Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri

jamaaa ndio mambo yake hayoooooo

Nimecheeka sana mno.huyu bwana anatabia za kujisifia hafu baadae watu wanajua kumbe ni famba yani housing ndo maana wanasepa.walichotarajia sip.so Hata hapa kwa tiss anajifagilia akijua ni kazi ya sifa.dogo angalia watu wapo kazini na wala usichezee kazi za watu
 
Ushauri mzuri,lakini kumbuka no body is born intteligence but are trained,hata wwe unaweza ukawa afisa usalama wa taifa,pia kumbuka hili ni jukwaa la ma great thinker,kwa nchi za wezetu ma afisa usalama huwa wanachukilia watoto wa mitaani ambao hawana wazazi na wametelekezwa na ndugu ndio wanapewa training tangu wakiwa wadogo mpaka wanakua wa kubwa,hulelewa kwenye vituo vya watoto yatima, kwa nchi zetu huwa ni watoto wa vigogo2 na watoto wa wakulima wachache na hao lazima wawe na weledi wa hali ya juu,hata hivyo mmi nimeomba ushauri si kuomba ajira!!!

Tapeli mkubwa wewe.kuna kila sababu ya kukufatilia vizuri.unajua unaleta maada za kijinga hapa ilimradi du neno USALAMA Wa taifa exposed na upate kujua how it works
 
Nimecheeka sana mno.huyu bwana anatabia za kujisifia hafu baadae watu wanajua kumbe ni famba yani housing ndo maana wanasepa.walichotarajia sip.so Hata hapa kwa tiss anajifagilia akijua ni kazi ya sifa.dogo angalia watu wapo kazini na wala usichezee kazi za watu

jiangalie kijana unaniita dogo unanijua?,kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya!,wwe hunatofauti na wale wanaodandia treni kwa mbele!,jifunze Ku respect watu,hili ni jukwaa la magreater thinker sio jukwaa la wahuni!,na wasiwasi na wwe inawezekana umetoroka milembe!
 
Nina kila sababu ya kukuita dogo kwa maana hata akili yako ni ya kitoto sana kimsingi hauko matured.Nina kujua vizuri sana maana nimelazimika kuchukua muda wangu mwingi sana kukufatilia na kujua why this for what.ndio maana nimeweza kuandika haya.kiufupi Nina tamko juu yako hivyo utaratibu ukiisha na invisible utaona maana kuna vitu lazima watu wajue hivyo details na picha utasoma hapa.japo currently kwa anaetaka profile ya huyu anipm namba ya whatsup nimescan nitamtumia.Ifike mahala lazima tubadilike maana madhara unayosabanisha huyajui lakin katika hili tamko ukilisoma utajua.
 
Wwe bila shaka utakuwa sio mzima,una magonjwa ya akili,wwe unanijua mmi?,jiangalie wwe!,unanipiga mkwara mmi,nafikiri utakuwa umenifananisha,kaoge ulale!
 
Wala uaitoke povu subir thread yako hapa na itakavyokuwa na watu wkuone kwa picha ndo utajua mkwara au.na watu wajue unayoandika unajifuurahisha au.katika hali ya kawaida hata unavyojibu thread unaonekana MTU Wa aina gan kiasi kwamba hata chiz awez kudhan we ni afisa mwandamiz Wa serikal.na hauna hizo features
 
ha ha ha mkuu unabiti lakini dogo kadindaaa:lol:
 
Wala uaitoke povu subir thread yako hapa na itakavyokuwa na watu wkuone kwa picha ndo utajua mkwara au.na watu wajue unayoandika unajifuurahisha au.katika hali ya kawaida hata unavyojibu thread unaonekana MTU Wa aina gan kiasi kwamba hata chiz awez kudhan we ni afisa mwandamiz Wa serikal.na hauna hizo features

Wwe utakuwa sio mzima!,na mmi huwa sibishani na wendawazimu,maana nisije nikaonekana na mmi chizi buree!,kwa ushauri wa bure we nenda kwa wavuta bangi wenzako mkabishane hoja za vijiweni,sio kuja kupiga kelele hapa katika jukwaa la magreater thinker!
 
Kaka subir tu kidogoo nitawapa na historiia yake sijui babu yake mstaafi Wa polis alimwambia nn itajulikana tu hapa

Lete hizo picha na hiyo historia yangu hapa,mtu mzima unakosa kazi za kufanya unakuja kusumbua watu jf,kwa hoja za kitoto,kawapige mkwara wengine jiangalie wwe!,siku nyingine utakuja kuishia pabaya!,kwa huo mtindo wako wa kuparamia watu usiowajua!
 
kupenda sifa si lazima ukitangaze kwamba wewe ni milionea, hata unachoandika tu ukiamini watu watakushangaa na labda kukusifia pia ni kupenda sifa... So muache uxng wenu hapa... Sifa za kijinga peleka huko sura kitabu... My appreciation to #tyta aaaarrrrrrgggghhhh mazakanywafanta gadenshite you..!!!
 
Wwe utakuwa sio mzima!,na mmi huwa sibishani na wendawazimu,maana nisije nikaonekana na mmi chizi buree!,kwa ushauri wa bure we nenda kwa wavuta bangi wenzako mkabishane hoja za vijiweni,sio kuja kupiga kelele hapa katika jukwaa la magreater thinker!

Wewe so great thinker hata kidogo.wewe ni tapeli Mkubwa unajifanya watu wanakusema TISS kumbe unataka ufatwe aaaaaaahaaa sham upon u mbona umekuwa mluga mluga tu huna lolote kutumikia TISS na refer kwa thread zako za mwanzo kila thread ipo kikatuni tu kama ulivyo wewe mwenyewe.Unakumbuka uliomba kazi ya afisa mtendaji ukaambiwaje?Hilo ndilo tatizo lako kuu na utaishia hivyo hivyo kupenda sifa na tamaa ya maisha angalia kivingine au tafuta upolisi
 
Lete hizo picha na hiyo historia yangu hapa,mtu mzima unakosa kazi za kufanya unakuja kusumbua watu jf,kwa hoja za kitoto,kawapige mkwara wengine jiangalie wwe!,siku nyingine utakuja kuishia pabaya!,kwa huo mtindo wako wa kuparamia watu usiowajua!

Niishie mm pabaya au ww.sina haja ya kukuambia sijui hunijui sijui nn sina hizo ila tu tunataka kukomesha hizi tabia na we utakuwa wa mfano.Ukinitaka mm napatikana muda wote popote pale ukisema uko utanipata au nitawakilishwa so unakaribishwa sana uonje sumu kwa kuilamba
 
Mnachimbana tu mkwara ila wote hamna kitu. Huku jf nina zaidi ya miaka 10 nimeshawahi kuona mikwara ya kutisha sio kama hii ya kwenu ya kitoto. Ninyi madogo tujadili mambo ya kuelimishana na sio kupoteza muda kuandika habari za facebook humu. Mods futeni hii thread haraka sana
 
Bro kuna thread zingine zinauz sana pia zinaleta usumbufu mm simchimb kwara namwambia kitu halisi jaribu fatilia thread za huyu Jamaa utaona nmna anavyoboa.we don't need such kind of epidomias in this village sir
 
Back
Top Bottom