Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

pamoja mkuu,endelea kutema madini!and unawezaje mtu kufungua the third eye?

Huwezi kufungua third eye. Inafunguka yenyewe ukizingatia kanuni za vyakula utaweza kupata energy za kutosha ambazo zitakusaidia ku vibrate in high frequency ndipo uta connects na higher self
 
Utopolo mtupu hakuna third eye wala fifth wala ndoto nyingine za aina hiyo, akili zako zimevurugwa tu na conspiracies.

Msimsikilize huyu bwana ni miongoni mwa wale wasiopenda binadamu wenzao wapate maarifa. Watu kama hawa ndio wanaficha yale mwenyezi mungu aliyoteremsha ili kujinufaisha wao wenyewe na kuangamiza binadamu wenzao ki msingi wana chuki sana na wana kosoa bila kuleta hoja zilizo wazi. Kama hakuna 3rd eye kivipi mtu anafumba macho alafu anaona ndoto?
 
Nimeshindwa nicomment nini au niulize nini. Hapa kuna madini si ya dunia hii, maswali ya wanyama tufugao kutokuwepo polini nimekuwa nilikijiuliza kama ninavyojiuliza kuhusu nyani kutobadilika kuwa binadamu kwa siku hizi wakati tunaambiwa tumetokana na nyani.

Vilevile bustani ya Eden kusemekana ilikuwepo huko mashari ambapo sasa hata wanyama hakuna au hata uoto wa asili wenye kuvutia hakuna zaidi ya kuambiwa kuna mito yenye majina kama ya bustanini l am totally confused.

Au kuambiwa maarifa na ustaarabu ulianzia ulaya na mashariki wakati huohuo naambiwa Plato alikuja Misri kujifunza baadhi ya mambo du! Na wati huohuo Nasoma kwamba teknolojia iliyotumika kujenga mapiramidi ni ya hali yajuu kuwahi kutokea.

Ama kweli mambo ni mengi mda ni mchache. Hebu wajuvi wa mambo mje tusome majadilioano yenu nasi tupate kujifunza.

Mtoa mada heshima kwako mkuu.
 
umeandika vizuri lakini kibaya umeengamia kwasababu umekosa maarifa
 
tuleteeni mbinu za kukwepa kifo kwanza, ili tuendelee na haya sio mtu unakula nyama ya panya unakuwa tajiri afu unakufa haina maana yeyote, tuleteeni mbinu za kumkwepa huyu adui wa maisha la sivyo siwez kuacha kula kuku na k-vant
 
ktmoto kavu kachumbar na konyag kubwa[emoji4]
 
Mada inafikirisha haswa!

Inaleta maswali mabaya hasa ukifiria kwamba sasa wameanza kuclone na kujitangaza wazi, je huko sirini wamefanya mangapi? Wameclone vingapi?
 
Maisha yetu na wao hayapo sawa. Point za msingi hapo zipo nyingi sana. Nimezungumzia wanyama na nafaka (mimea). Umesha wahi kuhisi kwanini kuna kitu hakipo sawa katika mazingira yanayo tuzunguka jamii zetu hasa afrika hasa umaskini na migogoro isiyokwisha kuanzia ngazi ya familia, mtaa, kata, wilaya, mkoa hata nchi na nchi?

Mathalan tungekuwa hatuli ugali na wali kama ilivyokuwa kabla ya utumwa na ukoloni tungekuwa tunakula nini sasa hivi? ( zingatia nipe ushahidi unaoonuyesha kabla ya wazungu kuja kulikuwa na watu weusi wanalima mchele na mahindi nk) Au kabla ya wazungu hawajaleta hao wanyama wa kufuga nyumbani kwanini tulikuwa tunaishi maisha ya kuwinda ( hunting and gathering).

Moja Point iliyo wazi hapo ni kwamba kuna siri kubwa kuhusiana na aina vyakula tunavyokula watu weusi na wanyama tunaofuga majumbani kila siku ndio vimetufikisha hapa. Na watakao elewa hapa ndio msingi wa kujua hatua ya pili ni nini baada ya hii..

Ulikula hivyo vitu kwa kuchanganya lakini ukila chakula cha mtu mweusi kamili ndani ya siku 14 utaona tofauti kubwa kwani vyakula tunavyokula sisi sio vya kwetu kiasili vimeletwa.

You are what you eat. Na akili za mtu mweusi zimefungwa pineal gland hatuli tunashiba tuu ndo manahatuoni wala hatugundui.

Vyakula vya mtu mweusi ni Alkaline based food lakini wengi tunalishwa acidic food bila kujua.
Pendekeza vyakula vitano tunavyoshauriwa kula
 
Nimeshindwa nicomment nini au niulize nini. Hapa kuna madini si ya dunia hii, maswali ya wanyama tufugao kutokuwepo polini nimekuwa nilikijiuliza kama ninavyojiuliza kuhusu nyani kutobadilika kuwa binadamu kwa siku hizi wakati tunaambiwa tumetokana na nyani.

