Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri

Mkuu nadhani unaipenda hiyo kazi,so upo humu ukijaribu kujipigia chapuo.Basi wenyewe watakuwa wamekusikia subiria PM....
Naskiaga na kuona watu wengi wanaipenda sana hyo kazi,hivi ni kwanini? Mbona kazi za kujipatia kipato halali zipo nyingi tu....
 
Mie pia usalama ukifanya uhalifu natoa taarifa polisi, sisi sote ni usalama wa taifa letu, hivyo ni wajibu kulinda nchi yetu, atakae Vunja sheria toa taarifa
 
Unanikumbusha kipindi nasoma À level, aliletwa mwl wa economics lkn kila muda wa kipindi ukifika anakuja darasani anatuambia wote tukavae nguo za michezo tunaenda uwanjani, huko anatufanyisha mazoezi magumu magumu huku anatuambia watoto wa kike lainisheni viuno hivyo vigumu km nini, kila siku kazi ni hiyo, hakumaliza hata topic moja kwa miezi takribani sita aliyokaa pale, basi wote tuka conclude jamaa usalama wa taifa kaletwa for special kazi basi !!!
 
Mpaka watu kukuhisi kuwa ni afisa usalama wa taifa inadhihirisha huna sifa hata chembe za kukufanya uwe afisa usalama wa taifa. Usalama wa taifa hawana tabia kama zako (Hizo zinazofanya uhisiwe usalama wa taifa)... kuwa huru kijana fanya mambo yako watakaoendelea kukuhisi ni wale tu wasiojua chochote kuhusu haya mambo.
Tz wakishakuona una mishe mishe nyingi hata kama ni jambazi tu utaitwa usalama wataifa
 
Back
Top Bottom