau wewe umenielewa
mkiwa na taasisi na mnaichangia hiyo taasisi yenu nani atawazuia msijenge shule au msikiti?
au hospitali?
kinachokosena ni poor organizations tu