hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 490
- 459
wewe mwenyewe na mashaka huenda ukawa hybrid ya sokwe na nyani,,!
Anaona kivipi hapa sijaelewa bado?H
HILO NI KWELI ,NA NDO MAANA TUNAELEKEZWA USILALE NA PAKA NDANI HUONA KILA KITU NDANI YA TUMBO BILA KIZUWIZI NA ANAWEZA TAMAN AKAKUMALIZA
Ivi hichi kitabu kina Swahili version auhizi nondo nazisikiaga kwenye book of enoch
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa paka mbona ndio bingwa wa kulala ndani na kujilaza juu ya sofaH
HILO NI KWELI ,NA NDO MAANA TUNAELEKEZWA USILALE NA PAKA NDANI HUONA KILA KITU NDANI YA TUMBO BILA KIZUWIZI NA ANAWEZA TAMAN AKAKUMALIZA
Hawa wadudu nawachukia kinoma, ni miongoni mwa viumbe nisiowapenda, hii imetoa automatically, nikiwaona tu natamani kuwaua Yani, ningekuwa namiliki bundiki paka na mbwa ningeua wote bila huruma.Dah nimejikuta nipo na ma spy wawili, nawatupia nyma kumbe wapo kazn, daaaah..JF bnView attachment 1684009View attachment 1684010View attachment 1684011
Hii ya vyakula Ni kweli kabisa wazungu wanaleta hybrid ya vyakula mbalimbali, mfano mzuri ni maharage aina ya kipapi, tofauti kabisa na maharage aina ya kablanket tuliyokua tinatumia kitambo, haya aina mpya yana gesi na yakipikwa yanakuwa meusi.Ukitoa thread kama hii usituache juu juu tu....! Tupe na solutions? Hivi unafikiri kwa maisha haya utakua unatoa wapi nyamapori? Na utawezaje kukwepa kula ugali wa mahindi, mchele na ngano...?
Hapana sijadanganya mkuu. hao wanyama ni hatari sana macho yao yanaona mbali
Huchanganywi mkuu huo ndio uhalisia wa Mambo ya nyama na wanyamaMnaanza kutuchanganya sasa
Hivi ni kwel ukila nyama yq chui au nyat ina nguv za miujiza
Ha ha ha haa,,!![emoji23][emoji23] Mshana Jr hebu pita mitaa hii.Hivi ni kwel ukila nyama yq chui au nyat ina nguv za miujiza
Husomi neno la Mungu ndio maana hata unaogopa mchawi.
Mwanzo 1:24-25
24) Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo. 25) Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Wakufuga usilazimishe kumkuta msituni.
Hayawezi maisha ya uko.
Mungu alifanya wa kufuga toka kuanza kwa Adamu
Evidence nimetumia andiko la biblia. Hujasoma hadi mwisho ?Hebu tuthibitishie kama kweli Mungu alifanya wanyama wa kufuga toka mwanzo wa dunia
Supportive evidence please
Evidence nimetumia andiko la biblia. Hujasoma hadi mwisho ?
Mwanzo 1:24
[24]Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
Evidence nimetumia andiko la biblia. Hujasoma hadi mwisho ?
Mwanzo 1:24
[24]Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
Kila nyota inasababu zake kwanini imepewa jina fulani.Tueleze pia kuhusu wanyama hao wa kufugwa kutumika katika nyota 12 mfano nyota ya ngombe mbuzi na kondoo na kwanini mbuzi ni alama ya shetani