Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Mkuu kikubwa biblia husomi,ungekuwa unasoma biblia usingeleta huu udanganyifu wako

Ova
 
Yaan aliens wafanye yote hayo ili iweje kwa mfano...

Yaan kwel alien apoteze muda na nguvu zake zoote ili iweje?

Mtoa mada is dreaming biig

Nikitoka job jion ntatulia nikupe logics ztakazokufikirisha sana ambazo znapinga concepts zako zote

Ni vizur ku think nje ya box though...unakua unachangamsha akil na sio kukaa kiboya boya tuu...yaan u have to ask urself y this y that ...ts important.

So mtoa mada nimekusifu kwa kuwa mfikiriaji
 
Sawa mkuu nasubiri pia Asante kwa kufikiria
 
Mkuu kikubwa biblia husomi,ungekuwa unasoma biblia usingeleta huu udanganyifu wako

Ova

Mkuu hata mbuzi unaweza kuta hujawahi kumuona ila nina uhakika huyu mbuzi ndo wa kwenye biblia yako.
IMG_1864.png
 
Kuhusu kifo nitakuletea chapisho maalumu kuhusiana na Soul Travelers ( wasafiri wa nafsi) kuna watu hawafi bali wanabadilisha kutoka mwili mmoja kwenda mwingine nafsi moja inahamia kwenye mwili mpya lakini akili za mtu ni zileze na ufahamu wake ule ule pamoja na kumbukumbu zake. Tuombe utulivu wa nafsi tu.
Mkuu ukileta huo uzi,, Tafadhali Nitag
 
Utulivu ni muhimu kwenye nafsi zenu wote.

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wajuzi wa mambo wanasema ukweli unashangaza sana kuliko uhalisia wa mambo. Asilimia 100% ya vitu vinavyo tuzunguka na kuviona, kula pamoja na kuvisikia sio kweli ni uongo mtupu na vingine haviliwi.

Toka mtu anazaliwa mpaka anakufa kama hakuweza kuwa mtawazwa wa kikundi flani cha elimu ya siri atakufa ilihali amepoteza muda wake hapa duniani bila kujifunza kitu chochote cha kumsaidia nguvu pale atakapo fungua mlango wa pili kwani knowledge is power.

Lengo la ujinga huu ninao andika sio kumfungua mwerevu akili bali kuwa funzo kwa wachache wenye kufikiri. Kwani werevu ni watu wabishi sana na mimi sina muda wa kubishana na mtu mwerevu ajuae kila kitu.

Maisha yetu yote toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula nyama ya mbuzi, ng’ombe, kondoo, nguruwe nk pia tumekuta watu wanafuga paka, mbwa na kadhalika.

Maisha yetu toka tumezaliwa tumekuta watu wanakula mahindi(ugali), wali, ngano, viazi ulaya nk

Nataka leo nikupe siri kuwa hao wanyama wote hapo ni wanyama wasioliwa na hawana nafsi (spirit) kwa kuweza msisitizo hao wanyama ni hybrids hawajaumbwa na mungu bali ni genetics manipulation au kucheza na vinasaba.

Kama mnavyojua toka umezaliwa hujawahi kuona paka anaishi kwenye mbuga yoyote mda wote anazunguka kwenye makazi ya wanadamu.

Toka unezaliwa hujawahi kuona wala kusikia ngo’mbe wanapatikana msitu wowote duniani au hukawahi kuona wawindaji wanaenda kuwinda ngo’ombe porini. Muda wote mnyama huyu yupo katika makazi ya watu.

Toka umezaliwa hujawahi kuona nguruwe (pink hybrids) ambao ni genetic manipulation ya wild boars wanapatikana kwenye msitu wowote. Utawakuta wapo tu kwenye mazingira ya watu hata huwezi kuona katoroka anarudi msituni kama wafanyavyo ngiri au mnyama youote wa asili aliye umbwa na Mungu.

Toka umezaliwa hata uende msitu wowote iwe serengeti amazoni au misitu ya congo huwezi kukuta hao wanyama niliokutajia hapo kwani sio product ya nature.

Hayo maviumbe watu wanayokula yalitengenezwa na aliens kwa lengo lakuzima 3rd eye ya mwanadamu na kumuondoa nguvu zake za asili.

Jiulize ukienda msitu wowote duniani utakuta swala simba mbwa mwitu nyani tumbili hata ukiwachukua na kuwapeleka zoo ya maonyesho ya wanyama hupenda kutoroka na kurudi porini kwani ndio asili yao je ulishaona wanyama kama mbwa ngombe mbuzi kondoo na nguruwe wanatoroka na kurudi porini? Au wanapenda kuishi katika mazingira ya watu.?

Kwanini watawala wa dunia hawataki watu wale nyama pori? Sababu ni moja ukila nyama pori utafanya kitu kinaitwa DNA activation jiulize watu matajiri wanatoka ulaya na uarabuni kuwinda wanyama huku kwanini?

