Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

So nimepewa kitabu Death's End (The Three Body Problem) cha Chixin Liu,
ni science fiction lakini ndo nimeambiwa itanielezea vizuri 4th dimension.
Inasemekana mwandishi ameielezea like she's been there before!!!
Kitabu tayari nimekipata nitakupa mrejesho Mkuu
 
Sio wahadzabe tuu ambao wanaishi maisha hayo ya porini msitu wa congo na amazon wapo watu wanaishi hivo hata North America pamoja na mexico red indian wanaishi porini usisahau pia Australia kuna watu weusi wanaitwa Aboriginal wanaishi hata Canada watu wa hivo wapo South afrika napo wapo hivi unajua wale watu wana knowledge kiasi gani? Na unajua tamaduni zao?Usidhani kukaa porini ni unaskini lengo la binadamu ni maarifa mbona huko porini hakuna malaria hiv tb na magonjwa mengine? Ilihali mbu waenezao magonjwa wapo?

Soma vitabu vya red indian and mexican sorcerer anaitwa don juan matus utaelewa kuwa utajiri wa binadamu sio material things kwani utaviacha hapa duniani kitu utakacho ondoka nacho na kitakacho kusaidia uweze kuvuka kwenda 4th and 4th dimension ni knowledge brother kitu ambacho watu kama wewe hamjui na ukishindwa kuvuka mizani utabaki kutangatanga hapa duniani ndo una kuwa Ghost tazama video ya Michael jackos inaitwa thriller ndo utaishia hapo usipokuwa na maarifa.
1. Umeulizwa ni kitu gani kipya walichokifanya hao watu maana kama kuishi porini mtu yyte anaweza kwenda kuishi huko porini given a chance.

2. How can a three dimension being perceive a fourth dimension being?
 
Heading yako haipo sawa.

Bible haijaandikwa hivyo ilivyoandikwa wewe.
 
badison

Cixin Liu.jpg

The three books ni trilogy (series),

Me nimeambiwa kuhusu hicho Death's End,
But I guess the plot would make more sense ukianza na The Three Body Problem
 
Kipi, Death's End?
If yes nifundishe ku attach document, sioni option!!

Kiko in mobi format.
You can open it with eBoox from playstore!
 
Soma vizuri asili ya mnyama mbwa chanzo chake sio mungu. Ndio mana huwezi kwenda mwituni ukakuta mbwa. Je wametoka wapi asili yao?
mbona mwituni mbwa wapo wengi sana wawaita mbwa mwitu
 
Pendekeza vyakula vitano tunavyoshauriwa kula
mbogamboga
matunda
nyama za porini
mizizi(viazi,mihogo)
nafaka(kunde,maharage,mtama nk)
ugali usiokobolewa
maji ya kisima,mto,ziwani(epuka maji ya bomba na ya viwandani yana flouride kwa ajili ya kuua tezi penuel(3rd eye)
usipige mswaki kwa dawa za madukani kama colgeti ,white dent etc
usiunge mboga kwa viungo vya madukani (spices)tumia nazi,karanga,hoho,alizeti,pilipili,nyanya nk)
 
Mkuu umeeleza wazungu ni hybrid kama walivyo wanyama tunaofuga siyo viumbe wa asili na dini hizi za ukristo tunazosali na mafundisho yake yameletwa na hao wazungu ambao umeeleza kiasili ni hybrid, msimamo wako juu ya hizi imani za dini pamoja na mafundisho yake ni upi? Au unaungana na Kiranga kuwa hakuna Mungu kutokana na kuwa waliotuletea dini na imani za kimungu sio binadamu wa asili?
Mungu na dini havina uhusiano wowote,kutoamini hizo dini za wakoloni haimaanishi huamini Mungu,pia huyo Mungu wa kwenye hivyo vitabu ni wakutunga tu,Mungu ni asili ,mungu nio roho,Mungu yupo ndani yako wewe na sio kwenye vitabu vyao
 
Kwanini watawala wa dunia hawataki watu wale nyama pori? Sababu ni moja ukila nyama pori utafanya kitu kinaitwa DNA activation jiulize watu matajiri wanatoka ulaya na uarabuni kuwinda wanyama huku kwanini?
Wahadzabe, Sandawe na Bushmen hula vitu vya asili lakini ndio hao uwaonavyo. Wewe ungependa kuwa kama Bushman leo?
 
Hata Yesu aliulizwa ukweli ni nini? Sijui alijibu nini labda tuwaulize waliosoma Theology. Uzi wako una ukweli? Ila kuna kama harufu inayofanana na ukweli!
 
Back
Top Bottom