Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Daah yani mbwa na paka ni ma-spy unataka tuwaue.?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inafikirisha Sana , nimecheka mnoooo , daah hii mpya kwangu ,heeee ngoja nifuatilie mjadala niendelee kustaajabu
 
Kuhusu kifo nitakuletea chapisho maalumu kuhusiana na Soul Travelers ( wasafiri wa nafsi) kuna watu hawafi bali wanabadilisha kutoka mwili mmoja kwenda mwingine nafsi moja inahamia kwenye mwili mpya lakini akili za mtu ni zileze na ufahamu wake ule ule pamoja na kumbukumbu zake. Tuombe utulivu wa nafsi tu.
Hilo bandiko liko wapi !? Mbona haujalileta , nasubiri
 
nafatilia vizuri post yako na majibu yako, binafsi sioni umuhimu wa maisha ikiwa ni kuzaliwa kuzaa na kufa..naomba nisaidie nawezaje jifunza napataga nakala chache bado dots zangu nashindwa kuziconnects kabisa.
Tuna fanana kifikira
 
Ndo ujiulize wewe umezungukwa na mbuga za wanyama lakini hujawahi kula hata swala unashindwa na watu wanatoka ulaya hujiulizi umuhimu wake nini?

Kampuni zao ninamiliki vitalu mbugani lakini wewe mweusi ukikamatwa ni mwindaji haramu. Wazungu wameweka sheria kali sana chini ya umoja wa mataifa kuhusiana na rasilimali za dunia kumbana mtu mweusi. Wao wameshakula kila kitu hawana mnyama hata mmoja. Wamebakiza ngombe na mbuzi na kondoo ambao ni GMO
Lakini hapo bado haujajibu swali, ilipaswa ujibu swali then ndio uje na haya maelezo
 
Mkuu biblia imeacha vitu vingi sana hasa wanyama walioumbwa na binadamu nakutolea mfano wa wanyama wafuatao ambao wameumbwa na binadamu kupitia genetics splicing wanyama hao ni kama Tigon, Leopon,Zeedonk, ligers na wengine wengi sana. Kwa taarifa yako hao wanyama ulikuwa huwafahamu embu waangalie kupitia mtandao wa google uweze kujifunza. Hiyo biblia unayozungumzia ni Project tuu ya kiwafunga watu wasijue Asili ya Jina Bwana kuwa sio mungu bali ni mtu wa kawaida mwenye mamlka ya ki ufalme wa kidunia.
[emoji457][emoji457][emoji16][emoji16]
 
Aiseee nimeona dunia Ina Mambo Sana ,, it means ikipita miaka 300 ijayo dunia inaweza kuaminishwa kwamba hao ni wanyama halisi na watu wakaamini kwa kukosa kwao maarifa
 
Eehhh hii mpya [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu hebu leta elimu ya hii concept

Mkuu hawa viumbe paka hata dunia inawashangaa kwa kweli ndio mana waafrika tunaamini paka ana roho saba na wazungu wanaamini paka ana roho tisa imagine kwamba mchukue paka mrushe juu sana akitua chini anakuwa kasimama hakuna mnyama kama huyo duniani ni yeye tu.
 
Ndo ujiulize wewe umezungukwa na mbuga za wanyama lakini hujawahi kula hata swala unashindwa na watu wanatoka ulaya hujiulizi umuhimu wake nini?

Kampuni zao ninamiliki vitalu mbugani lakini wewe mweusi ukikamatwa ni mwindaji haramu. Wazungu wameweka sheria kali sana chini ya umoja wa mataifa kuhusiana na rasilimali za dunia kumbana mtu mweusi. Wao wameshakula kila kitu hawana mnyama hata mmoja. Wamebakiza ngombe na mbuzi na kondoo ambao ni GMO
Kwani kuna mzawa kakatazwa kumiliki vitalu vya uwindaji,
 
Mreta mada unahoja za kufikirika zaidi kuliko uhalisia eti akuna mbuzi polini mbuzi mawe unawajua ? Ninamaswali mengi ya kukuuliza.
1.je biblia inawatambua aliens ?
 
Mreta mada unahoja za kufikirika zaidi kuliko uhalisia eti akuna mbuzi polini mbuzi mawe unawajua ? Ninamaswali mengi ya kukuuliza.
1.je biblia inawatambua aliens ?

Biblia imetengemezwa kwa mfumon wa low dimension beings ambao wanajulikana kama reptilians ambao wanawatengenezea watu ukombozi wa uongo kutegemea fear of god au hofu ya mungu ili kupata salvation. Hawa low dimension beings wanajua kuwa ili waweze kuwateka nafsi wanadamu lazima wawape notion za false beliefs na hao aliens mbona wamezungumziwa kwenye bible kwqmba ndio mungunna wamepewa jina kuwa jehova? Unawajua jehovians au elohims hao ndio aliens mkuu.
 
Soma vitabu vya red indian and mexican sorcerer anaitwa don juan matus utaelewa kuwa utajiri wa binadamu sio material things kwani utaviacha hapa duniani kitu utakacho ondoka nacho na kitakacho kusaidia uweze kuvuka kwenda 4th and 4th dimension ni knowledge brother kitu ambacho watu kama wewe hamjui na ukishindwa kuvuka mizani utabaki kutangatanga hapa duniani ndo una kuwa Ghost tazama video ya Michael jackos inaitwa thriller ndo utaishia hapo usipokuwa na maarifa.
So nimepewa kitabu Death's End (The Three Body Problem) cha Chixin Liu,
ni science fiction lakini ndo nimeambiwa itanielezea vizuri 4th dimension.
Inasemekana mwandishi ameielezea like she's been there before!!!
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-21-10-32-23-383_com.adobe.reader.jpg
    Screenshot_2023-01-21-10-32-23-383_com.adobe.reader.jpg
    238.2 KB · Views: 21
Back
Top Bottom