Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,285
- 19,925
Ni sheria zilizoshushwa kutoka kwa Allah...Au?Unaijua sharia ?
Ni sheria zilizoshushwa kutoka kwa Allah...Au?Unaijua sharia ?
Usilaumu sana mkuu,shida ni ile lugha inayotumika ![emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]Kuna ujinga ndani ya akili za hawa wapigaji. Hata wakikanusha amini hivyo
Sasa si wapelekwe mahakamani kama wana hayo makosa,mnakamata watu mnawaita magaidi ila hamuwapeleki mahakamani halafu et ndio njia ya kudeal nao.Hawana makosa? Endelea kuamini hivyo...ila dawa ya kudeal na wapumbavu kama nyie ndio hiyo...
Una hakika walijifungia ndani?View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Si muondoke visiwani nyie wavamizihii dini wanajijua wenyewe, wanalazimisha wengine kwa nguvu kufanya watakayo
Njoo ule mchana barabaraniSiwezi vumilia huo upupu hata kidogo
Pole sana asee!! Hakuna umuhimu wa kufunga kama kufunga ni sheria/lazima. Huwa wanapoteza muda tu. Mfungo ni muda wa kila mmoja kuichunguza imani yake na kuwa karibu na Mungu wake kwa hiari. Imani hailazimishwi,.Nakumbuka back 2003, nilienda zenji, mwezi kama huu wa ramadhani, nikiwa kijana, mi sijui hiki wala kile, nikatoka zangu pale tembo hotel nikaenda zangu darajani, nikachagua matunda flan hivi nikaosha nikaanza kula hapohapo kweupe pee, mama-mama, si wakaanza kuitana sijui takbiri sijui, jamani sitasahau, dreva taxi alikua kapaki ananisubiria kasimama pembeni gafla alinishika kwa nguvu akasema twende fasta garini! Yaani Ndio ikawa pona yangu...akaniambia ungekoma leo...nikamwambia sasa kwann hukuniambia mapema akasema naye alijisahau... hamu yote ya kutembea zenji ikakatika
hahaha magaidi bhana!Si muondoke visiwani nyie wavamizi
View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Huyo jamaa ni mdini na ana chuki na uislamu fuatilia posts zake hajaanza leo. Hajui kuna msemo "when you go rome do romans do" akiona pemba hapafai anakwenda kutafuta nini?Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Ni kweli ndg. Hii picha sio mpya. Ni ya zamani. Mleta mada kaamua kuleta taharuki tuHii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Aii wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wanakula kama mchwa afu mchana wanajidai kujinyima kumbe wanevimbiwa vya usiku .
Nani mwingine kakamatwa analalamika hajafunguliwa kesi? Wapinzani, watuhumiwa wa ufisadi wote wanafunguliwa kesi zingine wanashinda nyingine wanashindwa, Magaidi pekee ndio wanaolalamika hawajafunguliwa kesi, na sio kwamba hawajafunguliwa kweli ila ni asili ya magaidi tu kulalamika hovyo huku wao ni wauajiSasa si wapelekwe mahakamani kama wana hayo makosa,mnakamata watu mnawaita magaidi ila hamuwapeleki mahakamani halafu et ndio njia ya kudeal nao.
Na ndiyo maana sasa hivi watu wanatekwa tu hovyo,nadhani wameona hiyo ndio njia ya kudeal nao hao wapumbavu wengine ndiyo maana wanawateka ila ajabu mnalalamika ila wakideal na waislamu mnaunga mkono.
Pole sana asee!! Hakuna umuhimu wa kufunga kama kufunga ni sheria/lazima. Huwa wanapoteza muda tu. Mfungo ni muda wa kila mmoja kuichunguza imani yake na kuwa karibu na Mungu wake kwa hiari. Imani hailazimishwi,.