Vilevile bustani ya Eden kusemekana ilikuwepo huko mashari ambapo sasa hata wanyama hakuna au hata uoto wa asili wenye kuvutia hakuna zaidi ya kuambiwa kuna mito yenye majina kama ya bustanini l am totally confused.

Au kuambiwa maarifa na ustaarabu ulianzia ulaya na mashariki wakati huohuo naambiwa Plato alikuja Misri kujifunza baadhi ya mambo du! Na wati huohuo Nasoma kwamba teknolojia iliyotumika kujenga mapiramidi ni ya hali yajuu kuwahi kutokea.

Ama kweli mambo ni mengi mda ni mchache. Hebu wajuvi wa mambo mje tusome majadilioano yenu nasi tupate kujifunza.

Mtoa mada heshima kwako mkuu.

Asante Kiongozi
 
tuleteeni mbinu za kukwepa kifo kwanza, ili tuendelee na haya sio mtu unakula nyama ya panya unakuwa tajiri afu unakufa haina maana yeyote, tuleteeni mbinu za kumkwepa huyu adui wa maisha la sivyo siwez kuacha kula kuku na k-vant

Kuhusu kifo nitakuletea chapisho maalumu kuhusiana na Soul Travelers ( wasafiri wa nafsi) kuna watu hawafi bali wanabadilisha kutoka mwili mmoja kwenda mwingine nafsi moja inahamia kwenye mwili mpya lakini akili za mtu ni zileze na ufahamu wake ule ule pamoja na kumbukumbu zake. Tuombe utulivu wa nafsi tu.
 
Utulivu ni muhimu kwenye nafsi zenu wote.

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wajuzi wa mambo wanasema ukweli unashangaza sana kuliko uhalisia wa mambo. Asilimia 100% ya vitu vinavyo tuzunguka na kuviona, kula pamoja na kuvisikia sio kweli ni uongo mtupu na vingine haviliwi.

Toka mtu anazaliwa mpaka anakufa kama hakuweza kuwa mtawazwa wa kikundi flani cha elimu ya siri atakufa ilihali amepoteza muda wake hapa duniani bila kujifunza kitu chochote cha kumsaidia nguvu pale atakapo fungua mlango wa pili kwani knowledge is power.

Lengo la ujinga huu ninao andika sio kumfungua mwerevu akili bali kuwa funzo kwa wachache wenye kufikiri. Kwani werevu ni watu wabishi sana na mimi sina muda wa kubishana na mtu mwerevu ajuae kila kitu.

Maisha yetu yote toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula nyama ya mbuzi, ng’ombe, kondoo, nguruwe nk pia tumekuta watu wanafuga paka, mbwa na kadhalika.

Maisha yetu toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula mahindi(ugali), wali, ngano, viazi ulaya nk

Nataka leo nikupe siri kuwa hao wanyama wote hapo ni wanyama wasioliwa na hawana nafsi (spirit) kwa kuweza msisitizo hao wanyama ni hybrids hawajaumbwa na mungu bali ni genetics manipulation au kucheza na vinasaba.

Kama mnavyojua toka umezaliwa hujawahi kuona paka anaishi kwenye mbuga yoyote mda wote anazunguka kwenye makazi ya wanadamu.

Toka unezaliwa hujawahi kuona wala kusikia ngo’mbe wanapatikana msitu wowote duniani au hukawahi kuona wawindaji wanaenda kuwinda ngo’ombe porini. Muda wote mnyama huyu yupo katika makazi ya watu.

Toka umezaliwa hujawahi kuona nguruwe (pink hybrids) ambao ni genetic manipulation ya wild boars wanapatikana kwenye msitu wowote. Utawakuta wapo tu kwenye mazingira ya watu hata huwezi kuona katoroka anarudi msituni kama wafanyavyo ngiri au mnyama youote wa asili aliye umbwa na Mungu.

Toka umezaliwa hata uende msitu wowote iwe serengeti amazoni au misitu ya congo huwezi kukuta hao wanyama niliokutajia hapo kwani sio product ya nature.

Hayo maviumbe watu wanayokula yalitengenezwa na aliens kwa lengo lakuzima 3rd eye ya mwanadamu na kumuondoa nguvu zake za asili.

Jiulize ukienda msitu wowote duniani utakuta swala simba mbwa mwitu nyani tumbili hata ukiwachukua na kuwapeleka zoo ya maonyesho ya wanyama hupenda kutoroka na kurudi porini kwani ndio asili yao je ulishaona wanyama kama mbwa ngombe mbuzi kondoo na nguruwe wanatoroka na kurudi porini? Au wanapenda kuishi katika mazingira ya watu.?

Kwanini watawala wa dunia hawataki watu wale nyama pori? Sababu ni moja ukila nyama pori utafanya kitu kinaitwa DNA activation jiulize watu matajiri wanatoka ulaya na uarabuni kuwinda wanyama huku kwanini?

