Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

Mkuu mbinguni huendi

Mkuu angalia jinsi akili ya binadamu ilivyofinyu kwa kuwangalia universe. Dunia ni kama nukta kwenye universe. Nikifikiria sana huna naona kuwa hata sisismizi kuna wakati akiona mlima wa meta 5000 akiliyake inaishia hapo.. Ukiangalia Dini haijafikisha umri wa miaka hata 3000 lakini hii sayari ya dunia imekuwepo tangu mabilioni ya miaka.
 
Toka yesu ameondoka duniani ilipita miaka zaidi ya 1000 ndio hizi dini zikaja huku kwetu afrika. Je watu waliokufa hapo katikati wakati dini hazipo wako wapi?
Nafikiri bible kuna sehemu imejibu ili swali kwamba" Hivi hamjui kwamba wale wasio na Torati wakiyatenda yaliyo ya Torati wawahukumuni ninyi?" Naweza kuwa sijainukuu kama ilivyo lakini mantiki yake imelenga kuwa hata wale wasio na Dini zetu hizi watahukumiwa kwa matendo yao.

Kama aliishi kwa kutochukua cha mtu, kutokuzini, na mengine kama ayo basi ameitimiza Torati/ Injiri au Quran bila kujua.
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Broo mungu Aliumba viumbe wote na mwisho ndio akamuumba binadamu ili aje kutawala ulimwengu .ninachopenda kukujuza ni kwamba mungu awezi kukuadhibu Yan kukuingia motoni kama hakukuletea mjumbe wakukufikishia habari zake na kumuabudu yeye.so binadamu alipoumbwa alipewa muongozo ni jinsi gani ataishi ktk huu ulimwengu na dini iliyo yakweli ni uislamu hata kimazingira Tu unaona uislamu hakuna ujanja ujanja huku ukileta ujanja ujanja tunakupiga bakora ukamsimulie mkeo.We fanya tu uchunguzi mdogo dini gani inaelezea maisha ya binadamu hapa duniani kaburuni na maisha baada ya kaburuni yaan akhera au siku ya mwisho ambayo yatafichuka maovu na mema waliyoyafanya watu hapa duniani ni siku ambayo Allah yaani mungu alieumba mbingu na ardhi pasipo na nguzo....Allah uwezo wake ni mkubwa mno wala hakuna wakufananishwa nae Leo mtu akija kutuambia yesu nae ni mungu tutamuona ana lake Jambo Hana tofauti na shetani anataka kuwapoteza either kwakutokumjua mungu wa kweli au Kwa makusudi tu Kwa maslahi yake ya kidunia ili apate pesa Kwa kushangiriwa na watu ambao bado hawajafahamu vizur.

Mwisho nitoe angalizo Kwa ndugu zangu wakiristo nyie ndio wahanga wakubwa mnaoamini yesu ni mungu mwenye uwezo hata kulia kwenu mnamlilia yeye awasaidie jamani yesu ni mjumbe tu Allah Hana uwezo hata wa kuumba sisimizi.msione mnaomba mnapewa mkamshukuru yesu hapana mnakosea sana si vizuri hata kidogo naongea hivi Kwa uchungu Nina rafiki zangu wengi wakiristo wapo ktk huu mkumbo japo sasa ulaya huko wameshastuka wanatumia akili zao na wengi wao wameshaanza kuona yesu hakuwa mungu ndio maana ulaya kila siku wanakuwa waislamu

Sijaandika Kwa chuki wala kuponda Ila nawaomba mtumie hata akili mlizopewa kumjua mungu ni yupi maisha ya duniani ni mafupi kuna maisha mengine baada ya kufa Yani maisha ya kaburini ni marefu Yale Imagen umefukiwa kwenye mchanga alaf ulikuwa unafanya ushirikina unapewa pumzi na Allah kisha unaenda kumshukuru yesu ambae alizaliwa kila mtu anajua .tufikirie mara mbili mbili ndugu zangu
 
Yeye aliumbwa na Nani?
 
Dini falsafa za watawala wazamani walizotumia kutawala watu paka leo zinatumika na watawala kiukweli no body know anything for sure hapa duniani
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
Lakini zamani zile za ujinga bwana alizifanya Kama hazioni lakini leo anaagiza watu wote wa dunia yote mtubu!
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Warumi 2:12-16

Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria. Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki. Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe. Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea; katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
 
Kwa mujibu wa Warumi 2:12-16 hao walifariki kabla ya kuupata ujumbe wa nuru.. Watahukumiwa kadri walivyoishi, kama matendo yao yalikuwa sawa na sheria isemavyo basi tutakutana nao kwa Baba
 
hapo umezungumza kwa majibu wa biblia ambayo tuchukulie ni kama theory.. sasa tuje kwenye uhalisia hivi Mungu atuchome kwa moto ili afaidike nini zaidi?
Warumi 6:23
Mshahara wa dhambi ni Mauti.. Sio kwamba anafaidka ila ivo ndo ilivyo, ni kama docta akwambie usipokunywa mseto utakufa sio kwamba anafaidika ila ivo ndo ilivyo.. Mungu anatupenda sana na hataki tuangamie ndo maan anaandka katka warak wa kwanza wa yohana 2:1 watoto wangu wadogo ninawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi.. Anajua kwamba kwakukosa maarifa tutaangamia (Hosea 4:6) ndio maana anatupa maarifa mini cha kufanya ili tusiangamie
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Warumi 2
Warumi 2:5-16
[5]Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,
[6]atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake;
[7]wale ambao kwa saburi katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutokuharibika, watapewa uzima wa milele;
[8]na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, watapata hasira na ghadhabu;
[9]dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Myunani pia;
[10]bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
[11]kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
[12]Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.
[13]Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.
[14]Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.
[15]Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;
[16]katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
 
Ntajibu kwa muktadha wa Biblia ila Maalim Hammaz na salaniatz na chabuso watanisaidia kwa upande wa Quran.

Biblia ambao hao unaosema walileta dini ndio wanayotumia kama Rejea kutuaminisha dini yao, inaeleza kuwa Dunia nzima ilikuwa chini ya uangalizi wa Mungu (YHWH kiebrania).

Inaelezwa kuwa hao wanadamu wakiongozwa na Adam walimsaliti kwa kumsikiliza Hasimu wake mkubwa yaani shetani hivyo kama adhabu akawatimua kutoka katika himaya yake na akakata mahusiano nao.

So ikawa hivo anachagua mtu mmoja mmoja wa kujaribu kuanza naye upya ufalme wake hapa duniani... Ila nao Wanasaliti. Ikaendelea hivyo mpaka kwa Abraham akamchagua yeye na kizazi chake yaani wayahudi.... Nao wakasaliti.

Baada ya huu usaliti wa wayahudi wa kugeukia miungu wengine kupitia John 1:12 aliamua kuwageukia dunia nzima sasa bila kujali kabila au rangi.... Ndio maana injili (Hiyo dini ya Mungu YHWH) Ikahubiriwa dunia nzima kutokea wakati huo hadi ikawafikia waafrika ambao nao walikua na miungu yao hapo kabla.

Hivyo basi kwa muktadha huu dunia nzima ilikuwa na chance ya kuwa na dini ya Mungu mmoja ila kwa kuwa shetani aliwadanganya DUNIA NZIMA rejea Ufunuo 12:9 na 18:2 basi ndio ikawaponza na vizazi vyao. Kama ambavyo maamuzi mabovu ya viongozi wetu wa awamu ya kwanza ndio yametufanya tuwe maskini leo basi hao waliokufa kabla ya Mungu kuamua kugeukia mataifa yote tena na sio wayahudi kama zamani; nao watahukumiwa kwa sababu ya maamuzi mabovu ya mababu zao kumsaliti Mungu YHWH wa Biblia.

NB: Dini hazikuja baadae sana zilikuwepo miaka na miaka ila sema dini za Abrahamic/Mashariki ya kati (Islam/Jewish/Christianity) ndio zimekuja Afrika baaadae sana ila haimaanishi hazikuwepo huko nyuma kipindi tunatambika. Kama na sisi tungeamua kusambaza dini zetu huko ulaya na uarabuni leo hii penginepo ng'wanamalundi angekuwa nabii wao wanamwabudu.
Ibamba Ngulu na Ngendu Nkema.. Wangekuwa maarufu sana hapa duniani, tatizo ukileta za - batemagi pye abenabo- utatafutiwa mistari kadha kwenye andiko takatifu.
 
hakuna cha motoni wala hakuna cha peponi

#ila kuna kaburi, jeneza na mchwa..

hivi ulishawahi kuwaza kuwa je, Mungu ukituchoma motoni yeye atafaidika nini haswa?
Wewe ukichoma takataka unafaidi nini? Mungu ni mtakatifu sana vitendo vyetu viovu - vinaitwa dhambi, ni uchafu na machukizo mbele za Mungu, yeye hakuhukumu au kukupa adhabu bali ni fungu ulilochagua. Yohana 3:17-21 "17Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. 18Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu. 19Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. 20Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. 21Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu." na pia
KUM. 30:19 "nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako" Mungu amefanya kila kitu ili usiingie motoni lakini hawezi kulazimisha utashi wako: ukichagua mauti (ndio kuingia motoni) atakushawishi utubu lakini kamwe hatakulazimisha. ukichagua uzima atakupa wokovu na mbingu yote itajaa furaha siku hiyo.
 
Back
Top Bottom