Watu wengine wananisaidia sana kuliko wa imani yangu

The Cabin

Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
95
Reaction score
99
Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..

Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..

Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??

Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?
 
Waislam wa Tanzania sema

kihistoria waislam wa TZ wako nyuma mambo mengi hasa organisation

ndo maana hadi leo watu wanalia na BAKWATA utasema wamezuiwa kuunda Taasisi ingine

Ukienda Uganda waislam wa huko wako juu kwa maendeleo

hata mikoa kama Kilimanjaro na Bukoba waislam wake wako better na organisations
 
Wadau habari zenu
Natumai mko poa baada ya pilika pilika za kutwa nzima..

Wadau leo ndo mara ya kwanza kujitokeza katika kutoa uzi.. In short nina tatizo katika mambo ya kusaidiana iwe shida ndogo ndogo au hata katika uwekezaji.... Naomba ni declare interest mimi ni muislam tatizo ninalokutana nalo ninapokuwa katika shida au nahitaji jamaa wa kufanya nao project ninapoamua kuwashirikisha jamaa wa upande wangu wa imani ambao naamini kabisa ni washikaji zangu response inakua 95% négative..

Ila nikiamua kuwashirikisha jamaa zangu wa upande wa pili wa imani wana respond vizuri sanà with high degree of positivity.. Huwa najiuliza nini tatizo au mimi ninamatatizo na upande wangu ??

Naomba ku share nanyi hili au hii inatokea in vice-versa way ?

Wewe sio muislam ila una jina la kiislam sana sana utakuwa mnafki au kibaraka.
 
Back
Top Bottom