msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,067
- 1,136
jiangalie kijana unaniita dogo unanijua?,kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya!,wwe hunatofauti na wale wanaodandia treni kwa mbele!,jifunze Ku respect watu,hili ni jukwaa la magreater thinker sio jukwaa la wahuni!,na wasiwasi na wwe inawezekana umetoroka milembe!
Mkuu acha mbwembwe! Great Thinker anaweza kuleta mada kama hii kweli? Hapa unataka watu wenye akili wachangie nini sasa?