Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

Tumeona Kibiti baada ya mauaji kuanza virtually vikosi vyote vote viliwakilishwa huko na kukimbizana na kuwauwa suspects hadi Msumbiji
Waliomuua Mawazo kila mtu Geita anawafahamu
Wewe unawafahamu?,umechukua hata gani mpaka sasa?,acha kushikiwa akili bwana mdogo
 
Roma Mkatolic alitekwa, Bashite akajitokeza akautangazia umma kwamba Roma ataonekana kabla ya jumapili na akapatikana kabla ya jumapili. Hivyo watekaji wanafahamika na Bashite anawajua.
 
Watu wanakufa , tena wasio na hatia, kila kukicha, mbona enzi ya kikwete hayakuwepo! Harakati za chadema /upinzani zimeanza baada ya magufuli??.. hamtaki upinzani, thats it. And you do the biggest mistakes this way of killing oppositionn... Sema ni hivi, mother nature controls everything. Just a matter of a time, the way ccm does it soon or later will get into saturation over their evil ways, mother nature will show you how natural intelligence overtakes everything. Just a matter of time!
Itategemea ,wahalifu mnao wenyewe ,wanatembea na nyie kwa tahadhari sana ,itawachukua karne kuwafahamu
 
I do believive they do!! ndio maana hakuna uchunguzi wa maana wanaishia kufanyia siasa tu haya matukio.
Hakuna uvamizi ila tunavamiana wenyewe kwa misingi ya chama CHADEMA na ccm plus utashi wa watu wachache ndaniya ccm wasiotaka mawazo kinzani yapingwe kwa HOJA
 
Heshima kwenu wakuu,

Sasa hivi Taifa lipo kwenye sintofahamu kutokana na mauaji na utekaji wa watanzaia. Na Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi ( Watu wasiojulikana).

Sasa nashauri ili vyombo hivi muhimu vijisafishe. Watoe tamko hadharani kwamba hawahusiki na waseme nani anahusika. Waazishe operation na Kampeni za kutafuta hawa Watu wasiojulikana.

Vinginevyo hii Nchi itakuwa umevamiwa. Ukute ni watu wanatuchafua kama nchi ili Tanzania ionekane sio salama.

Kama Taifa tuungane kuwafichua hawa watu wasiojulikana ili kuvisafisha vyombo vyetu vya Usalama. Tushikamane kufichua wote wanaotenda maovu.

Akwilina, Mawazo wametangulia mbele ya haki. Kuna wenzetu wameokotwa kwenye viroba Coco beach na wengine Mto Ruvu. Lissu na wengine wengi wameponea chupuchupu. Kuna waliomwagiwa tindikali.

Kuna Maasikali wengi na Wanakijiji wengi wa Ikwiriri mkoani Pwani wameuawa.

Hii kitu viongozi hawaoneshi kusikitishwa. Kusikitika ni pamoja na Kujiuzulu kuonesha uwajibikaji.

Siamini Kama Polisi. Usalama wa Taifa au CHADEMA ndio wanaohusika na haya Mauaji ya Akwilina.

Arusha kwenye mkutano wa Chadema bomu lililipuka na kuua watu. Kanisani Arusha bomu lililipuka na kuua watu. Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Hawa watu wanaotugombanisha tuwafichue. Na haya yanayoendelea yasitugawe bali tushikamane kushinda fitina. Pamoja tunaweza

Kama taifa tujisafishe.

Sasa yatosha.

Hii yote ni mpango mkakati wa CDM kufanya uharifu ili kuichafua nchi,na sioni sababu yeyote ya kulifumbia macho hili,viongozi wanaohusika na huu mpango wanajulikana.Bila kuangalia mtu usoni wakamatwe na kufunguliwa kesi ya uhaini.kama watu wanafikia hatua ya kupigana risasi ili kuuonyesha umma kuwa wamevamiwa ,hii haikubaliki hata kidogo
 
I do believive they do!! ndio maana hakuna uchunguzi wa maana wanaishia kufanyia siasa tu haya matukio.
Hakuna uvamizi ila tunavamiana wenyewe kwa misingi ya chama CHADEMA na ccm plus utashi wa watu wachache ndaniya ccm wasiotaka mawazo kinzani yapingwe kwa HOJA

Tatizo la haya yote ni chadema na sijui ni kwanini wanalelewa hivi,wamemuua mawazo wakasingizia watu wasiojulikana,wamempiga Lissu (Episode) wakasingizia watu wasiojulikana,wamemuua Daniel john kwa sababu hakumsupport Salum mwalim,wamemuua Diwani wa huko morogoro,hawa watu si wakuchea,wamemuua akwilina wakasingizia polisi,wasipodhibitiwa watachafua nchi yetu
 
Wewe unawafahamu?,umechukua hata gani mpaka sasa?,acha kushikiwa akili bwana mdogo
Sasa ulitaka huyu achukue hatua gani dhidi ya watu "Wasiojulikana" wenye backup ya dola? Ulitaka akawakusanye uwanjani awachape bakora? Hivi Humphrey polepole hawapagi hata interview kabla ya kuwapa kibarua hiki cha hovyo?
 
Tatizo la haya yote ni chadema na sijui ni kwanini wanalelewa hivi,wamemuua mawazo wakasingizia watu wasiojulikana,wamempiga Lissu (Episode) wakasingizia watu wasiojulikana,wamemuua Daniel john kwa sababu hakumsupport Salum mwalim,wamemuua Diwani wa huko morogoro,hawa watu si wakuchea,wamemuua akwilina wakasingizia polisi,wasipodhibitiwa watachafua nchi yetu
Mh!! Gongo si nzuri kiafya na kiusalama!
 
risasi za juu zinaua mtu kwenye daladala... ccm oyeeeeeeee . Tuliahidiwa na Mambosasa atatoa taarifa ya watu wanaoteswa baadae kutupwa kwenye viroba baharini mpaka leo kimya..ccm oyeeeeeee...saa nane na wengineo wameuwa kinyama na kufukiwa kusikojulikana kwa kuhoji phd ya mafuta ya korosho..ccm oyeeeeeee...
Yanayotokea Ethiopia si muda mrefu yatakuja tz....ccm oyeeee

This is an exaggeration ....CCM inahusika vipi na kinachodaiwa kuwa ni kuuawa kinyama kwa baadhi ya wenzetu...kama ni vifo kwa kuuawa hata CCM nayo kuna wanachama na viongozi wake wamekufa...tusitie chumvi mno suala hili...Mimi huwa nachukia mno unafiki wa aina hii...Tulaani vifo kwa wote...Kule kibiti watu kadhaa waliuawa wakiwemo polisi wetu na pia viongozi wa serikali na makada wa CCM...hatukuona wala kusikia shutuma kubwa...hata wanaodaiwa ni watu haki za binadamu walikuwa kimya...kama ni vifo ni vema tujadili na kulaani pande zote...tujiulize what is happening...ingawa mimi binafsi sioni kuwa jambo hili lemefika mahali ambapo haliwezi kuwa controlled...Ila tuache kutia chumvi
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.

Nilifikiri sniper anahitaji nafasi na muda kwa ajili ya kufanya target!!!!! Well..... Hebu tukuulize huenda kuna kitu unajua, cctv na walinzi vilienda wapi siku hiyo?
 
Ndivyo ilivyo, vibaraka ndio watenda uhalifu. Hata Hitler vibaraka wake ndio walitekeleza msuaji kwa jina lake. Ilikuwa hivyo kwa Idd Amin uganda, iko hivyo Burundi, iko hivyo Rwanda, iko hivyo DRC, na iko hivyo Tanzania.
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Kama mungu ajataka ufe ata wakipiga elfu moja hufi ...
 
!OH WHAT A RAT RACE ,oh what a rat race . o what a rat race, in dis ya rat race . Ratrace rat race We've got a hose race, we've got the dog race ,in dis a Human race......... me sain' when the cat's away ,da mouse will play, political violence fill ya city yeah ,don't forget your History and know your destiny, where is abundance of water, a fool is thirsty ,rat race, rat race , rat race race, rat race....... ..........! ! !
 
Back
Top Bottom