Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

Mimi kwa upande wangun SERIKALI IWACHUNGUZE SANA HAWA VIONGOZI WA CHADEMA this GUYS ni mafia....
Kinachofanyika sasa ni wao kuwadhuru viongozi wao wenyewe kwa lengo la kutengeneza picha ya kuihusisha serikali na CCM kwenye huu uchafu wao na kufanikisha lengo lao kuu la kuichafua TANZANIA kimataifa
Maana hii ndio option kubwa walio baki nayo kupambana na MAGUFULI....
Mauaji ya namna hii tutaendelea sana kuyasikia kwenye utwala huu wa AWAMU ya tano....
Nani ndani ya NCHI hii anaweza kukataa ya kuwa MAGUFULI kawashika vibaya hawa WAPINZANI???.....sasa haya mauaji ni njia mbadala ya kupamban na MAGUFULI ...MKUBALI MKATAE HUU NDIO UKWELI......
Na mtambue kabsa huyu Mkiti wenu hii njia ndio kinga na salama yake ya kuendelea kuwa M/kiti wa maisha hapo chamani......
SERIKALI CHUNGUZENI MBOWE,LEMA NA MREMA ipasavyo hawa watu wanachafua AMANI ya nchi yetu.......
Mfano mdogo tu hivi kweli ingekuwa si wao waliohusika na UPOTEVU wa BEN SAANANE kweli wangekuwa kimya namna hii???ACHENI MASIHARA...kuna mchezo unachezwa na hawa watu....
Kiashiria kingne ni JAMAA NI MUOGA KWELI KUITIKIA WITO WA POLISI(NA hizi huwa ni sifa kuu za watenda maovu).....akisikiaga wito ndio safari ndio zinatokea...rejea ISHU YA MADAWA YA KULEVYA na wito wa juzi wa maandamano......na mengne mengi
LEO HII HAYUPO NCHINI ni huyu huyu ndiye aliyekuwa kiele ele kujifanya anaona HURUMA kifo cha JOHN kiongozi WA chadema pale KINONDONI lakini kwenye MAZISHI YAKE hata hakuonekana......HAPA NDIO WATANZANI WATAMBUE MBOWE NI MNAFIKI nNA MTU HATARI SANA.....afu kwanini WATU WANAMUHUSISHA NA BAADHI YA MAUAJI kama yeye ni KIONGOZI safi kweli kweli...???LISEMWALO LIPO
They are playing this very smart.........
 
Serikali inahujumiwa!!!!!!!!. Lakini imeshindwa kuwabaini wauaji!!!!!!!.

Hii ni dhahiri kwamba, wauaji hawa wako juu sana kuliko uwezo wa serikali.

SASA KINACHOFANYA SERIKALI IKATAE KULETA WACHUNGUZI HURU WA KIMATAIFA, NI NINI? UKINIJUBU HILI NITAENDELEA KUCHANGIA.
Uwezo wa kiuchunguzi tulionao ni mkubwa sana tu,ila fahamu na wahalifu wana weledi pia,ni suala la muda watafahamika wote,msije sema wanaonewa
 
Natamani litokee jambo moja kati ya haya hapa:

1. Nchi irudi kwenye utawala wa chama kimoja-monopartism, ambapo nako pia hakutakua na usalama kwani watatafunana wenyewe kwa wenyewe wakati wa uchaguzi

2. Jeshi lichukue nchi kwa muda, tutawaliwe na jeshi walau kwa mwaka mmoja, haitajalisha hata tukilala saa 12 za jioni, ingawaje wachache wanaweza kutumia mwanya huo kufisadi kwa nguvu ila tutakua tumepumzika kwa kelele za wanasiasa
 
