Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
535
Points
1,000
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
535 1,000
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Hiyo ni katika Ethinicity kaka siyo katika fratenity------ sisi tunazungumzia juu ya FRATENITY DNA.

Ni hivi mimi na wewe tunaweza kuwa sawa katika DNA za Ethinicity lakini hatuwezi aslani kuwa sawa katika DNA za fratenity,, tunakuwa sawa katika ethicity kwa sababu ya eneo tunalotoka East Africa, ethicity ni kabila au jamii kubwa ya makabila wanakuwa na DNA zilizokuwa common kwa wao wote.

Ndiyo maana nilikuambia Adam hawezi kuwa ndiye aliyetuzaa watu wote duniani kwa sababu DNA za Ethinicity zetu hapa duniani ni tofauti sana kuweza kusema kwamba dunia nzima ni "one Ethnic" na hivyo tunatokana na one source.

Angalia DNA za fraternity , DNA zinazotambua udugu katika hiyo post yako wameandika ni 50% , kwa watu ambao sio ndugu katika fraternity DNA utapata 0%, lakini hapo hapo katika Ethnicity unaweza kupata labda 5% au chini au zaidi.
Duh bro umesoma article vizuri.????!
Please kaka irejee tena.
Isome vema article.
How can siblings have different ethnicity with the same parents .
Kisome vema hiko kipengele.

Kuhusu Adam na Hawa ni Qudra za Allah bro.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Hiyo ni katika Ethinicity kaka siyo katika fratenity------ sisi tunazungumzia juu ya FRATENITY DNA.

Ni hivi mimi na wewe tunaweza kuwa sawa katika DNA za Ethinicity lakini hatuwezi aslani kuwa sawa katika DNA za fratenity,, tunakuwa sawa katika ethicity kwa sababu ya eneo tunalotoka East Africa, ethicity ni kabila au jamii kubwa ya makabila wanakuwa na DNA zilizokuwa common kwa wao wote.

Ndiyo maana nilikuambia Adam hawezi kuwa ndiye aliyetuzaa watu wote duniani kwa sababu DNA za Ethinicity zetu hapa duniani ni tofauti sana kuweza kusema kwamba dunia nzima ni "one Ethnic" na hivyo tunatokana na one source.

Angalia DNA za fraternity , DNA zinazotambua udugu katika hiyo post yako wameandika ni 50% , kwa watu ambao sio ndugu katika fraternity DNA utapata 0%, lakini hapo hapo katika Ethnicity unaweza kupata labda 5% au chini au zaidi.
Hv bro unajua km DNA ya fraternity ni ya uzao??
Kwahyo kisa mm ni msukuma ninaweza kuwa na DNA sawa na Magufuli.
Bro unakiangalia unachoandika??
Embu soma vema.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
3,184
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
3,184 2,000
How can siblings have different ethnicity with the same parents .
Kisome vema hiko kipengele.

Ngoja nikupe mfano; Waha, Wahangaza,Warundi hawa wote ni Ethinic group moja na Ethnicity DNA inafanana kwa wao wote.

Ethnic ni mkusanyiko wa makabila.

Lakini katika hayo makabila kuna ndugu wa damu na hapo ipo DNA ya fraternity kupima udugu wa damu.

Mfano mimi na wewe tunaweza kuwa na DNA moja ya ubantu (ethnicity) lakini hatuwezi kuwa na DNA ya udugu wa damu (fraternity DNA).

Mimi ninazungumzia juu ya fraternity DNA.kwahiyo watoto wa mzazi mmoja lazima DNA zao zitaonyesha % fulani kuwa wao ni ndugu (fraternal).

Eid Mubarak kaka, mimi nitaswali kesho.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Ngoja nikupe mfano; Waha, Wahangaza,Warundi hawa wote ni Ethinic group moja na Ethnicity DNA inafanana kwa wao wote.

Ethnic ni mkusanyiko wa makabila.

Lakini katika hayo makabila kuna ndugu wa damu na hapo ipo DNA ya fraternity kupima udugu wa damu.