Mchele, ngano mahindi na mazao mengi yaliletwa kwetu na wazungu pamoja na wareno sisi tulikiwa hatuli ugali kwasababu unadumaza akili ndo mana wao ugali ( steep porridge) ni chakula cha nguruwe. Kama kuna mtu anaushahidi haya mazao hayakuletwa na wazungu aweke hapa. Azibitishe kuwa yalikuwepo kabla ya wazungu kuja.

Wale wanyama pori ndo Mungu ametuwekea tule kama chakula, pamoja na asali ya nyuki na mizizi viazi vitamu mihogo na matunda pamoja na samaki. Ukila chakula hiki utaweza kufungua DNA yako. Lakini ukila hayo mambuzi kondoo na ngombe jua unazimaliza nguvu zako pamoja na kuoata magonjwa kama gauti na kuwa na akili za kingo’mbe. Usidhani watu waliosema mtu ana sura ya mbuzi wanatania. Ni kweli Mbuzi ni mnyama aliyetokana na DNA ya binadamu ndo mana ana ndevu ( chunguza sana picha ya mbuzi) na kwanini mbuzi anahusishwa na devil au shetani?

Usifuge paka au mbwa nyumbani kwako ni hatari sana viumbe hawa ni spy au majasusi. Kama unafuga wafukuze au wauwe.

Viumbe hawa ndo wanasifika kwamba wanauwezo wa kuona wachawi. Hiyo ni kwa sababu hivi viumbe havina nafsi na mchawi ni mtu aliyeuza nafsi hivo ni rahisi sana kiumbe cha nguvu za giza kumuingia paka au mmbwa bila wewe kujua na kukuchunguza maisha yako yote kama kamera.

Huwezi kumuona mchawi kama wewe sio mmoja wao ndo haya maviumbe mnayoweka nyumbani kwenu na kuyapa chakula cha bure. Mbwa ni viumbe rahisi sana utiifu wao upo kwa mtu anaye wapa chakula tu na kama usipo mpa chakula atakugeuka.

Nataka niandike vitu vingi lakini nimechoka. Kwani unaweza kuandika kitu cha kusaidia jamii mtu mwerevu akaona mbali na kujibu mitano tena ili kuficha elimu. Sifa kubwa ya watu wasiokuwa na akili iliyo komaa ni kupenda sana Mizaha.

Mwsho namalizia kwa kusema binadamu wa kweli na asili ni watu weusi kutoka Africa pamoja na bara la Australia ukijumlisha na red Indias waliokuwa wanaishi North America. Wazungu sio product ya mungu ni hybrids na wanyama niliokutajia hapo ni kwaajili ya wazungu ndo mana wanapenda Ma mbwa kiasi wanalala nayo na paka akiwamo.

Sitaweza kujibu kila maoni ya mtu soma alafu achana nayo sikukazimishi ukiamini nilichoandika. Fanya yako.

nakubaliana na mtoa mada sana. v

Badi.
nakubaliana sana na mada tajwa. na ni vitu vingi sikua anavijua ndo nmevijua baada ya kusoma mada hii.

1 lakini maandiko hasa bible imeonesha watu wengi wa kale walikua matajiri wa mifugo ambayo ni kondoo. mfano Ayubu alikua Tajiri wa mifugo (kondoo). how comes condo pia iwekwe kundi ya vitu tusopaswa.

2. nendeni nchi ya maziwa na asali. hapa maziwa gani yalikua yanaongelewa ikiwa ng'ombe unatukataza tusitumie
 
Hoja yako ni ya msingi kwani kwa waliosoma biblia vitabu vya mwanzo na Daniel pamoja na historia ya mtu kama nabii nuhu na safina watanielewa haya ninayoandika hapa.

Kwa mtazamo wa bible kuna malaika walioasi Baadhi ya hao malaika ni Asbeel, Azazel, Moloch, Chemosh, Dagon, Belial, Beelzebub Lucifer na wengine wengi je unajua uchafu hawa jamaa waliomfundisha mwanadamu na kuchafua uumbaji wa mungu mpaka wakachafua dunia na mungu wa bible ikabidi asafishe dunia kwa maji na kumwambia nuhu apakize mnyama mpya msafi miongoni mwa wanyama wa asili waliobakia wewe unauhakika gani huyu kondoo wa sasa hivi ndo kondoo wa enzi za kina ayubu?

Unadhani ni sababu gani ilimpelekea mungu wa kwenye bible aangamize dunia na kuanza na viumbe wapya ambao nuhu aliwakamata na kuwaweka kwenye safina je kwenye bible kuna listi kamili ya hao viumbe ambao nuhu aliwaweka kwenye safina au bible ipo kimya ime generalize kila kitu na hakuna list ya wanyama nuhu aliofanikiwa kuwaingiza?

Wanyama waliowekwa na Mungu au nature sifa ya kuwatambua ni ufahamu pamoja na kuweza kujilinda na hatari kwa kukimbia. Ngombe na wanyama wengine ni ma zezeta hawawezi kuwa na ufahamu wa kujilinda na hatari kwani hawana spirit au consciousness ni kama cloned animals hawana spirit ya utambizi wamekaa tu.
 
Back
Top Bottom