Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Comoro nayo ina waislam 98% kama Zanzibar tu, unajua sheria zao ni za kibabe kama za Zanzibar kuhusu Ramadhani na mambo mengine ya Kiislam..nchi karibia zote za Kiislam zipo hivyo
Huko comoro sina taarifa zao labda uniambie kuna sheria gani?
 
View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Uislamu ni Dini ya kishetani,halafu yalivyo majinga yanadai maana ya uislamu ni amani,sasa kuna amani gani gani hapo?
1.Alqaeda
2.Bokoharamu
3.Alshababu
4.ISIS
5.HAMAS
Dunia bila Uislamu ni sehemu salama sana.
 
Bara ni kwa sababu Waislam ni wachache, wanajua wakileta ujinga ni kichapo na watajuta, Zanzibar 98% ni Waislam, Bara Waislam nao wangekuwa kama 70% hivi wangetuletea pia huo Udikteta na na muaji
Bara waislamu wachache? unapima kwa vigezo gani?

Halafu labda hujui tu yanayowatokea waislamu tena hasa uwe unafuga ndevu,yani kukamatwa kwa kuhisiwa gaidi imeshakuwa jambo la kawaida na ndiyo hakuna fujo zozote wanazofanya.
 
Huko Zanzibar hakika wanafanya vizuri mkuu, hebu zileteni hizo harakati zenu na huku bara maana Waislam ndio Dini ya Haki
Tutawafanya kitu kizuri kweli
Kama mlivyowafanyia wale masheikh wa uamsho.
 
Uislamu ni Dini ya kishetani,halafu yalivyo majinga yanadai maana ya uislamu ni amani,sasa kuna amani gani gani hapo?
1.Alqaeda
2.Bokoharamu
3.Alshababu
4.ISIS
5.HAMAS
Dunia bila Uislamu ni sehemu salama sana.
Umeona eeh dawa ni kujigwajiboy
 
Chuki? No! Hamna chuki hapo nakupa facts tu! Hizo doctrines wanazolishwa wafuasi huko misikitini ni chanzo cha kuzalisha magaidi kila kona ya dunia.

Huu ni mwaka wa saba masheikh wa uamsho wako nyuma ya nondo without trial! You know why? Ukilea magaidi ni mwanzo wa kuleta uharibifu! Maana mnaweza mkawa mnapata "gahawa" unashangaa jitu limeshajilipua katikati ya umati!

Ukiuliza kulikoni, unaambiwa ati mohammed aliahidi atampa bikra saba peponi!

GODDAMN!!!!!!!!!!!!
Kama ushahidi upo kwanini wasihukumiwe?
 
Bila kuuelewa uislam usihukum ni dini ya aina gani. Hayo wanayofanya yameelezwa /kufundishwa katika dini au ni mihemko yao tu? Matendo ya wafuasi wa dini (islam/chritian) hayawezi kuhukumu uhalisia bali mafundisho quran/bible ndio unaweza kutumia kujua ni dini ya aina gani.
Uislamu ni Dini ya kishetani,halafu yalivyo majinga yanadai maana ya uislamu ni amani,sasa kuna amani gani gani hapo?
1.Alqaeda
2.Bokoharamu
3.Alshababu
4.ISIS
5.HAMAS
Dunia bila Uislamu ni sehemu salama sana.
 
Bara waislamu wachache? unapima kwa vigezo gani?

Halafu labda hujui tu yanayowatokea waislamu tena hasa uwe unafuga ndevu,yani kukamatwa kwa kuhisiwa gaidi imeshakuwa jambo la kawaida na ndiyo hakuna fujo zozote wanazofanya.
Kumbe ni wengi, basi fanyeni basi jitihada mpitishe Sharia
 
Ila kiukweli kabisa, ni asilimia ngapi ya wakristo huwa wanafunga kwaresma? Ni idadi ndogo
Wakristo wanafunga sana na si kwaresima tu bali ni muda wowote wapatapo nafasi, na funga ya Wakristo hakuna matangazo funga wewe na Mungu tu
 
Siyo mbaguzi ndiyo ukweli wenyewe huo. Sasa hapo ndiyo ujue kuwa hao ndiyo materorist goma kuchapwa kama hawajakuua. Mbona wakristu wanafunga na shughuli zinaendelea kama kawaida, watu wanakula na kunywa lakini hawakatazwi. Ukijua hawa watu ni wagonjwa wa akili kula mbele yao dah! halafu cha ajabu wapo kwenye mwezi mtukufu. Dini yako uwape watu karaha au umeambiwa hiyo zanzibar wananchi wake ni waislamu tu?. Dini zingine ni ujinga mtu sitaki hata kuisikia. Kwahiyo ukivaa mavazi ya kiarabu na ww unakuwa mwarabu na kuanza kuwaterorize watu. Huo unaondelea hapo kwa kuwachapa watu wasile ni UGAIDI.
Wakristo wanafunga sana na kama ni mke anawapikia familia bila hata shida yeyote na mtu wa nyumbani anaweza asijue kama umefunga
 
Wakristo wanafunga sana na si kwaresima tu bali ni muda wowote wapatapo nafasi, na funga ya Wakristo hakuna matangazo funga wewe na Mungu tu
Naomba tuelewane kitu kimoja mamy sijasema wakristo hawafungi. Sisi pia tunafunga lakini funga yetu hatuipigii tarumbeta lakini ukisema upige hesabu ya asilimia utaona asilimia ya wakristo wanaofunga ni ndogo ukilinganisha na waislamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom