[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hilo tetemeko halikuletwa na ccm,fanyeni kazi.......
Hawanisaidii kwa kujua mi ni muislam na wala simaanishi naomba msaada kwa ajili ya dini ila ukweli utabaki kua ukweli sehemu ya kwanza kuomba msaada au hata kuhitaji support ni nyimbani kwako (kwenye imani yak)Wanakusaidia wewe kama binadamu au mtanzania mwenzao. Si kwa sababu ya dini yako au ya kwao. Unaulizwa dini yako kabla ya kusaidiwa?
Pia kuna wakristo hujikuta wakisaudiwa na waislamu kuliko wakristo wenzao. Ni vitu hutokea kama ambavyo huwezi kuchagua jirani.
Mi mkristo kwa anayetaka kujua.
Tatizo letu tunachukulia mambo so negativelyMuislam utakuwa ww bhana... achen kujifanyisha ili imani za wenzenu zionekane haziko na jamii. jipange tena ww huwez kuwa muislam na kipi kitafanya mimi niamini kuwa wewe ni muislam??? au ndio hilo bandiko lako ambapo hata mimi naweza kuja nakuandika negative kwa imani nyingine nikiact kama wa dini hiyo,acheni hii tabia.
Pole sana mkuu jaribu kuwa mvumilivu hiyo ni mitihani mungu anatupa,Daah kweli JF ni kuvumiliana tu, mkuu nimejitaidi sana kua muwazi katika maelezo yangu
Umeongea vizuri sana mkuu, wala sina shaka na mawazo yakoUmetaka kuwasilisha katika malengo ya kidini ila ndani ya uzi wako kunaonekana vitu tofauti na michanganuo ya kiimani. Uliyoyazungumza ni mambo ya maisha ya kawaida kabisa ambayo watu wenyewe unaochangamana nao sio mashekh wala maostadh ni 'washkaji' wako. Asa kama we unataka kuwa mkatoliki basi ni wewe na roho ila si kwa sababu hii, uislam wala hauna shida na mtu.
Sio muislam kwasababu anashirikiana na wasio waislam au?????
Nimekuelewa mkuu na naheshimu mchango wako ila nakuomba sana sana usome vizuri nilichoandikaMsaada ni msaada, usiangalie anayekusaidia ni wa dini gani!.... ni kama ulitega hivi ama umeandaa jibu kabla ya swali.
Msaada umepata "shukuru kwa hilo"
Usiwagombanishe watu,. Waliokusaidia ukawasifu na walioshindwa kuwakashfu.....
Pengine uko na wakristu wengi wanaokuzunguka na waislamu wachache wanaokuzunguka.
Ndugu zako mbona huwataji? Wafanyakazi wenzio mbona huwataji?
Watu wa itikadi yako mbona huwataji?
Watu wa taaluma yako mbona huwataji? Watu wa kipato chako mbona huwataji?..
Watu uliowasaidia mbona huwataji?
Unasaidia watu kiasi gani? Unasaidiaje jamii/mchango wako kwao?
Dini, dini, dini dini.... unajitapa kwa udini?...
Tanzania tunaishi kwa pamoja, hatuna mtaa wa waislam wala wakristu,
Jamii yetu ni moja. Kwenye sherehe, kwenye shida, kwenye michango, kwenye misiba,
USITUGOMBANISHE!!
UKISAIDIWA SHUKURU