Watu wengine wananisaidia sana kuliko wa imani yangu

Watu wengine wananisaidia sana kuliko wa imani yangu

siezi nikaanza kukuelezea hicho maana hata ukiachana na wahindi hata waswahili pia wana taasisi nyingi tu.. ipo The Islamic Foundation,, Ansaar Muslim,, The African Foundation,, Islamic propagation centre na nyingine nyingi tu.. ila mimi ninacholalamikia ni bakwata kusimamia upande wa serikali badala ya matakwa ya waislamu


why ulalamike sasa?hizo taasisi zingine hazitoshi?

mimi nimeiongelea bakwata humu sana
soma hii

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?
 
Aliyosema jamaa si tusi ila ni ukweli mtupu sema tu wengi wetu hawapendi kusikia ukweli ukisemwa dhidi yetu waislam.
Unafiki ni Zaidi ya tusi, yaani kuitwa tusi bado ni kitu kidogo. labda niseme kauli mbaya.
pia generalization ya waislam ni kauli mbaya. angesema baadhi ya waislam ambapo ni sawa tu na baadhi ya jamii nyingine yeyote.
kwa kauli yake, sote tuna hilo tatizo, jambo ambalo hatuna haki ya kuwasemea wengine wanaojiona sio wanafiki.
 
Taasisi iwe na shule zake na hospitali zake mfano
serikali itaacha vipi kutoitambua?

Aga Khan mbona wanatambuliwa na hawaambiwi wajiunge na Bakwata?

Taasisi zipo nyingi tu za kiislam hasa za wahindi

na waswahili hakuna kinachowazuia kuanzisha taasisi zingine
siolazima Bakwata
IPC unaijua?
 
why ulalamike sasa?hizo taasisi zingine hazitoshi?

mimi nimeiongelea bakwata humu sana
soma hii

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?
huez kuwa na mandate kama utasimama alone ww mwenye basi lako la kusafirisha abiria kwenda mikoani.. ila mkiwa na leader na umoja wenu ndio mnaeza mkawa na representative.. na ili taasisi zingine zinyamaze ndo maana ikaekwa bakwata.. haezi akotoka mtu huko Ansaar Muslim akanyoosha goti serikalini.. ataulizwa je umefata protocol? peleka kwanza bakwata alaf wao ndo watuletee sisi...
 
why ulalamike sasa?hizo taasisi zingine hazitoshi?

mimi nimeiongelea bakwata humu sana
soma hii

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?
maulid serikali inaisikilza bakwata,idd bakwata,msaada uktoka nje unapelekwa bakwata,serekali inalazimisha bakwata iwakilishe waislam,mwaka 1990 au 91 waislam walipanga mapinduz bakwata,serikali ikatandaza FFU kule makoa makuu bakwata
 
Ismailia wana Aga Khan
Bohora wana taasii yao yenye hospitali ya Burhani na shule zao
kuna Wayemen wenye shule na hospitali ile ya Aljumaa
zipo taasisi nyingi tu
unaijua Al mutanzir? iko chini ya Bakwata?

Unachokisema kina ukweli,ukiwa na taasisi nzito recognition yako itakuwa kubwa kwa watu wa serikali, na hii siyo hapa kwetu tu, hata nje,kwa mfano America jamii ya wa israel ina nguvu kwa sababu iko organised kuliko jamii zingine,tukija hapa kidogo itakuwa ngumu kukuelewa kutokana na mada yenyewe ni kama imekaa kinegative hivi na watu washakuwa emotional kidogo,lakini ukisemacho kina mantiki ,laiti sisi weusi tungekua organised ingekuwa rahisi kwetu kukubalika ,kutambulika na kuheshimika kama jamii zingine ,kwangu mimi unachosema kina maana kabisa.
 
kama ni kweli jua hivi: waislamu ni watu kama watu wengine nao wanaweza kuwa na weakness zao hivyo usije ukahitimisha kama baadhi ya watu humu kwamba waislamu au uislamu una tatizo katika socialization. Nakuhakikishia kwamba kuna waislamu wanaofuata dini kisawasawa watakuwa pamoja nawe katika kila hali. Karibu ndugu
Nimekuelewa mkuu na nashukuru kwa kuelewa lengo la uzi wangu
 
Unachokisema kina ukweli,ukiwa na taasisi nzito recognition yako itakuwa kubwa kwa watu wa serikali, na hii siyo hapa kwetu tu, hata nje,kwa mfano America jamii ya wa israel ina nguvu kwa sababu iko organised kuliko jamii zingine,tukija hapa kidogo itakuwa ngumu kukuelewa kutokana na mada yenyewe ni kama imekaa kinegative hivi na watu washakuwa emotional kidogo,lakini ukisemacho kina mantiki ,laiti sisi weusi tungekua organised ingekuwa rahisi kwetu kukubalika ,kutambulika na kuheshimika kama jamii zingine ,kwangu mimi unachosema kina maana kabisa.

