Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
535
Points
1,000
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
535 1,000
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,996
Points
1,500
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,996 1,500
Mkuu mbinguni huendi
Mkuu angalia jinsi akili ya binadamu ilivyofinyu kwa kuwangalia universe. Dunia ni kama nukta kwenye universe. Nikifikiria sana huna naona kuwa hata sisismizi kuna wakati akiona mlima wa meta 5000 akiliyake inaishia hapo.. Ukiangalia Dini haijafikisha umri wa miaka hata 3000 lakini hii sayari ya dunia imekuwepo tangu mabilioni ya miaka.
 
U

ulimi waupanga

Senior Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
170
Points
250
U

ulimi waupanga

Senior Member
Joined Aug 31, 2014
170 250
Toka yesu ameondoka duniani ilipita miaka zaidi ya 1000 ndio hizi dini zikaja huku kwetu afrika. Je watu waliokufa hapo katikati wakati dini hazipo wako wapi?
Nafikiri bible kuna sehemu imejibu ili swali kwamba" Hivi hamjui kwamba wale wasio na Torati wakiyatenda yaliyo ya Torati wawahukumuni ninyi?" Naweza kuwa sijainukuu kama ilivyo lakini mantiki yake imelenga kuwa hata wale wasio na Dini zetu hizi watahukumiwa kwa matendo yao.

Kama aliishi kwa kutochukua cha mtu, kutokuzini, na mengine kama ayo basi ameitimiza Torati/ Injiri au Quran bila kujua.
 
je parle

je parle

Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
33
Points
95
je parle

je parle

Member
Joined Nov 28, 2018
33 95
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Broo mungu Aliumba viumbe wote na mwisho ndio akamuumba binadamu ili aje kutawala ulimwengu .ninachopenda kukujuza ni kwamba mungu awezi kukuadhibu Yan kukuingia motoni kama hakukuletea mjumbe wakukufikishia habari zake na kumuabudu yeye.so binadamu alipoumbwa alipewa muongozo ni jinsi gani ataishi ktk huu ulimwengu na dini iliyo yakweli ni uislamu hata kimazingira Tu unaona uislamu hakuna ujanja ujanja huku ukileta ujanja ujanja tunakupiga bakora ukamsimulie mkeo.We fanya tu uchunguzi mdogo dini gani inaelezea maisha ya binadamu hapa duniani kaburuni na maisha baada ya kaburuni yaan akhera au siku ya mwisho ambayo yatafichuka maovu na mema waliyoyafanya watu hapa duniani ni siku ambayo Allah yaani mungu alieumba mbingu na ardhi pasipo na nguzo....Allah uwezo wake ni mkubwa mno wala hakuna wakufananishwa nae Leo mtu akija kutuambia yesu nae ni mungu tutamuona ana lake Jambo Hana tofauti na shetani anataka kuwapoteza either kwakutokumjua mungu wa kweli au Kwa makusudi tu Kwa maslahi yake ya kidunia ili apate pesa Kwa kushangiriwa na watu ambao bado hawajafahamu vizur.

Mwisho nitoe angalizo Kwa ndugu zangu wakiristo nyie ndio wahanga wakubwa mnaoamini yesu ni mungu mwenye uwezo hata kulia kwenu mnamlilia yeye awasaidie jamani yesu ni mjumbe tu Allah Hana uwezo hata wa kuumba sisimizi.msione mnaomba mnapewa mkamshukuru yesu hapana mnakosea sana si vizuri hata kidogo naongea hivi Kwa uchungu Nina rafiki zangu wengi wakiristo wapo ktk huu mkumbo japo sasa ulaya huko wameshastuka wanatumia akili zao na wengi wao wameshaanza kuona yesu hakuwa mungu ndio maana ulaya kila siku wanakuwa waislamu

Sijaandika Kwa chuki wala kuponda Ila nawaomba mtumie hata akili mlizopewa kumjua mungu ni yupi maisha ya duniani ni mafupi kuna maisha mengine baada ya kufa Yani maisha ya kaburini ni marefu Yale Imagen umefukiwa kwenye mchanga alaf ulikuwa unafanya ushirikina unapewa pumzi na Allah kisha unaenda kumshukuru yesu ambae alizaliwa kila mtu anajua .tufikirie mara mbili mbili ndugu zangu
 
barikiwa

barikiwa

Senior Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
133
Points
250
barikiwa

barikiwa

Senior Member
Joined Dec 4, 2018
133 250

Yeye aliumbwa na Nani?
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
61
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

Member
Joined Aug 6, 2013
61 225
Dini falsafa za watawala wazamani walizotumia kutawala watu paka leo zinatumika na watawala kiukweli no body know anything for sure hapa duniani
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
3,358
Points
2,000
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
3,358 2,000
Lakini zamani zile za ujinga bwana alizifanya Kama hazioni lakini leo anaagiza watu wote wa dunia yote mtubu!
 
Forum statistics

Threads 1,336,206
Members 512,562
Posts 32,530,544
Top