Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 329
Mtu aliyepitia mafunzo ya kutumia silaha hawezi kutumia risasi 30+ kwenye short range halafu akaishia kumpapasa mtu kwenye nyonga na miguu.Never
Hata kama angekuwa anazirusha kwa mikono Tu hiyo idadi mngezika mtu.
Kwa snipers,mwili wa binadamu Ni kichwa Tu akikutwanga miguu anahesabu kakukosa.
Kama nakuona una watetea watu flani ivii ila subri likufike hapo uta toa tamko radhi-