Watu wengine wananisaidia sana kuliko wa imani yangu

labda project yako ni haramu kwa dini ya kiislam..mfano uanzishe mradi wa kufuga nguruwe unategemea nini
 
MLETA MADA HII SIO MUISLAM BALI NI KAFIRI MUISLAM ANAYEJUA DINI HAWEZI KUWA MNAFIKI
 
Naona mleta mada wewe umekuzwa kwenye mazingira ya kutafuta na inaonekana hufungamani yaani uko 'flexible'. Inaonekana unajichanganya sana kwenye vijiwe vya Wakristo na mikusanyiko yao na inaonekana umesoma nao na wengi ni jirani majirani. Kama haya niliyoeleza ni ya ukweli basi hutakaa uelewane na upande wako kwa sababu vijiwe vyao na mikusanyiko yao utakuta mambo tofauti kabisa.
 
Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..

Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..

Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??

Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?

hao wanataka uingie upande wao.Hakuna lingine na ukifika huko wanakutelekeza.
 
Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..

Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..

Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??

Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?

Nafkiri jiangalie hizo project zako kama zinaenda kinyume na iman zao pia, Hakika biashara ya Bia nitakukatalia na nitakuwa negative.
 
Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..

Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..

Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??

Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?
Wew ni muislam jina.Fanya uwe muislam kamili utaona mabadiliko
 
Kwa imani ya kiislam project nyingi nyepesi hazikubaliki so changanya imani na muktadha wa maisha ya kihalisia
 
Waislam wa Tanzania sema

kihistoria waislam wa TZ wako nyuma mambo mengi hasa organisation

ndo maana hadi leo watu wanalia na BAKWATA utasema wamezuiwa kuunda Taasisi ingine

Ukienda Uganda waislam wa huko wako juu kwa maendeleo

hata mikoa kama Kilimanjaro na Bukoba waislam wake wako better na organisations
With due respect, huyu jamaa anaongelea msaada nadhani from individual capacity na sio organizational capacity
 
Nenda kwa hao wanaokusaidia,kwanza huko si wanasema yesu alisulubiwa kwa ajili yao kwahiyo huko hawana madhambi na ukifanya unaenda kwa padri au mchungaji unaungama anakusamehe na ukitaka utajiri unaenda kupanda mbegu kwa lusekelo au gwajima mambo yanakuwa safi
Umemuelewa mtoa mada?
 
Hajajitambua
Na aje aeleze aina ya project,
walizogoma kumpa support,
Sasa kama unakuja na project za kufuga mbuzi katoliki unatarajia support kutoka kwa muslim?
Lazma utakuwa munafiq
Inatakiwa aje na project ya kufuga wadudu gani kwa mfano?
 
Inategemea na mradi wenyewe, ndiyo maana umeulizwa ni mradi gani, mradi kama wa kufuga nguruwe wategemea nini!!
 
Back
Top Bottom