Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Kwa Zanzibar ilivyo ingeachwa tu iwe nchi kamili maana kuna wagaratia wanaishi huko kikazi au la ila maisha yanakuwa magumu Sana kutokana na mfumo dume wa kiarabu
 
Kufunga ni lazima kwa kila muislamu asiyekuwa na udhuru wa kisheria.na ni kweli kwamba dola za kiislamu zilikuwa zinadhibiti jambo hilo kwa kuhakikisha mtu hali hadharani.kama mtu anakula basi asile hadharani...

Ila kwa hawa vijana wa kipemba(hata kama tukio ni la zamani)hawa bado ni wajinga waelimishwe wao kwanza kabla ya kuwaelimisha hao wanaokula mchana waa ramadhani kwa sababu SHERIA YA KIISLAMU haijaachia mambo ya hukmu afanye mtu mmoja mmoja bali wanafanya wenye mamlaka kama polisi n.k

Ni kama leo wamkamate mwizi kisha wamkate mkono mtaani tu,huu utakuwa ni ujinga wao na ni makosa kwa sababu ni kuwatangulia wenye mamlaka katika nchi,hivyo waelimishwe kwanza wao kwamba haifai kutoa hukmu kama hizo mpaka fola ipitishe kwanza.

Huu ni ujinga wao kwa sababu wameshindwa kujua kwamba baba ana miliki familia na kiongozi anamiliki rai wote.
Baba anafaa kumuonya mtoto wake hata kwa bakoraa,lakini baba wewe huna jukumu la kumuonya mzee mwenzio labda kszini ukataka umpige bakora hadharani hilo sio jukumu lako kwa sababu mwenye mamlaka ni kiongpzi wa dola.

Hao vijana ilikuwa wakiwaona watu wawalinganie na kuwaelewesha kwamba jambo la kula hadharani mchana wa ramadhani kwetu sisi ni karaha wakazi wa hapa hivyo ni bora mgetafuta pahala mkafanya yenu.

Kwa sababu asiyekuwa muislamu hana uwajibu wa kufunga kwa mantiki hiyo pia anaruhusiwa kula lakini suala la kula hadharani ndipo pana leta ukakasi.

Waelimisheni vijana waache jazba
View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
 
Hahaa wazungu walituweza na dini zao kula nile mimi wewe upate tabu makubwa kuna mambo watu wanafanya kudhalilisha dini sidhani mtume Muhammad kama alifanya hivo vitendo mbona kwaresma imepita na amani kila mtu akiwa busy na yake waislamu haya mambo mnatoa wapi hivi ni Mungu mtukufu au mwezi mtukufu kushinda njaa ushinde wewe mimi nile we upate tabu hahaa ni wivu tuu! ukakasi sana you know! ,na hapo wanafurahi na jioni wanafuturu eti wamefunga wazungu jamani njooni mchukue dini zenu mtu achie asili yetu ya zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Zanzibar ilivyo ingeachwa tu iwe nchi kamili maana kuna wagaratia wanaishi huko kikazi au la ila maisha yanakuwa magumu Sana kutokana na mfumo dume wa kiarabu
Mchana wa leo nilikua pale Kisonge wakapita jamaa na dada wa kizungu na juice zao na 'biskuti' safi wanakula tena dada kavaa kikaptula kifupi mno.

Sasa fanya haya wewe mwenzangu mweusi mwenzao wanakutolea macho kama upo uchi, wanakuzodoa ila kwa wazungu wanakua kimyaa.

Adui wa mweusi ni mweusi mwenzie.
 
Lakini kwa wazungu mnakuwa wapole, wanavaa hovyo mnakuwa kimya, kipindi hiki wanakula mitaani hovyo hamsemi wakila weusi wenzenu kelele kibao
hahaha umenifanya nicheke peke angu kiongozi
 
Mzungu ndio aliyetuletea kila kitu so lazima tumuheshimu.
Lakini kwa wazungu mnakuwa wapole, wanavaa hovyo mnakuwa kimya, kipindi hiki wanakula mitaani hovyo hamsemi wakila weusi wenzenu kelele kibao
 
Imani za kipumbavu utazijua kwa matendo yake ya udhalimu
 
Yani ningekuwa mm ndo wanifanyie hivyo ningeanzisha vagi ilo sio la nchi hii
 
Tatizo pemba na unguja wanajikuta wao sio wa bara sasa wao ni wanani???mana kutawaliwa na yule mwarabu wanajikuta sio wa bara ni ujinga.
 
Hizi dini kuna baadhi ya watu wanashindwa kuzielewa mwshowe wanakuwa kama wanyama.
 
Yani ningekuwa mm ndo wanifanyie hivyo ningeanzisha vagi ilo sio la nchi hii
Huwezi pambana nao wote LA msingi kama hauna cha kupoteza unaanza kukamata mmoja baada ya mwingine....unampa mambo ya Gwajibizoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom