Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

Tatizo la haya yote ni chadema na sijui ni kwanini wanalelewa hivi,wamemuua mawazo wakasingizia watu wasiojulikana,wamempiga Lissu (Episode) wakasingizia watu wasiojulikana,wamemuua Daniel john kwa sababu hakumsupport Salum mwalim,wamemuua Diwani wa huko morogoro,hawa watu si wakuchea,wamemuua akwilina wakasingizia polisi,wasipodhibitiwa watachafua nchi yetu
UNA MATATIZO YA AKILI!
CHADEMA WAMEOMBA UCHUNGUZI UFANYIKE MPAKA LEO CCM WAMEGOMA, UKISEMA NI CHADEMA INABIDI UWE HOSPITALI YA VICHAA SIO HAPO NYUMA YA KEYBOARD.
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Aliyetumwa nafsi ilikuwa inamsuta, aoufanya tu kutekeleza agizo,
Pia Mungu yupo na hakuna anayemdhinda hata sniper hamshindi...
 
Lissu ni mpango wa Mungu , ata kama mngetumia mizinga kama Mungu hajapenda binadamu uwezi kurazimisha
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Kwako hao unaweza hata kuwatuma wapige malaika na lazima wamuuwe awakosei.watume wamuuwe shetani utakuwa umeisaidia dunia nzima.
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Mkuu tatzo la watu wanaingiza siasa na kutafuta huruma kwa wananchi but kiukweli kuna watu wanatumia mianya ya siasa kufanya matukio na uchonganishi na wakati mwingne anaweza tumia jina la police au hao usalama ili kuchafua inchi na wananchi akili zao ziweze kuwaza hapo tu ,,,wao wakiwa wanafanya mambo mengne
 
Heshima kwenu wakuu,

Sasa hivi Taifa lipo kwenye sintofahamu kutokana na mauaji na utekaji wa watanzaia. Na Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi ( Watu wasiojulikana).

Sasa nashauri ili vyombo hivi muhimu vijisafishe. Watoe tamko hadharani kwamba hawahusiki na waseme nani anahusika. Waazishe operation na Kampeni za kutafuta hawa Watu wasiojulikana.

Vinginevyo hii Nchi itakuwa umevamiwa. Ukute ni watu wanatuchafua kama nchi ili Tanzania ionekane sio salama.

Kama Taifa tuungane kuwafichua hawa watu wasiojulikana ili kuvisafisha vyombo vyetu vya Usalama. Tushikamane kufichua wote wanaotenda maovu.

Akwilina, Mawazo wametangulia mbele ya haki. Kuna wenzetu wameokotwa kwenye viroba Coco beach na wengine Mto Ruvu. Lissu na wengine wengi wameponea chupuchupu. Kuna waliomwagiwa tindikali.

Kuna Maasikali wengi na Wanakijiji wengi wa Ikwiriri mkoani Pwani wameuawa.

Hii kitu viongozi hawaoneshi kusikitishwa. Kusikitika ni pamoja na Kujiuzulu kuonesha uwajibikaji.

Siamini Kama Polisi. Usalama wa Taifa au CHADEMA ndio wanaohusika na haya Mauaji ya Akwilina.

Arusha kwenye mkutano wa Chadema bomu lililipuka na kuua watu. Kanisani Arusha bomu lililipuka na kuua watu. Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Hawa watu wanaotugombanisha tuwafichue. Na haya yanayoendelea yasitugawe bali tushikamane kushinda fitina. Pamoja tunaweza

Kama taifa tujisafishe.

Sasa yatosha.
Nimeishia kucheka tu Mkuu utafikiri ni mambo mazuri.........................!!!!
 
Polificem na Tissan nyeupe ndo hao wasiojulikana wenyewe.

NB: magaidi wa kibiti walijulikana.
 
Back
Top Bottom