Mkuu angalau wewe umenielewa
mkiwa na taasisi na mnaichangia hiyo taasisi yenu nani atawazuia msijenge shule au msikiti?
au hospitali?

kinachokosena ni poor organizations tu
 
bakwata wanashklia mali za waislam,shule,nyumba za wakfu,viwanja n.k,wanauza na hzo shule hazfany vzr,ndomana ponda akaenda chang'ombe kuzuwia na kurudisha uwanja wa waislam usiuzwe

Mali hiozo za waislam ndo hizo hizo?
waislam hawana mali zingine za kuikabidhi taasisi zingine?
hakuwezi kutokeza taasisi zingine zenye better management?
 
Kwako mtoa uzi na wengne.

Jitahid unaposema jambo uwe na ufahamu/ujuz nalo. ikiwa mtu ana macho ya chuki daima hutizama kwa chuki na kama mtu ana ulimi wa chuki bas daima husema kwa chuki, sijajua una tatizo na uislamu au una tatizo na waislamu,
Fahamu kua Uislamu na muislamu ni vitu viwili tofauti, na fahamu kua unaweza kua muislamu na usiufanyie kaz uislamu kwa maana ya kua uislamu ni din na wapo watu kama ww wanaojinasibisha. na uislamu ila uislamu unakua mbali nao, mfano uislamu unasema tufunge ramadhan ila kuna waislamu hawafungi, uislamu unasema tuish na majiran kwa wema ila kuna waislamu hawaish kwa wema naajiran zao, watu kama hawa wanakua mbali na uislamu japo ni waislamu.
Jambo la mwisho tambua kua katika uislamu kuna daraja, nazo ni;
1. Muumini
2. Mchamungu
Katika hzo daraja nadhan hujapatepo kuish na yyte alye katika hzo daraja na hao watu wa hizo daraja ndo waislamu wanaoufanyia kaz uislamu na wapo sambamba na uislamu. Nkrud katka uzi wako ni kwamba ww unausema uislamu hal ya kua huujui na huna elimu nao na ndo maana umeshindwa kuwasitir waislamu wenzako, ungekua muislamu usingeyasema haya maana uislamu umebebwa na subra ma ww huna subra, kwa kifup ww na wao mcheni Allah na ww acha kuhtajia sana kua na subra
 
Mali hiozo za waislam ndo hizo hizo?
waislam hawana mali zingine za kuikabidhi taasisi zingine?
hakuwezi kutokeza taasisi zingine zenye better management?
unamaanisha hzo mali nchi nzima ziachwe zifujwe?..kwa nini!?
 
unamaanisha hzo mali nchi nzima ziachwe zifujwe?..kwa nini!?

Inawezekana unashindwa kujua Taasisi ni kitu gani
Taasisi ni watu na michango yao
mali zinakuja mkipata watu wengi
watu mnapata mkiweza kuji organise

Bakwata walipata mali hizo zamani
Taasisi ikijitokeza ingine itapata mali mpya zingine nyingi zaidi....
 
Waislam wa Tanzania sema

kihistoria waislam wa TZ wako nyuma mambo mengi hasa organisation

ndo maana hadi leo watu wanalia na BAKWATA utasema wamezuiwa kuunda Taasisi ingine

Ukienda Uganda waislam wa huko wako juu kwa maendeleo

hata mikoa kama Kilimanjaro na Bukoba waislam wake wako better na organisations
Taasisi ni kuwa na meno mkuu siyo jina tu.
 
Mali hiozo za waislam ndo hizo hizo?
waislam hawana mali zingine za kuikabidhi taasisi zingine?
hakuwezi kutokeza taasisi zingine zenye better management?
tasisi zipo zenye management kama alivyosema mmoja huwezi kwenda serikalini kuanzisha ishu kubwa mpaka upitie bakwata.


Ni sawa na kumwambia pastor marakana wa wasabato hawezi kuruhusiwa kufanya issue kwa maendeleo ya wasabato mpaka apitie kwa TEC
 
Mkuu angalau wewe umenielewa
mkiwa na taasisi na mnaichangia hiyo taasisi yenu nani atawazuia msijenge shule au msikiti?
au hospitali?

kinachokosena ni poor organizations tu

Ni kweli kabisa na mfano mzuri umeutoa kwa hiyo jamii ya kihindi tazama organisation zao,wapo strict na mambo yao kiasi wakiku excommunicate haa! utajuta kuzaliwa kwani hakuna rangi utaacha ona na kwa sisi weusi zipo jumuiya lakini sio strong kwa kuwa zinakosa organisation safi,angalia hata wale waturuki wa Feza organisation yao ni tofauti na zingine ndio maana wanafanya vizuri ni kwa sababu hizo hizo unazozisema.
 
Inawezekana unashindwa kujua Taasisi ni kitu gani
Taasisi ni watu na michango yao
mali zinakuja mkipata watu wengi
watu mnapata mkiweza kuji organise

Bakwata walipata mali hizo zamani
Taasisi ikijitokeza ingine itapata mali mpya zingine nyingi zaidi....
swali la msingi ni kwa nini ziachwe wakat zilitolewa jasho?
 
Mkuu angalau wewe umenielewa
mkiwa na taasisi na mnaichangia hiyo taasisi yenu nani atawazuia msijenge shule au msikiti?
au hospitali?

kinachokosena ni poor organizations tu

Kinachokosekana hakiwezi kuwa poor organizations ,labda kama sijaelewa mantiki ya hoja yako ila kama unataka kusema haya yanatokea kwa sababu ya poor organization hapo nitakuelewa
 
Back
Top Bottom