Mimi kwa upande wangun SERIKALI IWACHUNGUZE SANA HAWA VIONGOZI WA CHADEMA this GUYS ni mafia....
Kinachofanyika sasa ni wao kuwadhuru viongozi wao wenyewe kwa lengo la kutengeneza picha ya kuihusisha serikali na CCM kwenye huu uchafu wao na kufanikisha lengo lao kuu la kuichafua TANZANIA kimataifa
Maana hii ndio option kubwa walio baki nayo kupambana na MAGUFULI....
Mauaji ya namna hii tutaendelea sana kuyasikia kwenye utwala huu wa AWAMU ya tano....
Nani ndani ya NCHI hii anaweza kukataa ya kuwa MAGUFULI kawashika vibaya hawa WAPINZANI???.....sasa haya mauaji ni njia mbadala ya kupamban na MAGUFULI ...MKUBALI MKATAE HUU NDIO UKWELI......
Na mtambue kabsa huyu Mkiti wenu hii njia ndio kinga na salama yake ya kuendelea kuwa M/kiti wa maisha hapo chamani......
SERIKALI CHUNGUZENI MBOWE,LEMA NA MREMA ipasavyo hawa watu wanachafua AMANI ya nchi yetu.......
Mfano mdogo tu hivi kweli ingekuwa si wao waliohusika na UPOTEVU wa BEN SAANANE kweli wangekuwa kimya namna hii???ACHENI MASIHARA...kuna mchezo unachezwa na hawa watu....
Kiashiria kingne ni JAMAA NI MUOGA KWELI KUITIKIA WITO WA POLISI(NA hizi huwa ni sifa kuu za watenda maovu).....akisikiaga wito ndio safari ndio zinatokea...rejea ISHU YA MADAWA YA KULEVYA na wito wa juzi wa maandamano......na mengne mengi
LEO HII HAYUPO NCHINI ni huyu huyu ndiye aliyekuwa kiele ele kujifanya anaona HURUMA kifo cha JOHN kiongozi WA chadema pale KINONDONI lakini kwenye MAZISHI YAKE hata hakuonekana......HAPA NDIO WATANZANI WATAMBUE MBOWE NI MNAFIKI BALAAA......
They are playing this very smart.........
Correct! 100%
 
Huu ni mtizamo wangu ,napenda uheshimiwe.

Hivi sasa kumekuwepo na mauaji yanayoendelea nchini ,hili si jambo la kufurahiwa na mtanzania yoyote mpenda aman nchini.mauaji haya yalianzia kibiti .wakati wa zoezi la kumaliza uharifu wa ujambazi nchini,tulishuhudia wanachama na viongozi wasiopungua 30 wa ccm wakiuwawa bila hatia ,hakukua na tension yoyote ndani ya nchi,hatukusikia matamko na malalamiko mazito kama yatolewayo kwa sasa.na mpaka kesho ikafanyika reference ya mauaji ,mauaji ya kibiti na mkuranga huwekwa kando. hatukuona chadema wakikimbilia media za kimataifa kulaani.

Kwa weledi wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hali ile ilithibitiwa.hongereni vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi,japo katika kukabiliana na uhalifu mapungu hujitokeza ,naamini mnawasikia wananchi na mtayafanyia kazi mapungufu hayo.

Kinachonifanya nihisi matukio yanayoendelea kwa sasa ni hujuma kwa serikali ya Magufuli ni namna matukio yakitokea ,wafuasi na viongozi wa chadema wanavyokimbilia haraka kwenye vyombo vya nje vya kimataifa kuhabarisha ,ilianza kwa Lissu kuongea na vyombo vya habari akiwa nairobi akiituhumu serikali ya Magufuli bila ya ushahidi thabiti,ukizingatia ni mwanasheria nguli anafahamu taratibu zote ,haikutosha wakamuhamishia Ubelgiji kama kumpatia matibabu lakini ulikua ni mkakati wa kisiasa,ukashindwa.

Kwahiyo chadema hawajachoka ,mpaka lengo lao litimie ,kwa kuona serikali ya magufuli inatengwa na jumuiya ya kimataifa .kujua hili angalia wanavyofurahi wakihisi kuna respond ya wakoloni kwenye njama zao.

Kinachosikitisha ni kila tukio litokeapo la mauaji ya wanachama wao hukimbilia media haraka sana kutoa matamko na tuhuma dhidi ya serikali kuhusika na mauaji, badala ya kuviachia vyombo husika vya kushughulikia uhalifu, hivyo kwa namna flani huingilia kazi ya upelelezi.

Hisia zangu ni kwamba ,Inawezekana chadema wanapopata fununu kwamba kuna viongozi wao wanawakimbia huwawahi na kuwamaliza kisha kukimbilia media kulaani tukio wakati ndo wahusika wakuu.huu mtindo wa kukimbilia vyombo vya habari kutoa matamko serikali iutizame kwa kina ,ni plan yao kujisafisha na uovu.

Mbowe na Mashinji wamekua waoga sana kutokea kwenye vyombo vya dola wanapoitwa kwa mahojiano ,kwanini?,kama wao ni.inocent?,hupima upepo kwanza.

Naiomba serikali ifanye uchunguzi wa kina kuhusiana na kadhia hii ili ukweli ujulikane ,atakayebainika afikishwe kwenye vyombo vya kisheria kwa ajili ya haki kutendeka .bila kujali nafasi ya mtu kisiasa, Cheo chake,dini yake, umri wake jinsia yake,nk.

