Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

BINAFSI NAONA WAHADZABE WANAISHI MAISHA YA MATESO SANA.
KWANZA KULA KWAO KWA TABU WANYAMA WENYEWE WANAOWATEGEMEA SIKU HIZI WAMEPUNGUA NA HAWAWEZI KUPATIKANA KWA URAHISI KAMA ZAMANI. FIKIRIA KIPINDI CHA MVUA KAMA HICHI WANAISHI VIPI? NA HAWANA AKIBA YA CHAKULA, YANI HAO WANAISHI KAMA NDEGE TU.
KIUFUPI USISIFIE MAISHA YA HAO JAMAA WAKATI HAUJAFUATILIA CHANGAMOTO ZAO UNATUAMINISHA WANA AFYA NJEMA WAKATI MARA NYINGI WANAKULA NYAMA MBICHI? NA HATUWAONI WATU WENYE UMRI MKUBWA KULE KAMA MIAKA 80 NA KUENDELEA HIVYO INAMAANISHA HAWANA AFYA NJEMA YA KUWAFANYA WASTAHIMILI KUISHI MUDA MREFU.
Umeongea point sana mkuu

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ni mateso kwa wewe ambaye sio wa jamii yao ni kama busha tu we unaona ugonjwa ila kwa wengine ni fahari ila ukweli ni kwamba those guys are living the true purpose of being on earth
 
Wameanza kuelimika sasa hivi kwa kuingiliana na watu,na kuanza kuwekeza katika vyakula vinavyohifadhika.

Video za instagram zinaonyesha wakipika mpaka ugali na uji,mpaka coca wanapelekewa wanakunywa,khanga na vitenge wanavaa kwa sasa.

Ni kweli binaadam hawezi kuona umuhimu wa kitu mpaka aelekezwe,wakati wa sensa walipoambiwa wakae wasubiri kuhesabiwa waliomba wapelekewe nyama ili wasishinde njaa,wakapelekewa nyati.
Siyo nyati ni nyumbu kama watatu hivi waliangushwa wana wakakubali kuhesabiwa.

Mhadzabe
 
Mkuu hawa ni wanamibia na Botswana huko
Ndiyo. Lakini life lao ni la kuwinda na kukusanya. Wako kibao, Wahindi wa Amazon, Wainuit, Mbilikimo, waandaman. wengine huko Indonesia, Malaysia, Siberia nk nk. Ona hawa Waandaman wa visiwa vya Andaman huko India.

1699908259098.jpeg
 
Ndo kama kusema ukitembea peku miguu inafanyiwa masaji na mchanga ni tiba bila kujua mateso ya funza na minyoo ilivoua wazee wetu.sisi afya zetu ni bora kuliko babu zetu ndo maana idadi ya watanzania toka uhuru imehama toka mil 9 hadi mil 65 kwa miaka 50 tu.inamaana kwa miaka 500 walioish Tanzania wanadamu walizaliana mil 9 tu.
 
Back
Top Bottom