Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Hio biblia ulikuwepo wakati inaandikwa
How sure are you biblia imeandikwa na nani?

Nitakuelewa ukisema kwa imani tu ila kutuhakikishia kwamba unacho kiamini wewe ndio chimbuko la mwanzo wa dunia tupe ushahidi

Mimi naamini Kuna theories nyingi kuhusu mwanzo wa dunia hii ya Mungu ni moja wapo,lakini what if kuna possibility dunia ilianzia kwa theory nyingine
Am open to all theories,not fixed to any since sina evidence
Hahahaaaa wewe nikikwambia unithibitishie nani kaumba mti wa maembe utaweza ?

I remember wewe ni mkristo kama mimi sasa niulize..
You no longer believe in Christ ? umeakua Atheist au ume Slim ?

Mwisho:
Naweza kukuelezea uumbaji kupitia maandiko ya Mungu tu, ila kisanyansi siwezi polojo zao.
 
Utulivu ni muhimu kwenye nafsi zenu wote.

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wajuzi wa mambo wanasema ukweli unashangaza sana kuliko uhalisia wa mambo. Asilimia 100% ya vitu vinavyo tuzunguka na kuviona, kula pamoja na kuvisikia sio kweli ni uongo mtupu na vingine haviliwi.

Toka mtu anazaliwa mpaka anakufa kama hakuweza kuwa mtawazwa wa kikundi flani cha elimu ya siri atakufa ilihali amepoteza muda wake hapa duniani bila kujifunza kitu chochote cha kumsaidia nguvu pale atakapo fungua mlango wa pili kwani knowledge is power.

Lengo la ujinga huu ninao andika sio kumfungua mwerevu akili bali kuwa funzo kwa wachache wenye kufikiri. Kwani werevu ni watu wabishi sana na mimi sina muda wa kubishana na mtu mwerevu ajuae kila kitu.

Maisha yetu yote toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula nyama ya mbuzi, ng’ombe, kondoo, nguruwe nk pia tumekuta watu wanafuga paka, mbwa na kadhalika.

Maisha yetu toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula mahindi(ugali), wali, ngano, viazi ulaya nk

Nataka leo nikupe siri kuwa hao wanyama wote hapo ni wanyama wasioliwa na hawana nafsi (spirit) kwa kuweza msisitizo hao wanyama ni hybrids hawajaumbwa na mungu bali ni genetics manipulation au kucheza na vinasaba.

Kama mnavyojua toka umezaliwa hujawahi kuona paka anaishi kwenye mbuga yoyote mda wote anazunguka kwenye makazi ya wanadamu.

Toka unezaliwa hujawahi kuona wala kusikia ngo’mbe wanapatikana msitu wowote duniani au hukawahi kuona wawindaji wanaenda kuwinda ngo’ombe porini. Muda wote mnyama huyu yupo katika makazi ya watu.

Toka umezaliwa hujawahi kuona nguruwe (pink hybrids) ambao ni genetic manipulation ya wild boars wanapatikana kwenye msitu wowote. Utawakuta wapo tu kwenye mazingira ya watu hata huwezi kuona katoroka anarudi msituni kama wafanyavyo ngiri au mnyama youote wa asili aliye umbwa na Mungu.

Toka umezaliwa hata uende msitu wowote iwe serengeti amazoni au misitu ya congo huwezi kukuta hao wanyama niliokutajia hapo kwani sio product ya nature.

Hayo maviumbe watu wanayokula yalitengenezwa na aliens kwa lengo lakuzima 3rd eye ya mwanadamu na kumuondoa nguvu zake za asili.

Jiulize ukienda msitu wowote duniani utakuta swala simba mbwa mwitu nyani tumbili hata ukiwachukua na kuwapeleka zoo ya maonyesho ya wanyama hupenda kutoroka na kurudi porini kwani ndio asili yao je ulishaona wanyama kama mbwa ngombe mbuzi kondoo na nguruwe wanatoroka na kurudi porini? Au wanapenda kuishi katika mazingira ya watu.?

Kwanini watawala wa dunia hawataki watu wale nyama pori? Sababu ni moja ukila nyama pori utafanya kitu kinaitwa DNA activation jiulize watu matajiri wanatoka ulaya na uarabuni kuwinda wanyama huku kwanini?

Mchele, ngano mahindi na mazao mengi yaliletwa kwetu na wazungu pamoja na wareno sisi tulikiwa hatuli ugali kwasababu unadumaza akili ndo mana wao ugali ( steep porridge) ni chakula cha nguruwe. Kama kuna mtu anaushahidi haya mazao hayakuletwa na wazungu aweke hapa. Azibitishe kuwa yalikuwepo kabla ya wazungu kuja.

Wale wanyama pori ndo Mungu ametuwekea tule kama chakula, pamoja na asali ya nyuki na mizizi viazi vitamu mihogo na matunda pamoja na samaki. Ukila chakula hiki utaweza kufungua DNA yako. Lakini ukila hayo mambuzi kondoo na ngombe jua unazimaliza nguvu zako pamoja na kuoata magonjwa kama gauti na kuwa na akili za kingo’mbe. Usidhani watu waliosema mtu ana sura ya mbuzi wanatania. Ni kweli Mbuzi ni mnyama aliyetokana na DNA ya binadamu ndo mana ana ndevu ( chunguza sana picha ya mbuzi) na kwanini mbuzi anahusishwa na devil au shetani?

Usifuge paka au mbwa nyumbani kwako ni hatari sana viumbe hawa ni spy au majasusi. Kama unafuga wafukuze au wauwe.