Wanaofanya uhalifu huu tunao mitaani kwetu,tunaishi nao,tuwafichue.ili watanzania wawajue wabaya wa taifa hili ni kina nani.

,wanaofanya uhalifu huu ni watu wanaohujumu taifa ni lazima wadhibitiwe ,wakiachwa madhara yake ni makubwa sana ,wanapanda chuki miongoni mwa jamii ili mradi malengo yao yafikiwe.
Ilipandwa chuki kwenye dini wakati wa Jakaya viongozi wa dini wakaliona kwa kushirikiana na serikali wakalimaliza,sasa limehamishiwa kwenye siasa kwakisingizio cha demokrasi,demokrasia ni pamoja na kutimiza wajibu wako kwa nchi yako,

,tunavyombo huru vya kikatiba vya kushughulika na changamoto zetu, hususani mahakama,tuitumie kudai haki zetu za kikatiba .
Maanadamano ni haki ya kikatiba ,lakini ni.njia ya mwisho kabisa kuitumia baada ya kushindikana kutatua tatizo kupitia majadiliano mezani au mahakama,

Mwisho-:Napingana na yule alieko los angels marekani Mangi kimambi anayehamasisha maandamano akiwa nje ya nchi,tumpuuze ,hafai,halitakii taifa hili nia njema ,kwani wakati tunaandama kupinga utawala wa serikali iliochaguliwa kidemokrasia ,wapo watakao andamana kuulinda utawala huu ,madhara yake ni makubwa sana .yeye hatadhurika ,kwakua atakua mbali nayo,hafai hata kidogo,ni mwendawazimu pekee anaweza fanyia kazi upuuzi wake
AKili za vijana wenye muona huu zimekwenda na upepo. Na kamwe hazitorudi ng'o.
 
Nimesikitika,nimechukulia upande wa wale waliofiwa na wapendwa wao kama ukiwambia hivi wanakuelewa.mungu Fungua kunywa changu,imarisha moyo wangu maana maumivu ya mtu anayajua yeye
 
Natamani litokee jambo moja kati ya haya hapa:

1. Nchi irudi kwenye utawala wa chama kimoja-monopartism, ambapo nako pia hakutakua na usalama kwani watatafunana wenyewe kwa wenyewe wakati wa uchaguzi

2. Jeshi lichukue nchi kwa muda, tutawaliwe na jeshi walau kwa mwaka mmoja, haitajalisha hata tukilala saa 12 za jioni, ingawaje wachache wanaweza kutumia mwanya huo kufisadi kwa nguvu ila tutakua tumepumzika kwa kelele za wanasiasa
Fikra zako,naheshimu
 
Kundi jipya la waajiriwa waliotokea vyuoni, naona mmepata shavu Lumumba la kushambulia mawazo ya msingi, na ku 'sapoti' unyama na ushetani wa wakolomije wa kufyatulia watu risasi na kupiga mapanga! CCM na Uvccm mlaaniwe!
 
Mtoa mada...hizi propaganda zilikuwa na manufaa enzi za Katibu Mkuu wa CCM Bw. Laurence Gama (rip) kwa sasa hata viongozi wako wa Lumumba watakuona Juha tena unawadhalilisha.

Kama CCM imeshindwa kudhibiti umafia wa Mbowe unataka sisi tufanye nini zaidi ya kutaka CCM iondoke?!!
 
Uwezo wa kiuchunguzi tulionao ni mkubwa sana tu,ila fahamu na wahalifu wana weledi pia,ni suala la muda watafahamika wote,msije sema wanaonewa

Mimi wala sijasema kwamba hatuna uwezo wa uchunguzi. Kama ulivyokiri kwamba wahalifu wanaweledi mkubwa na mimi ndivyo ninavyosema.

Sasa ikiwa weledi wa wahalifu uko juu ya uwezo wetu? Kwa nini wachunguzi huru wa kimataifa wasije kufanya uchunguzi wa mauaji haya ili kukomesha hujuma hii dhidi ya serikali?

Kwa nini unaanza kuwatetea wauaji kwamba watasema wanaonewa? Maonezi gani yanayozidi mauaji ya watu wasio na hatia ambayo hawa wauaji wanafanya na kuhujumu serikali?

Tafadhli naomba jibu.
 
Tatizo tukiambiwa kutubu tunang'aka lakini Padre kaweka wazi, aliyemuua Akwilina atoke hadharani atubu na kuwaomba Watanzania msamaha. Isipokuwa hivyo basi waliomtuma na wote wanaomficha laana hii itawatafuna!
 
Back
Top Bottom