Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

Kwani uongo??

Hebu jaribu kujiuliza kila tukio linalotokea Polisi wanaapa kuwa waliohusika.lazima.watiwe mkononi.

Inapita siku, unapita mwezi, unakatika mwaka bila kusikia hata mtuhumiwa mmoja kukamatwa!

Hivi katika akili ya kawaida tu ni kwanini ttusiwaimplicate wao Polisi na Usalama wa Taifa katika matokeo hayo maovu??
Mbwa hata awe mkali vipi hawezi kuung'ata mkia wake km niwao basi hao Watu wasiojulikana Watendelea kuwa Wasiojulikana
 
Ni mjinga pekee atakae jiuliza watekaji na wauaji ni wakina nani wakati aina ya watu na misimamo yao wanouawa,kuteswa na kupigwa risasi hadharani inaonyesha dhahili wauaji ni wakina nani!!
 
Heshima kwenu wakuu,

Sasa hivi Taifa lipo kwenye sintofahamu kutokana na mauaji na utekaji wa watanzaia. Na Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi ( Watu wasiojulikana).

Sasa nashauri ili vyombo hivi muhimu vijisafishe. Watoe tamko hadharani kwamba hawahusiki na waseme nani anahusika. Waazishe operation na Kampeni za kutafuta hawa Watu wasiojulikana.

Vinginevyo hii Nchi itakuwa umevamiwa. Ukute ni watu wanatuchafua kama nchi ili Tanzania ionekane sio salama.

Kama Taifa tuungane kuwafichua hawa watu wasiojulikana ili kuvisafisha vyombo vyetu vya Usalama. Tushikamane kufichua wote wanaotenda maovu.

Akwilina, Mawazo wametangulia mbele ya haki. Kuna wenzetu wameokotwa kwenye viroba Coco beach na wengine Mto Ruvu. Lissu na wengine wengi wameponea chupuchupu. Kuna waliomwagiwa tindikali.

Kuna Maasikali wengi na Wanakijiji wengi wa Ikwiriri mkoani Pwani wameuawa.

Hii kitu viongozi hawaoneshi kusikitishwa. Kusikitika ni pamoja na Kujiuzulu kuonesha uwajibikaji.

Siamini Kama Polisi. Usalama wa Taifa au CHADEMA ndio wanaohusika na haya Mauaji ya Akwilina. Hawa watu wanaotugombanisha tuwafichue. Na haya yanayoendelea yasitugawe bali tushikamane kushinda fitina. Pamoja tunaweza

Kama taifa tujisafishe.

Sasa yatosha.
Unafikiri kusema hawahusiki ni kazi kubwa? Very easy wambie wamlete mhuska hapo ndo utasubri sana
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Never say never pal. Kuna watu wamepigwa risasi wakiwa mita mbili na adui na waka-survive. Kupitia mafunzo ya kutumia silaha sio certifice ya kufanya mambo kwa uhakika wa asilimia 100. Usituletee nadharia za kijiweni hapa!
Jaribu ku-google upnue mawazo (japo najua unataka kupoteza watu ili waone Lissu hakushambuliwa na unaowatetea)
One Bullet Can Kill, but Sometimes 20 Don’t, Survivors Show
 
Kuna MTU nilimshangaa anasema eti bora majambalika mwili wako utapatikana.kuliko hao wasiojulikana nihatari weka mbari Na watoto wa ufipa.
 
Mwigulu Nchemba sijui kwa nini Bunge linashindwa kumuwajibisha huyu mtu
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Kwa hiyo sasa unataka kujenga hoja gani hapa. Basi huyo mtu alikuwa sniper, hakuwa, that's not our concern. Tunachodai ni kwa nini hawajatiwa nguvuni.......???????

Tukishawajua ndo tutawauliza kwa nini "wakose target from a close range wakati malipo tuliwaahidi mazuri tu".
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Ila mtu huyo anaweza kupiga risasi juu ikaenda kuingia kwenye basi? Au hana mafunzo yule?

Unajua unaongelea maisha ya mtu? Sio target practice, mtu kama wewe mwenye familia, marafiki, ndoto, historia, matatizo. A human with a life as complex and connected as yours.
 
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never

Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.

Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Dumb really dumb
 
Heshima kwenu wakuu,

Sasa hivi Taifa lipo kwenye sintofahamu kutokana na mauaji na utekaji wa watanzaia. Na Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi ( Watu wasiojulikana).

Sasa nashauri ili vyombo hivi muhimu vijisafishe. Watoe tamko hadharani kwamba hawahusiki na waseme nani anahusika. Waazishe operation na Kampeni za kutafuta hawa Watu wasiojulikana.

Vinginevyo hii Nchi itakuwa umevamiwa. Ukute ni watu wanatuchafua kama nchi ili Tanzania ionekane sio salama.

Kama Taifa tuungane kuwafichua hawa watu wasiojulikana ili kuvisafisha vyombo vyetu vya Usalama. Tushikamane kufichua wote wanaotenda maovu.

Akwilina, Mawazo wametangulia mbele ya haki. Kuna wenzetu wameokotwa kwenye viroba Coco beach na wengine Mto Ruvu. Lissu na wengine wengi wameponea chupuchupu. Kuna waliomwagiwa tindikali.

Kuna Maasikali wengi na Wanakijiji wengi wa Ikwiriri mkoani Pwani wameuawa.

Hii kitu viongozi hawaoneshi kusikitishwa. Kusikitika ni pamoja na Kujiuzulu kuonesha uwajibikaji.

Siamini Kama Polisi. Usalama wa Taifa au CHADEMA ndio wanaohusika na haya Mauaji ya Akwilina. Hawa watu wanaotugombanisha tuwafichue. Na haya yanayoendelea yasitugawe bali tushikamane kushinda fitina. Pamoja tunaweza

Kama taifa tujisafishe.

Sasa yatosha.
Mpaka hapo wahusika ushawataja ndio maana huoni hata wakisikitika wal kushtuka kwa yanayotokea.
 
Bado sijaamini mtu kutoka ktk idara tajwa hapo juu anaweza akatumwa kufanya tukio la uuaji na kutumia magazine nzima kisha target awe hai.
Hapo napata majibu kuwa; aliyetumwa si kutoka ktk hiyo idara, hana mafunzo ya kutosha, hakuna weledi, order ilitolewa kwa mtu asiye sahihi, aliyeshindwa kufanya tukio yupo mahali salama.
 
Heshima kwenu wakuu,

Sasa hivi Taifa lipo kwenye sintofahamu kutokana na mauaji na utekaji wa watanzaia. Na Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi ( Watu wasiojulikana).

Sasa nashauri ili vyombo hivi muhimu vijisafishe. Watoe tamko hadharani kwamba hawahusiki na waseme nani anahusika. Waazishe operation na Kampeni za kutafuta hawa Watu wasiojulikana.

Vinginevyo hii Nchi itakuwa umevamiwa. Ukute ni watu wanatuchafua kama nchi ili Tanzania ionekane sio salama.

Kama Taifa tuungane kuwafichua hawa watu wasiojulikana ili kuvisafisha vyombo vyetu vya Usalama. Tushikamane kufichua wote wanaotenda maovu.

Akwilina, Mawazo wametangulia mbele ya haki. Kuna wenzetu wameokotwa kwenye viroba Coco beach na wengine Mto Ruvu. Lissu na wengine wengi wameponea chupuchupu. Kuna waliomwagiwa tindikali.

Kuna Maasikali wengi na Wanakijiji wengi wa Ikwiriri mkoani Pwani wameuawa.

Hii kitu viongozi hawaoneshi kusikitishwa. Kusikitika ni pamoja na Kujiuzulu kuonesha uwajibikaji.

Siamini Kama Polisi. Usalama wa Taifa au CHADEMA ndio wanaohusika na haya Mauaji ya Akwilina. Hawa watu wanaotugombanisha tuwafichue. Na haya yanayoendelea yasitugawe bali tushikamane kushinda fitina. Pamoja tunaweza

Kama taifa tujisafishe.

Sasa yatosha.
Kwani hata mkiwajua unadhani wanajali chochote ? Wao wanaamini kwamba haitatokea siku watakuja kushuka chini , Yaani Mambosasa hajui kwamba Abdallah Zombe aliwahi kuwa RPC .
 
Back
Top Bottom