Mfano mimi na wewe tunaweza kuwa na DNA moja ya ubantu (ethnicity) lakini hatuwezi kuwa na DNA ya udugu wa damu (fraternity DNA).

Mimi ninazungumzia juu ya fraternity DNA.kwahiyo watoto wa mzazi mmoja lazima DNA zao zitaonyesha % fulani kuwa wao ni ndugu (fraternal).

Eid Mubarak kaka, mimi nitaswali kesho.
Ila siblings wanaweza wakawa wAna different ethnicity DNA.
Na pia kuna possibility ya wao kuwa na different fraternity DNA.

Usikose kunialika
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
3,184
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
3,184 2,000
Ila siblings wanaweza wakawa wAna different ethnicity DNA.
Na pia kuna possibility ya wao kuwa na different fraternity DNA.

Usikose kunialika

Yes, wanaweza kuwa na DNA za etnicity tofauti, mfano kama wewe uoe mzungu inawezekana kati ya watoto wako wakawa na Ethnicity DNA nyingi za ulaya kutokana na mama yao na wengine wakawa na za Kiafrika zaidi na chache kutoka kwa mama yao, lakini fraternity DNA zitaonyesha hao wote watoto ni ndugu hata wawe 50, provided ni watoto wenu lazima mtakuwa mmewapandikiza vinasaba vyenu.🤣🤣
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
3,063
Points
2,000
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
3,063 2,000
Hakika waliotengeneza dini wana IQ kubwa, ila wanaofia dini hawaelewi, ni kama mau ambae yupo kwenye handaki akiamini kivuli cha mti kama mti wenyewe. Mimi pamoja na IQ yangu kuwa ndogo siamini katika dini.
 
kirumonjeta

kirumonjeta

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
3,814
Points
2,000
kirumonjeta

kirumonjeta

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2008
3,814 2,000
Naomba mwenye jibu la hili swali.Huyu SHETANI ana nini hasa mpaka anaharibu wanadamu na MUNGU anamuangalia tu badala ya kumchinjilia mbali??? hapa kuna ukakasi kidogo
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Naomba mwenye jibu la hili swali.Huyu SHETANI ana nini hasa mpaka anaharibu wanadamu na MUNGU anamuangalia tu badala ya kumchinjilia mbali??? hapa kuna ukakasi kidogo
Mungu kamuumba Shetani ana uwezo tofauti na wetu.
Na yeye Shetani alipokataa kumsujudia Adam kwa maana ya kumpa pongezi alilaaniwa ilhali kabla hakuwa shetani Bali alijumuishwa na kundi la malaika.
Ila baada ya kupinga amri ya Mungu akafukuzwa ktk rehma za Mungu,kwa kibri chake akaapa kutupoteza na sisi huku akimwomba Mungu amwache mpk kiama ndio amuadhibu.Huku akisema anatafuta wafuasi watokanao na zao la Adam kuingia nao motoni km kisasi kwa baba Etu Adam kumsababishia Laana yey.
Basi Mungu akamuahidi kumuadhibu mpk ifikapo kiama na Mungu alimwambia hakuna binadam aliye na mapenzi ya dhat na yeye Mungu atakayepotoshwa na yeyey shetani.
Kwahiyo Mungu amemwacha Ibilisi kwa mawili
1)kutimiza ahadi ya ombi aloombwa kuwa amuache mpk kiama ndio amuadhibu.
2)Kamuweka km kipimo cha imani kwetu sisi.
Basi km kuna atakayemshikilia Mungu kwa yaqiini ya kweli kavuka vikwazo vya kupotoshwa na shetani ima km una iman ya kinafiki shetani yuko nawe akiandamana nawe.
 
Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
37
Points
95
Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined Apr 2, 2017
37 95
Yesu alishuka kuzimu akahubiri injili na Siku ya tatu akafufuka hata waliokuwa hawajaokoka wakahubiriwa na kuokoka
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
hapo umezungumza kwa majibu wa biblia ambayo tuchukulie ni kama theory.. sasa tuje kwenye uhalisia hivi Mungu atuchome kwa moto ili afaidike nini zaidi?
He huamini Biblia??
Lengo asili la MUNGU kuwahukumu jehannamu ni kuhakikisha anaupoteza uovu na yule muovu. Ni kama wewe unavyoshabikia kuyateketeza magugu shambani mwako.
So wote ila wale wenye mbegu za uharibifu tu jehannamu itawahusu.
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
kwa hiyo kumbe ni matendo mema yamfanyayo mtu kwenda mbinguni na si dini...sasa kwa nini watu warumbane kisa dini?
Kwanza Imani ya kweli kwa MUNGU wa Kweli
Pili Ni matendo mema.
Coz matendo mema Hata wana wa mashetani Kila uchwao hutenda hayo. Token Kati yao mkatengwe nao.....
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
Neno DINI Lina maana ya njia
Ili kuondoa mkanganyiko wa kimaana na kimantiki. Ahsante..
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
Ili kujua asili ya hizi njia (dini) no vyema pia kujua asii Ya wale vichwa /waaminiwa mfano Musa, Yesu na Muhhamad.

Mfano Yesu alikuwapo kwa Ya hata huo msingi wa dunia hii kuwako . 17:5 Yoh.
Kwahiyo unaweza gundua kitu hapo kuhusu imani sahihi na njia (dini) gani ulikuwepo tangu kuuubwa kwa ulimwengu ni Mwanadamu wa kwanza.
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
Mtu wa mwanzo kuumbwa alikuwa Adam kisha akaumbwa Hawa kutokana na Adam, baada ya kuumbwa walipewa muongozi wa kuishi na muumba wao, waliteleza katika kufuata maagizo hayo lakini waliomba msamaha na walisamehewa.
Maana ya neno Islam maana yake ni amani, kujisalimisha kwa Mola mlezi, watu wanafikiri dini ya uislamu ilianzishwa na Muhammad bin Abdullah (S.A.W.) hapana bali yeye ni mtume wa mwisho wa Allah, uislamu ulikuwepo toka uumbwaji wa dunia, tunaamini kila mtu aliyeamini kuwepo kwa Mungu mmoja asiyezaa wala kuzaliwa na hafanani na kitu chochote ni muislamu.
Mungu alikuwa akiteremsha wajumbe wake kutokana na utashi wake, ikiwa kuna watu ambao hawajafikiwa na ujumbe huo basi hao Mungu hawezi kuwahukumu, kwa kuwa alisema hawezi kuwaadhibu watu mpaka awapelekee mtume.
Quran Ni tofauti kabisa na Biblia. Inatofautiana kinadharia, dhana na hats kimapokeo.
Manabii, mitume, waalimu (Rabi) na waandishi wa hutofautiana kabisaaa .

Unapokuwa kusema njia (dini) Ya uislamu ulikuwepo hata wakati wa Adam ndo unazidi kuchafua hali ya hewa.
ila no imani Kama Hindu, Shinto nk...
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
597
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
597 500
Kwenye Uislamu hakuna jambo kama hili. Huwa nashauri mkiwa mnasoma mambo kubusu dini fulani,msiishie kusikia tu,bali msome kweli na muelewe.

Unajua kama moto upo kabla viumbe hao ulio wataja ?

Halafu kusema hivyo ni kumvunjia heshima Mola aliye juu,vipi awe na bifu kwa kiumbe alichokiumba mwenyewe na mwenye uwezo wa kukifanya chochote wakati wowote ?
Cha msingi we fafanua kwa mujibu wa unavyojua. MUNGU Mwenyezi hatetewi Bali hujitetea.
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,397
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,397 2,000
Yesu alishuka kuzimu akahubiri injili na Siku ya tatu akafufuka hata waliokuwa hawajaokoka wakahubiriwa na kuokoka
Toka yesu ameondoka duniani ilipita miaka zaidi ya 1000 ndio hizi dini zikaja huku kwetu afrika. Je watu waliokufa hapo katikati wakati dini hazipo wako wapi?
 
Forum statistics

Threads 1,336,224
Members 512,562
Posts 32,531,264
Top