Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,398
- 154,758
Binadamu wa asili ni nani na kwa nini yeye si hybrid?Mkuu umeeleza wazungu ni hybrid kama walivyo wanyama tunaofuga siyo viumbe wa asili na dini hizi za ukristo tunazosali na mafundisho yake yameletwa na hao wazungu ambao umeeleza kiasili ni hybrid, msimamo wako juu ya hizi imani za dini pamoja na mafundisho yake ni upi? Au unaungana na Kiranga kuwa hakuna Mungu kutokana na kuwa waliotuletea dini na imani za kimungu sio binadamu wa asili?