Viumbe hawa ndo wanasifika kwamba wanauwezo wa kuona wachawi. Hiyo ni kwa sababu hivi viumbe havina nafsi na mchawi ni mtu aliyeuza nafsi hivo ni rahisi sana kiumbe cha nguvu za giza kumuingia paka au mmbwa bila wewe kujua na kukuchunguza maisha yako yote kama kamera.

Huwezi kumuona mchawi kama wewe sio mmoja wao ndo haya maviumbe mnayoweka nyumbani kwenu na kuyapa chakula cha bure. Mbwa ni viumbe rahisi sana utiifu wao upo kwa mtu anaye wapa chakula tu na kama usipo mpa chakula atakugeuka.

Nataka niandike vitu vingi lakini nimechoka. Kwani unaweza kuandika kitu cha kusaidia jamii mtu mwerevu akaona mbali na kujibu mitano tena ili kuficha elimu. Sifa kubwa ya watu wasiokuwa na akili iliyo komaa ni kupenda sana Mizaha.

Mwsho namalizia kwa kusema binadamu wa kweli na asili ni watu weusi kutoka Africa pamoja na bara la Australia ukijumlisha na red Indias waliokuwa wanaishi North America. Wazungu sio product ya mungu ni hybrids na wanyama niliokutajia hapo ni kwaajili ya wazungu ndo mana wanapenda Ma mbwa kiasi wanalala nayo na paka akiwamo.

Sitaweza kujibu kila maoni ya mtu soma alafu achana nayo sikukazimishi ukiamini nilichoandika. Fanya yako.

Badi.
unasema wazungu hawana nafsi, sasa kwanini wanakuja kufuata wanyama pori ambao ndiyo wa asili wasibaki kula ng"ombe na mbuzi ambazo hazina nafsi kama wao??
 
Ndo ujiulize wewe umezungukwa na mbuga za wanyama lakini hujawahi kula hata swala unashindwa na watu wanatoka ulaya hujiulizi umuhimu wake nini?

Kampuni zao ninamiliki vitalu mbugani lakini wewe mweusi ukikamatwa ni mwindaji haramu. Wazungu wameweka sheria kali sana chini ya umoja wa mataifa kuhusiana na rasilimali za dunia kumbana mtu mweusi. Wao wameshakula kila kitu hawana mnyama hata mmoja. Wamebakiza ngombe na mbuzi na kondoo ambao ni GMO
 
Mkuu endeleea kushuka
 
Haujiamini kabisa yani
 
Vipi kula wadudu mfano panzi,mende nk? Manake tukisema rule wanyama pori ndani ya mwaka mmoja watakwisha

Tupe mbadala wa chakula
 
Kuhusu kifo nitakuletea chapisho maalumu kuhusiana na Soul Travelers ( wasafiri wa nafsi) kuna watu hawafi bali wanabadilisha kutoka mwili mmoja kwenda mwingine nafsi moja inahamia kwenye mwili mpya lakini akili za mtu ni zileze na ufahamu wake ule ule pamoja na kumbukumbu zake. Tuombe utulivu wa nafsi tu.
hii mada ukiileta unitag
 
biblia haijaacha kitu

Yakobo 3:7Biblia Habari Njema (BHN)​

Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini

Mwanzo 1:25 BHN​

Basi, Mungu akafanya aina zote za wanyama wa porini, wanyama wa kufugwa, na viumbe vitambaavyo. Mungu akaona kuwa ni vyema.
 
Mkuu biblia imeacha vitu vingi sana hasa wanyama walioumbwa na binadamu nakutolea mfano wa wanyama wafuatao ambao wameumbwa na binadamu kupitia genetics splicing wanyama hao ni kama Tigon, Leopon,Zeedonk, ligers na wengine wengi sana. Kwa taarifa yako hao wanyama ulikuwa huwafahamu embu waangalie kupitia mtandao wa google uweze kujifunza. Hiyo biblia unayozungumzia ni Project tuu ya kiwafunga watu wasijue Asili ya Jina Bwana kuwa sio mungu bali ni mtu wa kawaida mwenye mamlka ya ki ufalme wa kidunia.
 
Ndo ujiulize wewe umezungukwa na mbuga za wanyama lakini hujawahi kula hata swala unashindwa na watu wanatoka ulaya hujiulizi umuhimu wake nini?

Kampuni zao ninamiliki vitalu mbugani lakini wewe mweusi ukikamatwa ni mwindaji haramu. Wazungu wameweka sheria kali sana chini ya umoja wa mataifa kuhusiana na rasilimali za dunia kumbana mtu mweusi. Wao wameshakula kila kitu hawana mnyama hata mmoja. Wamebakiza ngombe na mbuzi na kondoo ambao ni GMO
nje ya mada kwann kafara nyingi (navyosikia) huwa wanachinja. kuku.mbuzi.paka.ng'ombe,kondoo na si wanyama pori?
 
Hapana sijadanganya mkuu. hao wanyama ni hatari sana macho yao yanaona mbali
Nafikiri wanyama wote wan uwezo wa kuona higher dimension beings kama vile wanavyoweza kusikia frequencies tofauti na sisi.
 
H

HILO NI KWELI ,NA NDO MAANA TUNAELEKEZWA USILALE NA PAKA NDANI HUONA KILA KITU NDANI YA TUMBO BILA KIZUWIZI NA ANAWEZA TAMAN AKAKUMALIZA
Eehhh hii mpya [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu hebu leta elimu ya hii concept
 
tuleteeni mbinu za kukwepa kifo kwanza, ili tuendelee na haya sio mtu unakula nyama ya panya unakuwa tajiri afu unakufa haina maana yeyote, tuleteeni mbinu za kumkwepa huyu adui wa maisha la sivyo siwez kuacha kula kuku na k-vant
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] you nailed it
 
Back
Top Bottom