Watu wanatumia Jina la CHADEMA kuendesha donation za kitapeli wanaweka account zao binafsi ili waishi na familia zao siyo chama huu ni wizi

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema

na ikumbukwe kuwa hizo hela ni kwaajili ya kula hazimgusi mtu mwenye kansa, ukimwi mkali, kisukari Wala makundi ya watu wenye mahitaji maalumu hizo hela ni kwaajili ya kula - huu ujinga utatuisha lini Watanzania.

Chadema acheni kuishi kwa kula hela za kitapeli hazitawasaidia hyo ni laana.
Chadema ni kikundi cha matapeli
 
Hata ulichokiandika huoni kinajichanganya? Watu wanatumia jina la CHADEMA halafu unawaonya CHADEMA haohao waache kutumia jina la CHADEMA?
 
Wacha usenge kuichafua Chadema, kama unamjua mtu anafanya hivyo hiyo ni jinai katoe taarifa polisi siyo kuja kutoa tuhuma kwa chama chote
 
Achana na huyu bwabwa anatafuta namna ya kuila hela ya Abdul tu.
 
Wacha usenge kuichafua Chadema, kama unamjua mtu anafanya hivyo hiyo ni jinai katoe taarifa polisi siyo kuja kutoa tuhuma kwa chama chote
Wenzako wanakusanya hela za sikukuu huko nadhani wametumwa na Heche. Tena kwa account ya mtu binafsi wezi wakubwa nyie
Chadema ni matapeli sana
 
Hao ndo maana wakaitwa Nyumbu huwa wana upeo mdogo Sana wa kufikiri.

Wanaishi kwa kutegemea matumaini hewa.

Hamna chama hiyo ni taasisi ya wapigaji iliyokosa mwelekeo .
 
Uji
Hata ulichokiandika huoni kinajichanganya? Watu wanatumia jina la CHADEMA halafu unawaonya CHADEMA haohao waache kutumia jina la CHADEMA?
Ujumbe umefika kwa matapeli ya chadema
 
Wenzako wanakusanya hela za sikukuu huko nadhani wametumwa na Heche. Tena kwa account ya mtu binafsi wezi wakubwa nyie
Chadema ni matapeli sana
Wewe tunakupuuza tu najua ni njaa inakutuma kutumika kiboya
 
Msenge kama wewe tunakupuuza tu najua ni njaa inakutuma kutumika kiboya
Sasa unahangaika nini kwenye Uzi wangu.
Acheni kuishi kwa migongo ya watu tafuteni hela muone kama ni rahisi kiasi hicho.
Yani unalea familia kwa hela za kuomba kwa watu huoni aibu.
Chadema acheni wizi
 
Na Mimi ninachanga na kukubali kutapeliwa, shida yako Nini ?
 
Hao ndo maana wakaitwa Nyumbu huwa wana upeo mdogo Sana wa kufikiri.

Wanaishi kwa kutegemea matumaini hewa.

Hamna chama hiyo ni taasisi ya wapigaji iliyokosa mwelekeo .
Kabisa yni kutwa yanakesha mitandaon kumbe hayana hela ya sikuku yanategemea yawatapeli watu
 
Duh bado nyumbu zinachangishwa michango? Nilitegemea baada ya kina Mbowe kutafuna michango ya JointheChain hawakuendelea tena na huo uhuni...
 
Na Mimi ninachanga na kukubali kutapeliwa, shida yako Nini ?
Sawa changa tu kwani umekatazwa si unatunza familia ya heche.
Mnalea familia kitonga sana mwngne kawaachia wazungu kanada mwngne kawaachia wazungu marekani. Oneni aibu
 
Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema

na ikumbukwe kuwa hizo hela ni kwaajili ya kula hazimgusi mtu mwenye kansa, ukimwi mkali, kisukari Wala makundi ya watu wenye mahitaji maalumu hizo hela ni kwaajili ya kula - huu ujinga utatuisha lini Watanzania.

Chadema acheni kuishi kwa kula hela za kitapeli hazitawasaidia hyo ni laana.
Chadema ni kikundi cha matapeli
Yaani kwa mfano wewe kinachokuuma ni nini babu? Kama huchangi lala mbele simpo tu. Lissu ni jabali lile na anapendwa huwezi kushindana na ukweli
 
Back
Top Bottom