Mchele, ngano mahindi na mazao mengi yaliletwa kwetu na wazungu pamoja na wareno sisi tulikiwa hatuli ugali kwasababu unadumaza akili ndo mana wao ugali ( steep porridge) ni chakula cha nguruwe. Kama kuna mtu anaushahidi haya mazao hayakuletwa na wazungu aweke hapa. Azibitishe kuwa yalikuwepo kabla ya wazungu kuja.

Wale wanyama pori ndo Mungu ametuwekea tule kama chakula, pamoja na asali ya nyuki na mizizi viazi vitamu mihogo na matunda pamoja na samaki. Ukila chakula hiki utaweza kufungua DNA yako. Lakini ukila hayo mambuzi kondoo na ngombe jua unazimaliza nguvu zako pamoja na kuoata magonjwa kama gauti na kuwa na akili za kingo’mbe. Usidhani watu waliosema mtu ana sura ya mbuzi wanatania. Ni kweli Mbuzi ni mnyama aliyetokana na DNA ya binadamu ndo mana ana ndevu ( chunguza sana picha ya mbuzi) na kwanini mbuzi anahusishwa na devil au shetani?

Usifuge paka au mbwa nyumbani kwako ni hatari sana viumbe hawa ni spy au majasusi. Kama unafuga wafukuze au wauwe.

Viumbe hawa ndo wanasifika kwamba wanauwezo wa kuona wachawi. Hiyo ni kwa sababu hivi viumbe havina nafsi na mchawi ni mtu aliyeuza nafsi hivo ni rahisi sana kiumbe cha nguvu za giza kumuingia paka au mmbwa bila wewe kujua na kukuchunguza maisha yako yote kama kamera.

Huwezi kumuona mchawi kama wewe sio mmoja wao ndo haya maviumbe mnayoweka nyumbani kwenu na kuyapa chakula cha bure. Mbwa ni viumbe rahisi sana utiifu wao upo kwa mtu anaye wapa chakula tu na kama usipo mpa chakula atakugeuka.

Nataka niandike vitu vingi lakini nimechoka. Kwani unaweza kuandika kitu cha kusaidia jamii mtu mwerevu akaona mbali na kujibu mitano tena ili kuficha elimu. Sifa kubwa ya watu wasiokuwa na akili iliyo komaa ni kupenda sana Mizaha.

Mwsho namalizia kwa kusema binadamu wa kweli na asili ni watu weusi kutoka Africa pamoja na bara la Australia ukijumlisha na red Indias waliokuwa wanaishi North America. Wazungu sio product ya mungu ni hybrids na wanyama niliokutajia hapo ni kwaajili ya wazungu ndo mana wanapenda Ma mbwa kiasi wanalala nayo na paka akiwamo.

Sitaweza kujibu kila maoni ya mtu soma alafu achana nayo sikukazimishi ukiamini nilichoandika. Fanya yako.

Badi.
Wahadzabe wanaishi kwa kula vyakula vya asili kabisa na nyama pori lakini hawana lolote jipya zaidi ya kukaa porini. Huoni theory yako inagoma??
 
Wahadzabe wanaishi kwa kula vyakula vya asili kabisa na nyama pori lakini hawana lolote jipya zaidi ya kukaa porini. Huoni theory yako inagoma??

Sio wahadzabe tuu ambao wanaishi maisha hayo ya porini msitu wa congo na amazon wapo watu wanaishi hivo hata North America pamoja na mexico red indian wanaishi porini usisahau pia Australia kuna watu weusi wanaitwa Aboriginal wanaishi hata Canada watu wa hivo wapo South afrika napo wapo hivi unajua wale watu wana knowledge kiasi gani? Na unajua tamaduni zao?Usidhani kukaa porini ni unaskini lengo la binadamu ni maarifa mbona huko porini hakuna malaria hiv tb na magonjwa mengine? Ilihali mbu waenezao magonjwa wapo?

Soma vitabu vya red indian and mexican sorcerer anaitwa don juan matus utaelewa kuwa utajiri wa binadamu sio material things kwani utaviacha hapa duniani kitu utakacho ondoka nacho na kitakacho kusaidia uweze kuvuka kwenda 4th and 4th dimension ni knowledge brother kitu ambacho watu kama wewe hamjui na ukishindwa kuvuka mizani utabaki kutangatanga hapa duniani ndo una kuwa Ghost tazama video ya Michael jackos inaitwa thriller ndo utaishia hapo usipokuwa na maarifa.
 
Usiende mbali huko, niambie Wahadzabe wana maarifa gani yenye manufaa au Khoisan?
 
Mh aisee kuna,watu vichwa huwa vinachemka na kufikiria mambo makubwa,Mkuu umefikiria nini kuanzisha mada hii aisee? Inagonganisha ufahamu ujue ahahaa
 
Mkuu umeeleza wazungu ni hybrid kama walivyo wanyama tunaofuga siyo viumbe wa asili na dini hizi za ukristo tunazosali na mafundisho yake yameletwa na hao wazungu ambao umeeleza kiasili ni hybrid, msimamo wako juu ya hizi imani za dini pamoja na mafundisho yake ni upi? Au unaungana na Kiranga kuwa hakuna Mungu kutokana na kuwa waliotuletea dini na imani za kimungu sio binadamu wa asili?
 
Back
Top Bottom